Letvshenko's profile picture. Your trust will get you killed

Masha⏳

@Letvshenko

Your trust will get you killed

Pinned

Live your life well so that we don't have to lie at your funeral 🎇


Masha⏳ reposted

A wise man cuts off dead friendships fast. Foolish men keep them and wonder why they’re stuck.


Masha⏳ reposted

Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni. Kwa kweli ni nyingi. Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe. Asanteni sana Siwezi kuwashukuru mmojammoja


To Me it was very wrong from the very beginning, all I can say they are bunch of illegitimate! No comment on whatsoever they are/will be doing......I will just stick to the real liberation when everyone will be equal before the law🙏


Tangu tume ya Nyalali, Kisanga then warioba bado mtu anazungumzia suala la muda smh 😕

VIDEO: Mwanasiasa mkongwe na mchambuzi wa siasa Saidi Miraj amesema kuwa suala la upatikanaji wa Katiba mpya si jambo la kufanya kwa haraka, bali linahitaji mpangilio wa muda, umakini na hatua za maridhiano ili kufanikisha matakwa ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano…



Unaongea kama umekatwa kichwa

Letvshenko's tweet image. Unaongea kama umekatwa kichwa

Kitendo cha viongozi wa Chadema kina Heche nawezake kuachiwa kama njia ya kuelekea kwenye Maridhiano, Sipati picha wale wahalifu wa nchi kina Mange na Maria huko watakuwa na hali gani, maana biashara ya damu za Watz imekufa rasmi…. wataanza kuwatukana wenzao wa Chadema soon…



Letvshenko's tweet image.

Maombi yetu kwa familia za wahanga wa vurugu zilizotokea Indonesia wakati wa mechi ya wapinzani wa jadi kati ya Arema na Persbaya Surabaya. Tunawaombea waliopata majeraha wapone na waliotangulia mbele za haki wapumzike kwa amani. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko



Don't trust veggies

Uyu mkuu wa mkoa wa Njombe watamuacha kweli?



Masha⏳ reposted

One post (I posted miezi iliyopita) had the Impact on someone's Trading Career! Tulianza Show Julai 3... Two weeks trading Journals (Nimeweka chini hapo). Ndani ya wiki mbili, Loss ni MOJA. Am DONE......✅✌

Almalik_Mokiiwa's tweet image. One post (I posted miezi iliyopita) had the Impact on someone's Trading Career!

Tulianza Show Julai 3...

Two weeks trading Journals (Nimeweka chini hapo). Ndani ya wiki mbili, Loss ni MOJA.

Am DONE......✅✌
Almalik_Mokiiwa's tweet image. One post (I posted miezi iliyopita) had the Impact on someone's Trading Career!

Tulianza Show Julai 3...

Two weeks trading Journals (Nimeweka chini hapo). Ndani ya wiki mbili, Loss ni MOJA.

Am DONE......✅✌
Almalik_Mokiiwa's tweet image. One post (I posted miezi iliyopita) had the Impact on someone's Trading Career!

Tulianza Show Julai 3...

Two weeks trading Journals (Nimeweka chini hapo). Ndani ya wiki mbili, Loss ni MOJA.

Am DONE......✅✌
Almalik_Mokiiwa's tweet image. One post (I posted miezi iliyopita) had the Impact on someone's Trading Career!

Tulianza Show Julai 3...

Two weeks trading Journals (Nimeweka chini hapo). Ndani ya wiki mbili, Loss ni MOJA.

Am DONE......✅✌

Masha⏳ reposted

Wale ambao wamewahi kuja kwangu (wapo humu humu) huwa wanakula kwanza speech ya dakika 40. Unataka utajournal trades, hautaki utajournal. Na kama hujafika level za Ku journal utafanya assignment, utawasilisha kila siku na kila ijumaa utaandika Evaluation report ya wiki nzima…

The Hard Truth That Never Gets Into People's Ears... Wanaita Forex utapeli Kisa wamekutana na Scammers Na Sio Real Traders. Pia wale wanapata Mentorship Nzuri Ila Wana uvivu wa Kujituma na KUKOMAA kubacktest na Kujournal CONSISTENTLY. Hawako tayari kupata Experience Sokoni.



Poti @TitoMagoti what is Mafunzo mbalimbali on that CV entails??

Letvshenko's tweet image. Poti @TitoMagoti what is Mafunzo mbalimbali on that CV entails??

Letvshenko's tweet image.

Kigamboni Mpya inakuja, Tarehe 29 October 2025 usifanye makosa, kura zote ni kwa Yericko Nyerere.

YerickoNyerereT's tweet image. Kigamboni Mpya inakuja, Tarehe 29 October 2025 usifanye makosa, kura zote ni kwa Yericko Nyerere.


Letvshenko's tweet image.

CV ya @SuluhuSamia imeshiba. Hakuna anayemkaribia kwa uzoefu wa siasa na uongozi.



Masha⏳ reposted

The truth: you’ll never feel ready. You’ll learn on the job, on the journey, in the arena. Start scared. Start insecure. Just start.


😕

Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini…

YerickoNyerereT's tweet image. Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini…


32 Okwi kweli 😂😂😂😂

🚨 💣 UPDATES 👇 ➡️ Emmanuel Okwi (32) 🇺🇬 amejiunga na Police Fc ya Rwanda 🇷🇼 kwa mkataba wa miaka miwili. ✅ Official & Confirmed.

Iamfelixtz's tweet image. 🚨 💣 UPDATES 👇

➡️ Emmanuel Okwi (32) 🇺🇬 amejiunga na Police Fc ya Rwanda 🇷🇼 kwa mkataba wa miaka miwili.

✅ Official & Confirmed.
Iamfelixtz's tweet image. 🚨 💣 UPDATES 👇

➡️ Emmanuel Okwi (32) 🇺🇬 amejiunga na Police Fc ya Rwanda 🇷🇼 kwa mkataba wa miaka miwili.

✅ Official & Confirmed.


Letvshenko's tweet image.

Kura zangu hazikutosha katika Uchaguzi wa Ubunge Viti Maalum CCM Kundi la NGOs tuliofanya tarehe 2/8/2025, lakini najivunia matokeo ya miaka 5 (2020–2025) kupitia mafanikio tuliyopata katika kipindi hiki. Nimedhihirisha wazi kuwa mimi ni kiongozi wa matokeo yanayopimika.…

neemalugangira's tweet image. Kura zangu hazikutosha katika Uchaguzi  wa Ubunge Viti Maalum CCM Kundi la NGOs tuliofanya tarehe 2/8/2025, lakini najivunia matokeo ya miaka 5 (2020–2025) kupitia mafanikio tuliyopata katika kipindi hiki. Nimedhihirisha wazi kuwa mimi ni kiongozi wa matokeo yanayopimika.…


Masha⏳ reposted

Is this cameraman okay?🤣🤣😭


Are you this old ?

Letvshenko's tweet image. Are you this old ?

I feel you mzee 😂

Waiting for a package shipped by courier from Brazil since mid-June. First delayed by striking customs officers, now stuck in Spain for unknown reason. At this rate, I could have walked to Senegal, swam across the Atlantic, picked up the package, and be back faster.



Masha⏳ reposted

Kama una nia kweli ya kumsaidia mtu kutatua tatizo hakikisha analipia huduma zako. Apate uchungu kiasi. 1. Itamfanya awe serious na mafunzo 2. Itamfanya awe serious kuchukua hatua Ukitoa bure: wote mnapoteza. Wewe unapoteza muda maana hatachukua hatua. 😎🫵


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.