EditorsForums's profile picture. We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

Tanzania Editors Forum (TEF)

@EditorsForums

We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na vifo vya Watanzania wakiwemo wanahabari wakati wa vurugu zilizoanza Siku ya Uchaguzi Mkuu tarehe 29 Oktoba 2025. "TEF inawakumbuka kwa heshima Wanahabari na Watanzania waliouawa katika vurugu hizi..."

EditorsForums's tweet image. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na vifo vya Watanzania wakiwemo wanahabari wakati wa vurugu zilizoanza Siku ya  Uchaguzi Mkuu tarehe 29 Oktoba 2025.

"TEF inawakumbuka kwa heshima Wanahabari na Watanzania waliouawa katika vurugu hizi..."

Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025

EditorsForums's tweet image. Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeliomba Jeshi la Polisi nchini, kuchunguza taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Pia jeshi hilo limeshauriwa kueleza wapi alipo Balozi Polepole kwa sasa.

EditorsForums's tweet image. JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeliomba Jeshi la Polisi nchini, kuchunguza taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. 

Pia jeshi hilo limeshauriwa kueleza wapi alipo Balozi Polepole kwa sasa.

Wajibu kwa vyombo vya habari nchini

EditorsForums's tweet image. Wajibu kwa vyombo vya habari nchini

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025

EditorsForums's tweet image. Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud amesema Zanzibar inahitaji mageuzi makubwa ili kushughulikia changamoto za Katiba, Muungano na uhusiano wake na Tanzania. Ametoa kauli hiyo Agosti 23 jijini DSM kwenye kikao na wahariri wa vyombo vya habari.

EditorsForums's tweet image. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud amesema Zanzibar inahitaji mageuzi makubwa ili kushughulikia changamoto za Katiba, Muungano na uhusiano wake na Tanzania. Ametoa kauli hiyo Agosti 23 jijini DSM  kwenye kikao na wahariri wa vyombo vya habari.

Mwanachama wa TEF ambaye pia ni Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake @TAMWA_ , Dk. Rose Reuben akizungumza wakati wa mada ya 'Tunawezaje kubadili dhana na mtazamo juu ya nishati safi ya kupikia?' kwenye Kongamano la Pika Kijanja 2025, jijini Dar es Salam.

EditorsForums's tweet image. Mwanachama wa TEF ambaye pia ni Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake @TAMWA_ , Dk. Rose Reuben akizungumza wakati wa mada ya 'Tunawezaje kubadili dhana na mtazamo juu ya nishati safi ya kupikia?' kwenye Kongamano la Pika Kijanja 2025, jijini Dar es Salam.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Viongozi Wanawake (WPL), Neema Lugangira akikabidhi nakala za Mwongozo wa Uchaguzi Afrika wa Digital na Mitandao ya Kijamii kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri - TEF, Deodatus Balile, katikati ni Makamu M/kiti wa TEF Dk. Bakari Machumu.

EditorsForums's tweet image. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Viongozi Wanawake (WPL), Neema Lugangira akikabidhi nakala za Mwongozo wa Uchaguzi Afrika wa Digital na Mitandao ya Kijamii kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri - TEF, Deodatus Balile, katikati ni Makamu M/kiti wa TEF Dk. Bakari Machumu.

Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile leo ametaja orodha ya majina ya wanachama wapya wa jukwaa hilo ambao ni Innocent Mungy, Rodney Mbuya, Angetila Ossiah, Penzi Nyamungumi, Edda Sanga, Dk. Cosmas Mwaisombwa, Tutus Kaguo na David Rwenyagira.

EditorsForums's tweet image. Mwenyekiti wa TEF,  Deodatus Balile leo ametaja orodha ya majina ya wanachama wapya wa jukwaa hilo ambao ni Innocent Mungy, Rodney Mbuya, Angetila Ossiah, Penzi Nyamungumi, Edda Sanga, Dk. Cosmas Mwaisombwa, Tutus Kaguo na David Rwenyagira.

Heri ya Nane Nane kwa Watanzania wote.

EditorsForums's tweet image. Heri ya Nane Nane kwa Watanzania wote.

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) linampongeza ndugu Ernest Sungura, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Mabaraza ya Habari Duniani (WAPC) na Makamu Mwenyekiti wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (EAPC).

EditorsForums's tweet image. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) linampongeza ndugu Ernest Sungura, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)  kwa kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Mabaraza ya Habari Duniani (WAPC) na Makamu Mwenyekiti wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (EAPC).

UZINDUZI DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2025 - 2050: Rais Samia Suluhu Hassan amesema, taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu wa amani ndio msingi wa mafanikio ya maendeleo ya kweli.

EditorsForums's tweet image. UZINDUZI DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2025 - 2050: Rais Samia Suluhu Hassan amesema, taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu wa amani ndio msingi wa mafanikio ya maendeleo ya kweli.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema wakati umefika kwa wanahabari wa Kiafrika kuonesha taswira nzuri ya Bara la Afrika kwa kuandika habari chanya zenye nguvu na za kutia moyo kuhusu Bara hili.

EditorsForums's tweet image. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema  wakati umefika kwa wanahabari wa Kiafrika kuonesha taswira nzuri ya Bara la Afrika kwa kuandika habari chanya zenye nguvu na za kutia moyo kuhusu Bara hili.

Lindeni tasnia ya habari kwa wivu mkubwa, uwepo wa taarifa zisizo sahihi husababisha taharuki katika jamii hivyo ni wakati wa kuonesha utofauti kwa kuzingatia maadili ya taaluma hii - Dk. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

EditorsForums's tweet image. Lindeni tasnia ya habari kwa wivu mkubwa, uwepo wa taarifa zisizo sahihi husababisha taharuki katika jamii hivyo ni wakati wa kuonesha utofauti kwa kuzingatia maadili ya taaluma hii - Dk. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Vyombo vya habari ni kama maji...- Naibu Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko.

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.