Heisnasry's profile picture. Choosen Son 😇

Nasry🐦

@Heisnasry

Choosen Son 😇

Pinned

Acc 4 sale 💰💸


Nasry🐦 reposted

Maisha ya Mwanaume ni kutafuta kila kitu... utafute Mke, Pesa, amani ,usingizi na bado utafute ufalme wa Mbinguni..🙌🏿


Nasry🐦 reposted

CDF - JACOB JOHN MKUNDA✍️🇹🇿


Nasry🐦 reposted

Dada Kama umetokea kwenye zile familia ambazo mama ndio muamuzi mkuu wa familia jua wewe hufai kua mke , utaishia kumsumbua tu mkaka wa watu kwa kiburi chako na kukosa adabu 😎 .


Nasry🐦 reposted

• Nilikutongoza . • Nimekuona unastahili kuwa mke wangu. • Nilikwenda kwa wazazi wako kuwajulisha nia yangu kwa binti yao. • Nilitumia mamilioni ya mahari yako na bidhaa nilizopewa kununua kama orodha yako ya ndoa. • Unakuwa jukumu langu kuanzia sasa. • Sasa, sina budi…


Nasry🐦 reposted

Nilichokuja kugundua wanaume hata sio watu wabaya ila sisi wanawake ni wajinga😆🙌🏾


Nasry🐦 reposted

Mafanikio yako yatawakera watu wengi hata wale ambao walitamani ufanikiwe, watu hupenda kuona shida tu kwa watu,wanapenda mfanane kimaisha ukipiga hatua ni chukizo kwao na endapo ukifanikiwa kuwazidi ndio balaa linazidi📌


Nasry🐦 reposted

Ukitongoza manzi mpya akaanza kwa kuomba pesa mapema, temana nae. Usitumie pesa kama kigezo kikuu cha kumpata. Kuna Potassium nyingi sana mtaani sikuhizi hazina baya.


Nasry🐦 reposted

Ukimya ni kinga, hasa unapopiga hatua kwenye fedha. Watu wanaweza kumtaja Mungu unapofeli, lakini wakakutaja wewe unapofanikiwa. Hivyo, ukipata mafanikio, punguza kelele, ongeza maombi, na endelea mbele bila kutafuta makofi.


Nasry🐦 reposted

Kama mwanaume wa miaka 30, mwanamke mkubwa zaidi wa kuchumbiana naye awe na miaka 24. Mwanamke aliye juu ya umri huo afuate wanaume walio na umri mkubwa zaidi. Thread:👇

Labella_Mafia95's tweet image. Kama mwanaume wa miaka 30, mwanamke mkubwa zaidi wa kuchumbiana naye awe na miaka 24. 

Mwanamke aliye juu ya umri huo afuate wanaume walio na umri mkubwa zaidi.

Thread:👇

Nasry🐦 reposted

Mkumbushe mwanao kwamba mlinzi getini kwako, huku kwetu ni mlezi wa familia na ni mtu muhimu sana kwetu….

Nnauye_Nape's tweet image. Mkumbushe  mwanao kwamba mlinzi getini kwako, huku kwetu ni mlezi wa familia na ni mtu muhimu sana kwetu….

Nasry🐦 reposted

Giza litakuja mchana utagueka usiku ghafla ambavyo haijawahi kutokea, kila mmoja atalishuhudia. Mwenye masikio na asikie. Tembelea #CodeszaUnabii


Nasry🐦 reposted

Nikiingia kwako nipate a 32 inch TV, I won't expect a lot from you. Hata nikiwalk out bila kunywa maji kutoka kwako is expected and accepted coz that is a clear indication life hasn't been easy on you.


Nasry🐦 reposted

Wanangu, Kama upo salama comment hapa.🫡

ze_mandevu's tweet image. Wanangu, Kama upo salama comment hapa.🫡

Nasry🐦 reposted

Kuwa mkimya na mpole haimanishi huyo mtu ni mwema sana je ushawahi kuona nyoka Anaongea?✍


Nasry🐦 reposted

Success is not an accident 🟡🔵

Cristiano's tweet image. Success is not an accident 🟡🔵

Nasry🐦 reposted

Obsessed with nature ☺️

favuritebella's tweet image. Obsessed with nature ☺️
favuritebella's tweet image. Obsessed with nature ☺️
favuritebella's tweet image. Obsessed with nature ☺️

Nasry🐦 reposted

Moja ya nchi yenye wanasiasa wanafiki kupita zote duniani ni Tanzania


Nasry🐦 reposted

Sio kila siku we ndio wa kuomba kwa Mungu siku nyingine we shukuru Tu 🤲


Nasry🐦 reposted

Goodmorning! Jamaa yako anayekupambania na wewe upate chochote kitu yupo bega kwa bega ukiwa na hali ya chini huyo ndio rafiki na ndugu binadamu wa hivo wapo wachache sana


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.