Mambo_techh's profile picture. 🇹🇿 Web development & Design (WIX)
🇹🇿 digital marketing
🇹🇿 Freelancing (GURU)

Mambo technology

@Mambo_techh

🇹🇿 Web development & Design (WIX) 🇹🇿 digital marketing 🇹🇿 Freelancing (GURU)

Mambo technology reposted

Kama unaendesha biashara, tafuta tax advisor mapema! Ukaribu na mtaalam wa kodi unaweza kukuokoa na hasara kubwa. Mijini hapa, biashara haifi kwa kukosa wateja—inaangushwa na kodi usiyoielewa.


Mambo technology reposted

Mambo technology reposted

Ukiniuliza kijana anapaswa kuwa na vitu gani kwenye utafutaji; 1. Uaminifu 2. Uthubutu 3. Uvumilivu. #ElimikaWikiendi

bajabiri's tweet image. Ukiniuliza kijana anapaswa kuwa na vitu gani kwenye utafutaji;
1. Uaminifu
2. Uthubutu
3. Uvumilivu.

#ElimikaWikiendi

Mambo technology reposted

Paap Umejisajili 1. Pakua App ya AzamPesa 2. Bofya Usajili Binafsi 3. Chagua Alama za vidole 4. Jaza namba ya simu na namba ya NIDA 5. Weka OTP 5. Maelezo ya jinsi ya kuscan vidole kisha chagua mkono wa kuscan 6. Skani vidole 6. Usajili wako umekamilika azampesa.sng.link/Enr10/k5zp/typy


Mambo technology reposted

Tuliza moyo wako. Kubali mapungufu yako. Rahisisha mahitaji yako. Ongeza kipato chako. Chungaa, tamaa mbaya.


Mambo technology reposted

𝗟𝗘𝗢 𝗡𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗕𝗨𝗥𝗘 𝗛𝗜𝗜 𝗖𝗢𝗗𝗘; Kama una Laini ya; 1. Yas - Jiunge na Kinara Plus SME *148*44# 2. Vodacom - Wezesha SME Chapakazi *149*73# 3. Halotel - Nunua kwa wingi Bando za Gawia. 4. Airtel - Upgrade laini yako kuwa SME *149*91# 𝗨𝗧𝗔𝗢𝗞𝗢𝗔…

majizo_jr's tweet image. 𝗟𝗘𝗢 𝗡𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗕𝗨𝗥𝗘 𝗛𝗜𝗜 𝗖𝗢𝗗𝗘;

Kama una Laini ya;

1. Yas - Jiunge na Kinara Plus SME *148*44#

2. Vodacom - Wezesha SME Chapakazi *149*73#

3. Halotel - Nunua kwa wingi Bando za Gawia.

4. Airtel - Upgrade laini yako kuwa SME *149*91#

𝗨𝗧𝗔𝗢𝗞𝗢𝗔…
majizo_jr's tweet image. 𝗟𝗘𝗢 𝗡𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗕𝗨𝗥𝗘 𝗛𝗜𝗜 𝗖𝗢𝗗𝗘;

Kama una Laini ya;

1. Yas - Jiunge na Kinara Plus SME *148*44#

2. Vodacom - Wezesha SME Chapakazi *149*73#

3. Halotel - Nunua kwa wingi Bando za Gawia.

4. Airtel - Upgrade laini yako kuwa SME *149*91#

𝗨𝗧𝗔𝗢𝗞𝗢𝗔…

Mambo technology reposted

Because they've been turned into castrated lions. Caged. Tamed. Told to purr when they were born to roar. They wake up every day In a system that wants them obedient, broke, soft, horny, distracted, and addicted. They don’t hunt. They don’t build. They don’t protect. They…


Mambo technology reposted

Tupo Katika Karne Ambayo Unahitaji Vitu 3 Tu Ili Kutengeneza Pesa… 1)UJUZI—(Specifically Selling skill) 2)MEDIUM—(a.k. Platform) 3)PRODUCT/SERVICE …sometimes Unaweza Kutumia Ujuzi & Platform Tu Ukatengeneza Kipato Mtandaoni! PS: INTERNET ni Zawadi


