PATRIC
@EngPatricTimoth
CEO(Pattie Investment) Engineer🇹🇿 Back to sender🚶♂️ #SWSWSWSW🤫 Diehard fan @COYG @forcabarçà
You might like
Mchawi wa arsenal ni arsenal mwenyewe. Arteta tusipobeba ndoo atupishe sasa tutamshukuru kwa kuijenga time. #arsenal
Shanga ulivalia tumboni ama zimepanda tu?
Alijaribu kufanya yanayotakiwa ila wamemla kichwa.
Nilijua usingedumu kwenye nafasi hii......wenzio wanataka wasiwe wanavaa uniform, tena wawe wanaenda usiku wa manane kukamata raia!!
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.
You took these pictures to sent to his dad?
Pressure ya kuwa provider inaanza mapema kuliko unavyodhani. Wakati wewe bado unajijenga,familia tayari imeanza kukuona kama tumaini lao. Hakuna aliyekuuliza kama uko tayari,ilikuja tu kama majukumu ya kuzaliwa.
“Mwanamke unayeweza kumpata Leo usisubiri kesho”
Kitu watu wanafeligi kwenye talking stage nikung’ang’ania kumdadisi mwanamke kwenye simu na unakuta hata hajawahi onana nae hata mara mbili, ni siku hio hio wameonana anataka amalize kazi usiku wake. Fanya hivi Kama ni number yake umeshapata kitu cha kwanza cha -
kwanza wewe ushaoa deal na mke ambao hawajaoa ndo wahangaike na kutafuta watu
Majibu si wako nayo kaka wanaangalia namna ya kupindisha ukweli sasa.
Akili kubwa
"Sisi tuna hospitali wagonjwa walikuja kutibiwa Polisi wakaja wakasema tusiwatibu tuwapeleke Mochwari" Father Kitima Ripoti ya CNN ilisema hili jambo la Askari kuchukua wagonjwa waliopigwa Risasi na kuenda kuwamalizia-Leo katibu wa TEC Father Kitima Anaongelea pia kwa uchungu…
No…bado kufikisha income yake…i dont need that many kids…thank you😊🙏🏽
Ee MUNGU siku nikiwa na nafasi ya maamuzi usiache kunivisha vazi la Unyenyekevu na hofu yako. Nijaalie niwe mtulivu na msikivu hasa kwa wale wasiokubaliana nami na niongoze kwa maono makubwa. Nifanye maamuzi kwa kuvaa viatu vya hali halisi ya maisha ya wale ninaowaongoza.
Machozi ya watu yatamlilia MUNGU naye atabadili jana za giza kuwa kesho za Mwanga na Nuru. Haijalishi nyakati ni ngumu kiasi gani, haijalishi hofu ni kubwa kwa kiwango gani, mkono wake wa nguvu utajibu.
Shetani akitaka kukuangusha anakupa Kiburi, jeuri na dharau. Anakufanya ujione una uwezo wa kufanya lolote unalotaka wewe bila kujali lolote. Anakufanya ujione una Upekee wa ajabu usiolinganishwa na binadamu yeyote yule.
¿Y TÚ ERES MADRE TAMBIÉN ? Hii kauli ya Rais Samia, sio kauli ambayo unategemea kuisikia kutoka kwa MAMA, wala kutoka kwa COMFORTER IN CHIEF. Mama zangu (wakubwa na wadogo), Mama Mzazi, Shangazi zangu na even Dada zangu ambao tayari wana Watoto, wote kila mmoja kwa Wakati wake…
Ewe mwanadamu ambaye nawe hautaishi milele hapa duniani, ewe mwanadamu ambaye siku zako zinahesabika, tena uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi, unawezaje kushangilia mambo mabaya yaliyowapata wanadamu wenzako? Unawezaje kukejeli na kudhihaki katika nyakati hizi?
Samia Suluhu Hassan is NOT my President. RT if you agree.
When the government fails to change the lives of the people, the people must change the government.
United States Trends
- 1. Valentines Day N/A
- 2. Range Rover N/A
- 3. #RISERCONCERTD2 N/A
- 4. Culver N/A
- 5. JASPER 2ND RISENSHINE N/A
- 6. #Adrenaline3rdWin N/A
- 7. SWAT N/A
- 8. #SmackDown N/A
- 9. Bronwyn N/A
- 10. #FromMintoWithLove N/A
- 11. Tubi N/A
- 12. #whatisyourlovesong N/A
- 13. Hampton N/A
- 14. Tory N/A
- 15. Rupert N/A
- 16. Sami N/A
- 17. Bitboy N/A
- 18. Reid Hoffman N/A
- 19. Edmund N/A
- 20. Taiwan N/A
You might like
-
ULUGURUNI_ GREAT_EMPIRE 204
@WensislausWilli -
Latino mafia
@baumbajunior -
Japha ED
@01892772eJapha -
eppy.
@eppy_Kiria -
BRAIN HALISI #BH 🍁 🍻
@Gwantah_Brain -
Hanslay Jr Kaombwe
@HanslayK -
RETWEET MASTER
@Paschal255 -
Joseph jr
@JosephHussein90 -
centdiazjr
@jacksonedwin14 -
Innocoq.dr
@innocoq -
Ndomba Jr
@Ndomba_9 -
CHIEF MPYANA
@chief_mpyana
Something went wrong.
Something went wrong.