#jamiiforums wyniki wyszukiwania
⚠️ Saratani ya mlango wa kizazi ni changamoto inayogharimu maisha ya wanawake wengi. 🗓️Ungana nasi jioni pamoja na #JamiiForums upate nafasi ya kupata elimu na kuuliza maswali kuhusu chanjo ya HPV. ➡️ Inayotolewa sasa bila malipo kwa mabinti wa miaka 9 hadi 14.
Akizungumza katika Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) ngazi ya Astashahada na Stashahada, Desemba 15, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums, Maxence Melo alisema Binadamu yeyote anategemea Taarifa ili afanye Maamuzi Sahihi, hivyo ubovu wa…
KENYA: Serikali imetangaza kuingiza Vikosi vya Jeshi la Ulinzi maeneo yote yanayodaiwa kuwa na Vurugu kwa lengo la kusaidiana na Askari Polisi katika kuwatuliza Waandamanaji #FreeSpeech #JamiiForums
Iko hivi; PICHA A : Ni kilichokuwa kiwanda cha kusindika nyama cha Tanganyika Peckers kilichojengwa na wakoloni eneo la kawe mwaka 1947. Kwa mujibu wa #jamiiforums kiwanda hicho kiliweza kuajiri Watanganyika zaidi ya 2500. Yaani kilitoa ajira za moja kwa moja 2500 achilia mbali…
Umri wako haufafanui Busara zako, Elimu yako haifafanui akili zako, na Umaarufu wako haufafanui wewe ni nani kwenye jamii, kitakacho kufafanua wewe ni matendo yako mbele ya jamii. #jamiiforums #elimika #busara
Wadau wa JamiiCheck walishiriki Kuthibitisha kwa kubaini mapungufu yanayoonesha kuwa grafiki hiyo haikutolewa na #JamiiForums, bali ilihaririwa kutoka kwenye chapisho lenye Taarifa tofauti. Kupitia QR-CODE, ilibainika kuwa grafiki hiyo ilitokana na chapisho lililohusu tamko la…
Yakupasa kuepuka kuamini kila jambo unalokutana nalo Mtandaoni kabla hujafanya uhakiki na kujua ukweli wake. #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Uzalishaji na usambazaji wa taarifa potofu husababisha madhara makubwa kwa jamii Je, umeshawahi kupata madhara gani kutokana na taarifa potofu? #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Tukichagua kutumia maneno yenye heshima, tutaweza kujenga mazingira salama, yenye amani kwa wote mtandaoni. Chagua kuandika kwa hekima. Chagua kuandika kwa upendo. #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech…
Tembelea Jukwaa la JamiiCheck kuweza kupata uhalisia (Ukweli/Uzushi/Nadharia) wa Taarifa Mbalimbali Kufikia Jukwaa hili bofya JamiiCheck.com #JamiiForums #JamiiCheck #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #FactCheck
Takwimu za TCRA zinaonesha kuwa Facebook ni kinara miongoni mwa mitandao ya kijamii inayotumiwa zaidi Tanzania. Kwa mtazamo wako unadhani kwanini FB inaonekana kuwa na watumiaji wengi zaidi? #JamiiSalama #JamiiForums #Eurovision2023
Taarifa Potofu huzalishwa kila siku ndani na nje ya Mitandao, ni muhimu kuchukua hatua kuhakiki taarifa mbalimbali kwa kutembelea #JamiCheck, jukwaa la uhakiki ili ujiridhishe uhalali wa taarifa husika #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
⚡ Win JamiiForums readers by solving the thread’s blocker, linking with anchor text to a page that repeats the promise, and giving one clear next step. Read: adclicks.thereview.website/jamiiforums-ex… #JamiiForums #Publishing #Content #Adclicks #Growth
Mdau wetu, Shiriki nasi katika kufanya uhakiki wa Nadharia hii iliyopo kwenye Jamii zetu. Tuandikie unachokiamini pamoja na sababu za kwanini unaamini hivyo #JamiiCheck #JamiiForums #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #VisitJamiiCheck
Je mabadiliko gani ungependa kuyaona ili kuhakikisha uwepo wa Kijinsia katika Miaka 5-25 ijayo nchini. Toa mawazo yako ya ubunifu kupitia Shindano la #StoriesOfChange Link jamii.app/SoC04 #JamiiForums #SoC2024 #StoriesOfChange2024 #AndikaNaUshinde #TanzaniaTuitakayo
Kumeibuka chapisho la Desemba 22, 2024 lenye nembo ya #JamiiForums likimnukuu Freeman Mbowe akisema hagombei nafasi ya Uenyekiti ila Tundu Lissu atauwa Chama. Ufuatiliaji wa JamiiCheck umebaini kuwa chapisho hilo halina Ukweli na wala halijawahi kuchapishwa katika kurasa rasmi…
Wananchi wakiwa na Utamaduni wa kuhakiki taarifa, Viongozi watawajibika kuanza kutoa taarifa sahihi ili kukwepa kukosolewa kwa kutoa taarifa potofu Soma jamii.app/UhakikiUwajibi… #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
