JSmartmind's profile picture. System Developer

SmartMind J

@JSmartmind

System Developer

Karibu tuwe na mazungumzo yenye tija kama vijana.

Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI Tutakuwa na panel ya wataalamu @FredMaOfficial @gabyconscious @JSmartmind Na wengine wengi, Karibu

TechNaSisi's tweet image. Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana

Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI 

Tutakuwa na panel ya wataalamu 
@FredMaOfficial 
@gabyconscious 
@JSmartmind 

Na wengine wengi, Karibu


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Ni vizuri kuwaandaa watoto wetu mapama kujifunza ujuzi wa computer, Changamoto kubwa ni "Ujuzi gani watoto wanapaswa kuanza kujifunza ili kujenga msingi wao katika computer?" Usikose leo kwenye X-spaces kuanzia saa 2: 30 usiku tujadili

TechNaSisi's tweet image. Ni vizuri kuwaandaa watoto wetu mapama kujifunza ujuzi wa computer,

Changamoto kubwa ni "Ujuzi gani watoto wanapaswa kuanza kujifunza ili kujenga msingi wao katika computer?"

Usikose leo kwenye X-spaces kuanzia saa 2: 30 usiku tujadili

Asante sana Tech Na Sisi Foundation. Mjadala mzuri sana huu. 💯💯💯


Here we go...

Yes, get ready, ni leo saa 2: 30 Usiku, share na wengine Link ya spece x.com/i/spaces/1vOGw…



Karibu tuweze kusikia kutoka kwa wengine na kuchangia mawazo yetu. Tuungane pamoja saa mbili na nusu usiku ifikapo kesho tarehe 24

Maswali yamekuwa mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer. Usikose kuungana nasi kesho Jumapili 24 November kwenye X sapaces kuanzia saa 2: 30 - 4: 00 usiku. Maswali yatajibiwa.

TechNaSisi's tweet image. Maswali yamekuwa mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer.

Usikose kuungana nasi kesho Jumapili 24 November kwenye X sapaces kuanzia saa 2: 30 - 4: 00 usiku. 

Maswali yatajibiwa.


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Kwa kawaida, upi ni umri sahihi wa mtoto kuanza kujifunza mambo ya computer? Kesho usikose kwenye space hosted by @TechNaSisi kushirikiana na @TOTTechs tujadili kwa kina (2: 30 - 4: 00 USIKU)

TOTTechs's tweet image. Kwa kawaida, upi ni umri sahihi wa mtoto kuanza kujifunza mambo ya computer?

Kesho usikose kwenye space hosted by @TechNaSisi kushirikiana na @TOTTechs tujadili kwa kina (2: 30 - 4: 00 USIKU)

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Heri ya siku ya wafanyakazi.

TechNaSisi's tweet image. Heri ya siku ya wafanyakazi.

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Asanteni wana X kwa upendo wenu. Tumefanikiwa kupata wafuasi 100 🙏 #TechNaSisi #InnovationStartsHere

TechNaSisi's tweet image. Asanteni wana X kwa upendo wenu. Tumefanikiwa kupata wafuasi 100 🙏

#TechNaSisi #InnovationStartsHere

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Wakati tunaendelea kupush #Hashtag na kusubiri fainali ya Mapinduzi tufanye kuifollow hii akaunti halafu tutulie tuliiiii @TechNaSisi @TechNaSisi @TechNaSisi @TechNaSisi @TechNaSisi @TechNaSisi RT ifike na kwa wadau kwenye TL yako.


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

#Tuambie Kwako ni umri gani sahihi kwa mtoto kuanza kujifunza mambo ya Teknolojia? #TechNaSisi #InnovationStartsHere

TechNaSisi's tweet image. #Tuambie 
Kwako ni umri gani sahihi kwa mtoto kuanza kujifunza mambo ya Teknolojia?

#TechNaSisi #InnovationStartsHere

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Heri ya miaka 60 ya Mapinduzi.

TechNaSisi's tweet image. Heri ya miaka 60 ya Mapinduzi.

At some point. Issue sio kupost. As a man, najitahidi kuona what am I posting. Ni bora nikae kimya kuliko kupost ujinga ambao nitawaponza wengi. #Bettermen


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Unaamka siku moja, na kujisemea, basi inatosha. ENOUGH IS ENOUGH! Unavuta pumzi na kuamua utest bahati yako uwe Tech Founder hapa TZ. These are my 10 pieces of advice which would save you from making a lot of mistakes. 🧵

iamKaga's tweet image. Unaamka siku moja, na kujisemea, basi inatosha. ENOUGH IS ENOUGH!

Unavuta pumzi na kuamua utest bahati yako uwe Tech Founder hapa TZ.

These are my 10 pieces of advice which would save you from making a lot of mistakes.

🧵

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Having fun playing around with @AzamPay_'s APIs, some cool shit you got you guys. However I found some issues that could make everything bananas 1. Inconsistency in response payloads(Docs vs the actual response) i.e

BaharaJr's tweet image. Having fun playing around with @AzamPay_'s APIs, some cool shit you got you guys.

However I found some issues that could make everything bananas

1. Inconsistency in response payloads(Docs vs the actual response)
i.e
BaharaJr's tweet image. Having fun playing around with @AzamPay_'s APIs, some cool shit you got you guys.

However I found some issues that could make everything bananas

1. Inconsistency in response payloads(Docs vs the actual response)
i.e

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

We're heading to Asia this summer! 🙌 ⚽️ Atletico Madrid 📍 World Cup Stadium 📆 Sunday 30 July

ManCity's tweet image. We're heading to Asia this summer! 🙌

⚽️ Atletico Madrid
📍 World Cup Stadium
📆 Sunday 30 July

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Just finished uploading the second section of my Laravel Beginner's Guide (KISWAHILI VERSION). Besides CRUD what do you think newbies should learn? Find out more here...👇👇👇 vastlabs.co.tz/view-course/1/…

george_raphael_'s tweet image. Just finished uploading the second section of my Laravel Beginner's Guide (KISWAHILI VERSION). Besides CRUD what do you think newbies should learn? Find out more here...👇👇👇
vastlabs.co.tz/view-course/1/…

SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Each time I want to fight for Africans, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me ~ Burombo.


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Haya yalisemwa mwaka 1998 kuhusu Afrika bado ni ukweli na hakuna hata moja limebadilika. Viongozi wa Afrika ni tatizo kwa maendeleo yetu.


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Tomorrow (3rd December 2022), I will be having a session on DHIS2 platform (OpenSource) and its opportunities @dhis_2 for the DevFest22 #DevFest22 #DevFestDar22 #GDGDar at the University of Dar es Salaam - Audition Conference Hall 0800 - 1700 hrs. Devs + others you're welcome


SmartMind J รีโพสต์แล้ว

Chat Bot Response System Using Python #python morioh.com/p/3a6b5769db3a…


United States เทรนด์

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.