Life Solution & Development Organization
@LifeSolutionDe2
You might like
Hongera Sana shujaa @HengaAnna @humanrightstz
Ubalozi wa Marekani (@AmEmbTZ) waungana na Dkt. Helen Kijo-Bisimba kumpongeza Bi. @HengaAnna kufuatia kutunukiwa tuzo ya Mwanamke Jasiri Duniani. Katika picha: Washiriki wa hafla fupi iliyofanyika ofisi za LHRC mapema Jumatatu, Machi 25 wakifurahia keki kutoka @AmEmbTZ.
How to share this?
Innovation Week 2019 is about doing things in different ways for human development. Ulf Källstig, Head of Dev., in the panel reflects on what leads to development: knowledge, funding, ideas. #IW2019
R.I.P RUGE MUTAHABA, POLENI NDUGU NA JAMAA
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mkurugenzi wetu wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba. Ruge ametutoka leo huko Afrika ya Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Mioyo yetu imejeruhiwa. Tutaendelea kuwapa taarifa zote kuhusiana na msiba huu mzito.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Tunaungana na Asasi za Kiraia kulaani mauaji yaliyotekelezwa wilani Itigi mkoani Singida yakihusisha Mkurugenzi wa Itigi. @HakiYaKuishi @LifeSolutionDe2
Ndiyo, kunahaja kumwelimisha mwanamke na jamii nzima lakini kuna haja ya kwenda mbali zaidi baada ya kuelimika awezeshe ktk ujuzi alioupata ili aweze kujisimamia kiuchumi pia elimu anayopewa isiwe #nadharia bali iwe kwa #vitendo zaidi ili aweze kuwa na ufanisi @UnitedNationsTZ
Ulimwenguni, idadi ya wanawake wapatao 122 walio na umri kati ya miaka 25 hadi 34 wanaishi katika umaskini uliokithiri ukilinganisha na uwiano wa wanaume wapatao 100 wa rika sawa. Ipo haja ya kuzidi kuipa jamii elimu ili kumkomboa mwanamke na jamii nzima | #MalengoEndelevu #UNTZ
Chanzo cha matatizo yote ni kukosa Elimu ambayo ingeusaidia umma nini wafanye ili kupata matokeo chanya ktk nyanja zote, Nchi yetu inazalisha chakula sana lkn tunamatatizo ya lishe kila kukicha, jitihada zaidi iwekwe katika Elimu na kila moja achue hatua. @elimuyaafya
Umaskini ni zaidi ya ukosefu wa kipato na rasilimali katika kuhakikisha maisha endelevu. Udhihirisho wake huhusisha njaa pamoja na ukosefu wa lishe bora, vikwazo katika elimu na ukosefu wa mahitaji mengine ya msingi | #MalengoEndelevu #UNTZ
Hii ni historia ndefu wengi wanaiona Dar es salaam ya leo kama ilianza hv kumbe inahistoria yake #Mzizima
Je, Wajua? Kabla ya Dar es salaam kuwa jiji maarufu, mwanzo wake ni mji uliojulikana kwa jina la MZIZIMA. Neno 'Dar es salaam' lilitokana na Lugha ya Kiarabu دار السلام (Dār as-Salām) likimaanisha "Mbingu ya amani". Sultani Sayyid Majid ndie alieasisi jina hili miaka ya 1860.
It needed more effort to solve this problem, our children and parents they don't understand the negative impact toward their dreams they take it traditionally, it our duties to provide education to both pupils and parents also teachers @humanrightstz @UnitedNationsTZ
#Mtwara: At least 188 pupils and students have had their educational journey cut-short in Mtwara Region because they became pregnant between January and November, this year.
Asante mkuu.... Tunahitajika kuweka mukakati iliyo bora zaidi ktk kukabiliana na changamoto zinazo wakumba watu ktk hamii tunazo ishi.. Kheri ya mwaka mpya kwako na familia yako @UnitedNationsTZ @antonioguterres
"Na tunapoanza mwaka huu mpya, hebu na tuazimie kukabiliana na vitisho, kutetea utu wa binadamu na kujenga mustakabali bora—pamoja. Nawatakia nyote na familia zenu mwaka mpya wenye amani na ustawi." @antonioguterres kwa mwaka 2019 ⬇️
Asanteni sana
Tukihitimisha jukwaa hili dogo la #FursaKwaVijana hapa katika ukumbi wa UN, Barabara ya Mawenzi, Oysterbay, hizi ni picha za pamoja zikionyesha nyuso za tabasamu za Vijana washiriki, Wanajopo, Mgeni rasmi na Viongozi kutoka Taasisi mbalimbali. Asante kwa kushiriki nasi leo hii!