⚡ Win JamiiForums readers by solving the thread’s blocker, linking with anchor text to a page that repeats the promise, and giving one clear next step. Read: adclicks.thereview.website/jamiiforums-ex… #JamiiForums #Publishing #Content #Adclicks #Growth
Tukichagua kutumia maneno yenye heshima, tutaweza kujenga mazingira salama, yenye amani kwa wote mtandaoni. Chagua kuandika kwa hekima. Chagua kuandika kwa upendo. #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech…
Maneno yana nguvu. Tuchague kusema kwa Heshima, si kwa Kudhalilisha. Kataa lugha ya Chuki, tujenge jamii ya Utu. #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa
Turejee enzi zile za shule, pale tulipowapa Walimu wetu majina ya utani yaliyojaa ubunifu na ucheshi, bila shaka kila mmoja anakumbuka jina moja au mawili yaliyobaki kuwa kumbukumbu zetu mpaka leo. Kushiriki mjadala jamii.app/MajinaWalimuUt… #JamiiAfrica #JamiiForums #JFChitChat
Mdau, una maoni gani kuhusiana na mistari ya wimbo huu? Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. Zaidi bofya jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Waswahili wanasema “Mnyonge akipumua hujipa moyo.” Mdau, zingatia mahitaji ya mwili wako. Ikiwa umechoka kiakili na kimwili, kupumzika ni jambo la busara. Zaidi bofya jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Kushiriki mijadala mingine tembelea JamiiForums.com #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa
Mdau, kupitia picha hii umeelewa nini? Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. Zaidi bofya jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Kauli za chuki mtandaoni haziishi tu sehemu ya “comment” mtandaoni? Huwa zina adhari kwa mtu anayezipokea na hata kumuumiza kihisia na kumsababishia matatizo ya Afya ya akili. Tembelea JamiiForums.com kwa mijadala mingine #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights…
Mdau, kupitia picha hii umeelewa nini? Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Mdau, kupitia picha hii tunga sentensi kwa kuanza na neno "huku". Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Kusoma kwa undani habari hizi na mengine yaliyojiri juma lililopita bofya jamii.app/YaliyojiriJuma… #JamiiAfrica #JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons
Mtag rafiki yako dereva unayemuamini 100% kwamba angekupitisha hapa salama 😀 Zaidi bofya jamii.app/UjasiriUngeweza #JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChat
Mdau, huyu unampa ushauri gani? Shiriki mjadala huu jamii.app/UraibuKula #JamiiForums #JamiiAfrica #JFMahusiano
Mdau, Tunga sentensi inayoelezea kile kinachoendelea kwenye picha hii. Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. Bofya jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Mdau, kupitia picha hii ni ujumbe gani umeupata? Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha
Mdau, Je unafahamu asili ya jina la eneo unaloishi? 😀 Mjadala zaidi jamii.app/AsiliYaEneo #JamiiForums #JamiiAfrica #JukwaaLaHistoria
Je, unampa Mdau ushauri gani? Kushiriki Mjadala huu bofya jamii.app/ChangamotoYaNd… #JamiiForums #JamiiAfrica #JFMahusiano
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Jukwaa la Siasa anasema katika kipindi hiki cha Uchaguzi na uteuzi wa Wagombea, Wananchi wameonekana kuwakataa wale Wagombea walioteuliwa na chama husika. Shiriki Mjadala jamii.app/MtuBinafsi #JamiiForums #Accountability #Misinformation…
Mwanasaikolojia Nadia Ahmed amesema kuwa kauli za Chuki Mtandaoni huleta madhara mbalimbali ya Kisaikolojia kwa Mtu anayekumbana nazo Mtandaoni na husababisha kuathiri matendo na maamuzi ya muhusika. Tembelea Jukwaa la JamiiForums.com #JamiiForums #JamiiAfrica…
Akizungumza katika Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) ngazi ya Astashahada na Stashahada, Desemba 15, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums, Maxence Melo alisema Binadamu yeyote anategemea Taarifa ili afanye Maamuzi Sahihi, hivyo ubovu wa…
