DengeBackup's profile picture. Backup

backup

@DengeBackup

Backup

Pinned

Watanzania ukiachana na Ujinga Maradhi Umasikini Tunasumbuliwa na Wivu Chuki Nyege


Sema hata Gen Z Kenya walionekana ni kelele tu za mtandaoni ila mwisho wa siku yako wapi


Na vijana wataamka na # ya ilikuwa ni utani kesho…kmmk sijui nani katuroga


Me naamini haya yote yanatokea kwa mipango ya Mungu kutuonesha tunaongozwa na viongozi wa aina gani na hatua gani tuchukue


Utani wazeee😂😂😂😂


Hii nchi bhana😂😂😂😂😂😂😂😂

#CCM yamjibu #NAPE hoja ya Ushindi katika chaguzi. Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Ndg. Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzi mbalimbali nchini. Ndg. Makalla…



backup reposted

This level of arrogance is Top notch, hongera @SuluhuSamia

Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Nape… Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua anatia huruma sana .. leo kasogea kwenye meza ya chakula ameshiba na anawatapikia Watanzania. Kitu kimoja ninamshukuru kwamba amesema ukweli kuwa, Nchi hii…



Ukweli mchungu

THE POLICE AFTER A LONG DAY OF WORK 😂😂😂😂😂😅😅



backup reposted

Mh. @Nnauye_Nape what is this !? Really unajivuna haya mbele ya cameras ? Then mnakuja kuhubiri haki na amani wakati mioyo na mikono yenu imejaa dhuluma! Hamtaishi milele... Hivi vyeo vinawasahaulisha kujua everything in this life is for rent. Ila tunawashukuru kwa kuyasema…

Hizi kauli zimetoka kwa waziri aliyewahi kusoma goli la mkono -- Kushinda uchaguzi inategemea ni nani anayehesabu kura , sio kwamba ni zile kura zilizopigwa anayeamua ni yule anayehesabu ndiye anapanga mshindi -- Mimi mbinu cha kushinda uchaguzi nazijua nyingi tu, uwa…



Ninywe Pepsi kupoza hasira


backup reposted

Hivi mtu huwezi kula ukashiba ukaa kimya ili kesho ule tena gizani kama ulivyozoea mpaka upige kelele huko nje wenye njaa wakusikie kama ulikula mikuku jana yake? Nimeona video ya Pena nimesikitika sana. Anawapa shida tu wenzie kuanza kujieleza bila sababu zozote za msingi.


kuna kauli zinatia hasira sana ila ipo siku


backup reposted

Hizi kauli zimetoka kwa waziri aliyewahi kusoma goli la mkono -- Kushinda uchaguzi inategemea ni nani anayehesabu kura , sio kwamba ni zile kura zilizopigwa anayeamua ni yule anayehesabu ndiye anapanga mshindi -- Mimi mbinu cha kushinda uchaguzi nazijua nyingi tu, uwa…


kuna watu wanapiga makofi?

🚨🚨 CCM ADMITTING RIGGING‼️🚨 “Quos Deus vult perdere, prius dementat” Those whom God wishes to destroy, He first deprives of reason Minister of Communications admitting to using “semi-legal” and illegal means to win elections in #Tanzania Mungu anapoamua kukumaliza anakupiga…



Hakuna shido

Hiii siku imekaa kama kuonja Konyago.. kingo ya malelio..



Kwasababu tunaipenda nchi yetu, tunataka tukae hapa hapa tuendelee kujiteka ndo furaha yetu.

Kwanini Watanzania wengi hawakimbilii fursa za ajira nje ya nchi tofauti na mataifa mengine ya Afrika? swahilitimes.co.tz/2024/07/kwanin…



Sema demand ya ganja itakuwa kubwa sana kuna haja kuiangali kibiashara


backup reposted

Na wanajisahaugi sana kwenye hili

Aliyewaambia madereva wa bolt jero sio chenchi ni nani?



backup reposted

Sio wao tu, siku hizi kokote unakoenda ukilipa bili likibaki buku au jero wanajikausha hawarudishi

Aliyewaambia madereva wa bolt jero sio chenchi ni nani?



backup reposted

Kila dereva wa bolt atakuambia mia tano Sina maana wanajua utawaachia.

Aliyewaambia madereva wa bolt jero sio chenchi ni nani?



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.