Potrebbero piacerti
Hawa viongozi wa siasa tena CCM wakitoka uongozini wanaenda kumjua MUNGU lakin kwenye utendaji ni wabakaji wa madaraka kiongozi wa Chama ipo juu Kwa mtumishi wa serikali kwa Sasa mfano hai viongozi wote wa CCM iwe Chin Hadi juu wapo juu Kwa mtumishi wa serikali
Tangu Lin sherehe za Mila kudai kibali Kama si ujinga Sawa leo ni nafasi yao mungu yupo macho Kwa ujinga
Huu upuuzi hauwezi kukubalika. Kwa hiyo sherehe za kipaimara, ubarikio, Misa tuomba kibali @tanpol ? Nchi hii imefika pabaya Sana.@MariaSTsehai @godbless_lema @TunduALissu @mwaipungu24 @lifeofmshaba @HecheJohn
Huu upuuzi hauwezi kukubalika. Kwa hiyo sherehe za kipaimara, ubarikio, Misa tuomba kibali @tanpol ? Nchi hii imefika pabaya Sana.@MariaSTsehai @godbless_lema @TunduALissu @mwaipungu24 @lifeofmshaba @HecheJohn
Jamani naomba DUA ZENU. Naelekea BUJUMBURA-BURUNDI kwa Majukumu ya HAKI. Nikiweza nitakwenda hadi nyumbani kwa akina MAHIRANE.😂😂
MH ukweli Kuna Shida sehemu Kijumla watanzania Hawa amani kwa sehemu nyingi Tanzania 😭Mojawapo ni ngorongoro watu wanaishi Kama watumwa Hakuna maendeleo miaka mitatu tarafa nzima ngorongoro sisi maamuzi ni yako au watumishi wako ngorongoro afya barabra elimu empty 😭😭😭
Baada ya kutoka kijijini Ngarash mkoani Arusha, nimewasili Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika. Katika mkutano huu, pamoja na mambo mengine tutajadili kuhusu amani na usalama wa nchi zetu, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni
Mama sisi wamasai wa ngorongoro hatuna amani wala Uhuru wa kuishi Kama watanzania wengine Miundombinu mibovu ya elimu afya barabra Na kunyimwa maendeleo miaka mitatu Hadi Sasa amani iko wapi Kwa watu wako
CCM ni wauaji na ni aduii wa kila mtu mjenga taifa letu Angalia na uogopa mtu nakutolewa rambirambi kabla ya kifo chako wana uhakika mauaji yao Kazi tunayo CCM si baba wala Mama msemo wa baba wa taifa
Ni vema @ccm_tanzania mtuambie ilikuwaje mkatoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla ya kufariki? Kwamba ni kweli mlimuwekea sumu na mlijua atakufa ndo maana mkatoa salamu za rambirambi kabla ya mauti yake? Naomba kibali cha ndugu niwapeleke mahakama hawa ccm
Elimu wa Sheria ni muhimu na Kama wataki kwenda na Sheria waseme
PENAL ACT (Zanzibar): Hii ndiyo sheria ya Zanzibar (Penal Act, No. 6) inayosemekana inazuia masai kutembea na "silaha za jadi". Ni hatari kwa mwanasheria kusoma na kufafanua sheria kwa HISIA, haisaidii jamii. Hii sheria ikisomwa kwa umakini, tena yote, kama masai anabeba silaha
@Myson_Nkurrunah @locke @KitendeK @Lemartimusic @_Ndwati @Oskaretelesur @RelatorDd @MfagajiAsili @PMadeleka @gwangwayyohani @newint @elisha_luk34944 @SalangatM @achpr_cadhp @JohnTMollel @OryemNyeko @NnokoMewanu @WanjohiK @AndresSchipani @katiemcque @Katie_Surma @LatoyaAbulu
Very delayed Brief Background of the Loliondo Hunting Block and Long-Lobbied for Crime Contents: Mwinyi Mkapa Kikwete Magufuli Samia termitemoundview.blogspot.com/2024/01/brief-…
Wajaribu Kama wamechoka waje ndo watajua wajui wamasai ni Nani Tanzania na Duniani 🔥🔥 Acha utani serikali hata wakukusanya jeshi lote vazi lazima
Mashuka au rubega za Wamasai pia ni hatari sana, wanaweza kukukamata na kukunyonga nayo mpaka unakufa. Serikali ya Tanzania ipige marufuku haya mavazi.
@NavayaoleNdasko @Oleshangay @tubuluTLS20 @loserian_maoi @ndoinyo @TunduALissu @zittokabwe @Advocate_Jebra @ThabitSenior @ThatBoyKhalifax @fatma_karume @MariaSTsehai @Mittaloak @StephenCorrySvl @PINGOsForum @Melubo_ @OTaiwap @OfisiMbunge @Oleshangai @reddmonitor @ndycurrier
Very delayed Brief Background of the Loliondo Hunting Block and Long-Lobbied for Crime Contents: Mwinyi Mkapa Kikwete Magufuli Samia termitemoundview.blogspot.com/2024/01/brief-…
Hadi kielewkewe sisi ni watu tunajenga taifa la Tanzania
CHADEMA tumetangaza awamu ya Pili ya Maandamano. Sasa ni Mwanza, Mbeya na Arusha
Taifa na mzigo ndo hawa viongozi wa hovyo hovyo wakati wananchi wanapinga mswada wa Sheria mbovu ya uchaguzi wabunge wanapitisha Sheria Kwa nguvu zote ukweli taifa Hilo ujinga na umasikin wa mawazo ni kubwa @agnesSwai2 @AbroadTanzania @BabaMwita @DenisMoses14
Ukweli utamaduni wetu ni lazima si ombe kila kitu Kwa Sasa ndugu zangu ni adui uongo hata shetani ana roho mbaya kama hizi za serikali ya CCM
United States Tendenze
- 1. Eric Dane N/A
- 2. Baby Keem N/A
- 3. McSteamy N/A
- 4. Jamal Murray N/A
- 5. FRLG N/A
- 6. WE LOVE YOU TAEHYUNG N/A
- 7. LeafGreen N/A
- 8. Aliens N/A
- 9. FireRed N/A
- 10. #TheTraitorsUS N/A
- 11. WITH TAEHYUNG TILL THE END N/A
- 12. LINGLING BA FRAGRANCE DIOR N/A
- 13. #LinglingxDiorFragrance N/A
- 14. Cade N/A
- 15. UFOs N/A
- 16. Pistons N/A
- 17. Grey's Anatomy N/A
- 18. Knicks N/A
- 19. eShop N/A
- 20. #thepitt N/A
Potrebbero piacerti
Something went wrong.
Something went wrong.