Uzalishaji na usambazaji wa taarifa potofu husababisha madhara makubwa kwa jamii Je, umeshawahi kupata madhara gani kutokana na taarifa potofu? #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Umri wako haufafanui Busara zako, Elimu yako haifafanui akili zako, na Umaarufu wako haufafanui wewe ni nani kwenye jamii, kitakacho kufafanua wewe ni matendo yako mbele ya jamii. #jamiiforums #elimika #busara
Wananchi wakiwa na Utamaduni wa kuhakiki taarifa, Viongozi watawajibika kuanza kutoa taarifa sahihi ili kukwepa kukosolewa kwa kutoa taarifa potofu Soma jamii.app/UhakikiUwajibi… #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Taarifa Potofu huzalishwa kila siku ndani na nje ya Mitandao, ni muhimu kuchukua hatua kuhakiki taarifa mbalimbali kwa kutembelea #JamiCheck, jukwaa la uhakiki ili ujiridhishe uhalali wa taarifa husika #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Mdau wetu, Shiriki nasi katika kufanya uhakiki wa Nadharia hii iliyopo kwenye Jamii zetu. Tuandikie unachokiamini pamoja na sababu za kwanini unaamini hivyo #JamiiCheck #JamiiForums #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #VisitJamiiCheck
Yakupasa kuepuka kuamini kila jambo unalokutana nalo Mtandaoni kabla hujafanya uhakiki na kujua ukweli wake. #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alizungumza haya alipotembelea Ofisi za #JamiiForums Mei 9, 2024 #Jamiicheck #HakikiTaarifa #Disinformation #FactCheck #VisitJamiiCheck
Baadhi ya maoni yaliyotolewa na Wadau wa #JamiiChek kuhusu Nadharia inayodai kuwa Mwanamke akichuma Mboga za majani wakati wa Hedhi, bustani au mboga inayobakia shambani hukauka Je, unakubaliana na maoni haya? Soma jamii.app/MythZaHedhi #JamiiForums #FactsChecking…
Kumeibuka chapisho la Desemba 22, 2024 lenye nembo ya #JamiiForums likimnukuu Freeman Mbowe akisema hagombei nafasi ya Uenyekiti ila Tundu Lissu atauwa Chama. Ufuatiliaji wa JamiiCheck umebaini kuwa chapisho hilo halina Ukweli na wala halijawahi kuchapishwa katika kurasa rasmi…
Takwimu za TCRA zinaonesha kuwa Facebook ni kinara miongoni mwa mitandao ya kijamii inayotumiwa zaidi Tanzania. Kwa mtazamo wako unadhani kwanini FB inaonekana kuwa na watumiaji wengi zaidi? #JamiiSalama #JamiiForums #Eurovision2023
Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kupata Uhalisia wa posti zinazosambaa zenye nembo za #JamiiForums, #TheChanzo, #MwanaHabari, na #HabariDigital na picha za Freeman Mbowe na Tundu Lissu na jumbe kama 'Mbowe: Lissu anatunza Fedha zake Ubelgiji bado anawahadaa Watu…
⚠️ Saratani ya mlango wa kizazi ni changamoto inayogharimu maisha ya wanawake wengi. 🗓️Ungana nasi jioni pamoja na #JamiiForums upate nafasi ya kupata elimu na kuuliza maswali kuhusu chanjo ya HPV. ➡️ Inayotolewa sasa bila malipo kwa mabinti wa miaka 9 hadi 14.
Wadau wa JamiiCheck walishiriki Kuthibitisha kwa kubaini mapungufu yanayoonesha kuwa grafiki hiyo haikutolewa na #JamiiForums, bali ilihaririwa kutoka kwenye chapisho lenye Taarifa tofauti. Kupitia QR-CODE, ilibainika kuwa grafiki hiyo ilitokana na chapisho lililohusu tamko la…
Akichangia chapisho la #JamiiCheck la Novemba 16, 2024 lililokuwa likikanusha Post iliyochapishwa kwa kutumia Nembo ya #JamiiForums, #MawlidSuleyman anasisitiza umuhimu wa Kuthibitisha kila Taarifa kabla ya kuiamini Katika Mjadala huo, Mdau anaeleza kuwa Ni muhimu Kuthibitisha…
Hayo sio maneno yangu ni kwa mujibu wa #jamiiforums tafadhali acheni makasiriko Shabiki wa Simba sema woyooo😂😂😂🤣
Ikiwa ni Shindano la Stories Of Change 2024. Shiriki uwe miongoni mwa wanaoshindania zaidi Tsh 50 mil wasilisha 👉 jamii.app/SoC04 @JamiiForums @StoriesOfChange #JamiiForums #StoriesOfChange2024 #SoC2024 #TanzaniaTuitakayo #AndikaNaUshinde
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. Virginia 469K posts
- 2. #DWTS 38K posts
- 3. New York 866K posts
- 4. Sixers 12.3K posts
- 5. Mamdani 1.1M posts
- 6. Bulls 32.9K posts
- 7. Embiid 5,877 posts
- 8. Maxey 7,610 posts
- 9. Jay Jones 87.9K posts
- 10. #Election2025 14.4K posts
- 11. Cuomo 376K posts
- 12. Andy 63.4K posts
- 13. Josh Giddey 4,819 posts
- 14. Whitney 11K posts
- 15. Louisville 126K posts
- 16. #SeeRed 3,017 posts
- 17. Alix 7,124 posts
- 18. WOKE IS BACK 23K posts
- 19. RIP NYC 12.1K posts
- 20. Sherrill 101K posts