IDIOTmaasai #CactusHouseExperience
@EducatedJobless
✌DO YOUR THING AS I DO MINE✌ *Philanthropy *Godfear *student of TRUTH #StayWise_Quit_Listen #RaisedFromStreet #BHRM #MBA_HRM #StillJobless #Hustler
You might like
Itoshe kusema kwamba kupitia CDM TAL na timu yake wametudundisha mengi sana kuhusu siasa za Tanzania na nina imeani wengi tumejifunza kitu, Tulikua hatuna upinzani Tanzania bali ni kikundi cha wahuni waliokoa wanalamba asali kimywa kimywa iliyokua inadondoshwa kutoka CCM
Ila @CRDBBankPlc, yaani wakiona hela kwenye akaunti yako watahakikisha wanaimaliza kwenye makato, mara hawataki utoe hela dirishani wanataka utoe kwa wakala sijui simbanking, mara sijui check book. Asee ni hatari na nusu, rasmi akaunti yangu naifunga, ushauri wa bank ingine pls
And the point are the same, Corruption, power mongers, poor governance, unemployment, low wages, lack of democracy, poor infrastructure, poor education system, favoritism in government system……… etc
Matamko yaliyotolewa na baadhi ya viongozi wa makanisa dhidi ya malalamiko ambayo wananchi wamekua wakiyatoa kwa serikali haswa suala la utekaji, katiba mpya na uchaguzi yameonyesha kwamba kuna dini na makanisa viongozi wao wapo kwa ajili ya kuchumia matumbo yao, Tujiangalie
“miaka ya nyuma mkazo mkubwa ulikuwa elimu kwa watu wazima ili kuwatoa ujinga, sasa hivi kazi kubwa inapaswa kupewa mkazo ni kuwatoa ujinga vijana” - Profesa Mwesiga Baregu
We hope criticism shall not be illegal, if we chooses democracy then we shall let people speak out their opinions #FreeMdudeNyangali
Kwa vijana wote wapambanaji ambao ndiyo kwanza wanatengeneza maisha yao na ya familia zao kuanzia chini kabisa. Bila kuwa na watu wa kuwashika mkono, Connection, Urithi wala msaada wa ndugu. MUNGU mkuu aendelee kusimama pamoja nanyi. Mapambano yenu yaje kulipa.
Wazazi wetu wana Invest sana kwenye kuwapeleka watoto shule, Mbaya zaidi ni familia maskini zinauza hadi mali zao kupeleka watoto shule bila kujua wanatengeneza msongo zaidi wa mtoto wao kwa baadae, Unamaliza shule unarudi nyumbani kuwa mlevi wa visungura na mali zote zimeuzwa
Video hii ukiiona kwa TL yako wewe Repost Tu 🔥 Rostam Aziz ,kuhusu mahakama zetu
Kiongozi mkubwa ccm kusema kuna genge la watekaji linataka kufarakanisha taifa, kitendo cha watu kusimamisha usafiri wa umma na kuondoka na mtu na kwenda kumuua kwa kujitambulisha kama polisi, Ni ishara mbaya sana kwa serikali na mamlaka zake na itakua busara watu wakijiwajibisha
Dhamira yako ni kuwa Kiongozi Bora, nmeiona baada ya kuona unapata fursa pekee kama Kijana wa Tanzania kuhudhuria mafunzo kadhaa ya kimataifa ya Uongozi. Tuungane kumtafuta @DEUSDEDITHSOKA na Wenzake huenda ni Waziri Mkuu wako ukiwa Rais wa Nchi hii.. Ahsante sana
Tujipongeze kwa repost 200 kwa mzee wetu anaezeeka na akili zake timamu.
"Mtu akija kukukamata akijitamburisha yeye ni Polisi mpige kwanza Selfie mpost kwenye magroup ya Whatssap" Gwajima
Tuna imani kubwa kwamba mpaka sasa hivi wote walio husika na unyanyasaji huu wamekamatwa na taratibu zinaendelea, nitashangaa sana kama bado hamna aliyekamatwa
Miaka kadhaa hapo nyuma nchi yetu iliharibiwa sana, Ilikua sifa ya kuwa kiongozi iwe wa kuchaguliwa kwa kura au kulamba teuzi ni lazima uwe chawa na mlamba viatu wa wenye madaraka, hii imetuharibia sana wasomi, wazee, vijana na wana hatakati. Sasa hv kulamba viatu ni heshima pia
United States Trends
- 1. Davos N/A
- 2. Usha N/A
- 3. Pass the Save Act N/A
- 4. Packets N/A
- 5. Trevon Diggs N/A
- 6. Saka N/A
- 7. Stocks N/A
- 8. Chloe N/A
- 9. Monaco N/A
- 10. #INTARS N/A
- 11. Mosquera N/A
- 12. $NFLX N/A
- 13. Gabriel Jesus N/A
- 14. Rodri N/A
- 15. Macron N/A
- 16. Dortmund N/A
- 17. Ceballos N/A
- 18. Danny Smith N/A
- 19. RIP Bear N/A
- 20. Gulf of Trump N/A
You might like
-
Patrick Nkandi
@PNkandi -
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏
@rutaraka -
Babu Anasa
@babuanasa -
J.James
@Kadulyu -
hansen nasli
@HansenNasli -
I stand for change
@mgaboz -
rahby
@ibrahim_rahby -
Joe
@Archduke50 -
Tate !Gawaxab
@Barongo01 -
Ole
@Mbobezi -
Oluwagembe
@M_Sungwa -
Musobi
@MusobiJacob -
Mr Shadrack
@MrShadracktz -
Livin Athanas Silayo
@Livinho_CR7 -
Louisa
@ChepShiko
Something went wrong.
Something went wrong.