Mambo technology reposted

Ukipigia customer care chagua tu English ndo wanapokea haraka halafu waongeleshe kiswahili😄 Ninafanyaga hivi eateli leo nimejaribu presisheni ea🫵🏾😂


Mambo technology reposted

Iddy! Sometimes Kwenye Biashara ni bora zaidi Kupenda unachokifanya Kuliko Kufanya Unachokipenda—CASHFLOW ndo cha Muhimu Zaidi kwasababu unachokipenda wewe kinaweza kisiwe na VALUE kwa Wengine


Mambo technology reposted

Apps 8 za Kuangalia Mpira LIVE Bila KUTUMIA Bando Kubwa Unataka kuangalia mechi bila kukomaa na vifurushi? Basi hizi hapa apps za kukupa raha ya mpira bila stress. Open short Thread 🧵 ⬇️

ZagyGirl's tweet image. Apps 8 za Kuangalia Mpira LIVE Bila KUTUMIA Bando Kubwa

Unataka kuangalia mechi bila kukomaa na vifurushi? Basi hizi hapa apps za kukupa raha ya mpira bila stress.

Open short Thread 🧵 ⬇️

Mambo technology reposted

Ujana wako ndio utaamua ukizeeka ucheze golf au uachie watu laana.


Mambo technology reposted

DALILI ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA NA ASIYE NA MALENGO NA WEWE. Soma kwa makini 👇🧵

AkiliBrain1's tweet image. DALILI ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA NA ASIYE NA MALENGO NA WEWE.

Soma kwa makini 👇🧵

Mambo technology reposted

SUNDAY... AFYA TIPS SHARE FOR EACH OTHER....🩺 Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa, (Libido) Strobel 🍓 → Mmeng’enyo wa chakula (bowel health) Apple 🍎 → Kupunguza uzito (weight loss) Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone. Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini (Detox) Maji💦 →…

ItsMrHealth's tweet image. SUNDAY... AFYA TIPS  SHARE FOR EACH OTHER....🩺

Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa, (Libido)

Strobel 🍓 → Mmeng’enyo wa chakula (bowel health)

Apple 🍎 → Kupunguza uzito (weight loss)

Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone.

Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini (Detox)

Maji💦 →…

Mambo technology reposted

Kuna Mwanasiasa atapigwa Risasi akiwa jukwaani ... Marks this tweet 🔄


Mambo technology reposted

Avoid impressing women with your wallet. That’s not love, that’s a transaction. Chasing validation with cash is the fastest route to a broke bank and a broken spirit. Be a man of value, not a man of tricks. If she loves the money more than the man....she was never yours to begin…


Mambo technology reposted

Over the years, nimetumia jukwaa la 𝕏 (Twitter) kuexpress mawazo yangu yatokanayo na IQ kubwa niliyobarikiwa kuandika "threads" Huu ni "UZI WA NYUZI" zangu bora -Utajifunza -Utaelimika -Utaenjoy -Hautajutia Anguka nayo👇🧵

Sirjeff_D's tweet image. Over the years, nimetumia jukwaa la 𝕏 (Twitter) kuexpress mawazo yangu yatokanayo na IQ kubwa niliyobarikiwa kuandika "threads"

Huu ni "UZI WA NYUZI" zangu bora
-Utajifunza
-Utaelimika
-Utaenjoy
-Hautajutia

Anguka nayo👇🧵

Mambo technology reposted

Huku mtandaoni usipokua makini utashangaa watu especially waliofanikiwa wanakuona wewe ni mzembe, Alafu ukichunguza kwa makini utashangaa unagundua ni kweli wewe ni mzembe, Ukichunguza zaidi unagundua kuwa sio uzembe tuu pia ni mvivu na unapenda instant gratification😆


Mambo technology reposted

Utashindwa pale tu utakapoacha kujaribu. - Albert Einstein.

kalage_jr's tweet image. Utashindwa pale tu utakapoacha kujaribu.

- Albert Einstein.

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.