Congratulations for the job your doing, let us stand together to promote human rights
We would like to express our gratitude to the @IrlEmbTanzania for their commitment to support our cause to protect and promote human rights in Tanzania. It is with partners such as you that we can attain a Just and Equitable and Equitable Society. bit.ly/2QQdmBr
Hata cc tualikwe #changeTanzania
Rc Makonda amenituma niwaambie #ChangeTanzania kuwa siku nyingine mkiwa na tukio mhimu kama hili mmualike. - @lemutuz ##UhuruWakujieleza #UhuruWaHabari #ChangeTanzania
Ni mhimu sana kutoa elimu kwa vijana ili kuwafanya wajiyambue, watambue furusa zilizopo ktk jamii yao na kujua nguvu kazi waliyonayo kuwa wanaweza kuleta mabadili yao na jamii kiujumla katika kujenga uchumi imara na shughuli za kijamii.. Kama Shirika la kijamii tunawaunga mkono.
”Katika #FursaKwaVijana, @UnitedNationsTZ itashirikiana bega kwa bega na @ElimikaWikiendi pamoja na wadau wengine wa maendeleo wakiwemo vijana wenyewe kuhakikisha tunabadilisha fikra za vijana kuelekea 2030. Tupo tayari kuleta mabadiliko| #Youth2030.” #UNTZ
Hongereni sana kwa kujitoa kutetea haki za binadamu tunajua kazi yenu ni ngumu na kubwa ktk kudai haki, wakati mwingine mnapitia magumu lakini mmekuwa mkisimama imara tunawapongeza sana sana, sisi kama asasi ya kiraia tunaojishughulisha na shughuli za kijamii tunawapongeza.....
Katika kuadhimisha miaka 70 ya Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu. Kila mmoja anna wajiu wa ku-#SimamiaHaki Timiza wajibu wako!
Leo ni maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani.... Pima ili kujua afya yako utaishi kwa uhakika na kujiamini
Katika kipindi cha miezi 6 ya kwanza ya Mwaka 2018, wanawake zaidi ya 1200 wamebakwa, hii ni sawa na wanawake zaidi ya 200 kubakwa kila mwezi. Na hii ni kwa kesi zilizoripotiwa na kurekodiwa. #SimamiaHaki @humanrightstz
"Kati ya matukio 6376 ya ukatili yaliyoripotiwa dhidi ya watoto katika kipindi cha miezi 6 tu ya Januari hadi Juni 2018, matukio 2365 ni ya Ubakaji na 533 ni ulawiti." Chanzo: LHRC, ELIMIKA #ZUIAUKATILI #OKOAJAMIIYAKO
She is valued! She is important! She deserves a life free from violence. 🙅♀️ Together, we CAN end violence against women. Over the next #16Days, we’re sharing how Canada is standing up to end #GenderBasedViolence - stay tuned.
Every 10 minutes, somewhere in the world, an adolescent girl dies as a result of violence. Let's #EndViolence against women and girls! bit.ly/2PSF7tx #16Days #HearMeToo
United States Trends
- 1. Noah Kahan N/A
- 2. Baby Keem N/A
- 3. Nancy Guthrie N/A
- 4. Alaska N/A
- 5. Verlander N/A
- 6. Nest N/A
- 7. Murkowski N/A
- 8. Abbey Murphy N/A
- 9. Joao Pedro N/A
- 10. Lindor N/A
- 11. Lucio N/A
- 12. Mustache N/A
- 13. Ticketmaster N/A
- 14. Mike Flanagan N/A
- 15. Susan Collins N/A
- 16. Eyebrows N/A
- 17. Lutnick N/A
- 18. West Ham N/A
- 19. Andrey Santos N/A
- 20. Kris Bryant N/A
Something went wrong.
Something went wrong.