ManGfelix2's profile picture. manfelix

Man Felix

@ManGfelix2

manfelix

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush sportpesa.co.tz/goal-rush/refe…


Planning for Monday

ManGfelix2's tweet image. Planning for Monday

Man Felix reposted

Nani yuko nyuma ya haya mambo yanayofanyika TANESCO!.. Kuna mitambo TANESCO imenunua na kulipia na haijulikani imetokea nchi gani. Na hakuna stakabadhi kuthibitisha hilo kwa mujibu wa CAG 😀 Kuna mtu mkubwa sana nyuma ya haya mambo ndiyo maana yanaonekana ni ya kawaida!..Ila ni…

kigogo2014's tweet image. Nani yuko nyuma ya haya mambo yanayofanyika TANESCO!..

Kuna mitambo TANESCO imenunua na kulipia na haijulikani imetokea nchi gani. Na hakuna stakabadhi kuthibitisha hilo kwa mujibu wa CAG 😀

Kuna mtu mkubwa sana nyuma ya haya mambo ndiyo maana yanaonekana ni ya kawaida!..Ila ni…

Man Felix reposted

In the last 37 years of NRM, Uganda's economy has grown from $1.5billion to about $48billion- but now President Museveni expects it to "jump to $500billion in a fairly short time." Details: bit.ly/3Dj6Jyy #MonitorUpdates

DailyMonitor's tweet image. In the last 37 years of NRM, Uganda's economy has grown from $1.5billion to about $48billion- but now President Museveni expects it to "jump to $500billion in a fairly short time." 

Details: bit.ly/3Dj6Jyy
#MonitorUpdates

Ziara ya mafanikio. Hongera mama

ManGfelix2's tweet image. Ziara ya mafanikio. Hongera mama

Mayele tunakuamini sana. Tupe furaha leo.

ManGfelix2's tweet image. Mayele tunakuamini sana. Tupe furaha leo.

Man Felix reposted

We are weak politically.

This post is unavailable.

Man Felix reposted

Jamaica na Grenada kufanya party siku 10? Waziri Mulamula una dhamana na unahitaji utoke na kuja kuweka rekodi sawa unapata wapi hela nyingi kiasi hiki? Kama hela hizi unapata kwa kazi yako ya uwaziri basi tunadhani unatakiwa kujitafakari..kabla twiti haijatoka BOOM 😀😁


Man Felix reposted

CCM inaandaa vijana kuwa viongozi muwe mnaelewa na kusikia!.. Kazi kwenu sasa!


Man Felix reposted

Leo amezaliwa binti yangu Shades Maulid Kitenge. Leo anafikisha miaka 7. Allah aendelee kukukuza mwanangu.

mshambuliaji's tweet image. Leo amezaliwa binti yangu Shades Maulid Kitenge. Leo anafikisha miaka 7. Allah aendelee kukukuza mwanangu.
mshambuliaji's tweet image. Leo amezaliwa binti yangu Shades Maulid Kitenge. Leo anafikisha miaka 7. Allah aendelee kukukuza mwanangu.
mshambuliaji's tweet image. Leo amezaliwa binti yangu Shades Maulid Kitenge. Leo anafikisha miaka 7. Allah aendelee kukukuza mwanangu.

Man Felix reposted

CCM ina hazina ya vijana na viongozi! CCM inaandaa vijana sana kuwa viongozi! Mifano halisi hii hapa yaani! Kuwa waziri wa ulinzi siyo jambo la lelemama. Tukutane 2025 ndiyo mtanielewa vizuri kwa sasa endeleeni na mambo ya Mayele sijui nini

kigogo2014's tweet image. CCM ina  hazina ya vijana na viongozi! CCM inaandaa vijana sana kuwa viongozi!

Mifano halisi hii hapa yaani! Kuwa waziri wa ulinzi siyo jambo la lelemama.

Tukutane 2025 ndiyo mtanielewa vizuri kwa sasa endeleeni na mambo ya Mayele sijui nini

Man Felix reposted

Mambo ambayo BAMBUCHA na UFIPA hawataki kabisa kuyasikia 😁😁👇🏼

kigogo2014's tweet image. Mambo ambayo BAMBUCHA na UFIPA hawataki kabisa kuyasikia 😁😁👇🏼

Man Felix reposted

Ndugu @AdoShaibu

JiniKinyonga's tweet image. Ndugu @AdoShaibu

Man Felix reposted

Some people don’t like it when Africans tell their own (his)stories. What in the Berlin Conference is this? 🚮

LarryMadowo's tweet image. Some people don’t like it when Africans tell their own (his)stories.

What in the Berlin Conference is this? 🚮

Man Felix reposted

Hawa ndiyo mawaziri sasa tunataka kuona wanafanya kazi hivi! Siyo akina Mwigulu na January wao wako busy kuwaza uwaziri mkuu 😁 TAMISEMI mna nafasi kubwa sana ya kumsaidia Rais kwenye kutimiza jaenda zake za kusaidia na kukwamua watanzania kwenye umasikini.. Tuko nyuma YENU👍🏽


Man Felix reposted

Huyu kumbe anautaka urais! Sasa achague moja! Awe waziri au akapumzike afanye kampeni zake za urais akiwa nje ya serikali!. Analeta ujinha hapa na akina Kubenea kuandika andika upuuzi hapa

This post is unavailable.

Man Felix reposted

Ili uweze kuishi kwa amani kwenye hii dunia iliyojaa kero na vurugu nyingi ili uwe na nguvu saa unapo jisikia unyonge ndani yako ili uwe na ujasiri wa kukabiliana pale unapokutana na magumu vifanye Dua na Ibada kuwa mhimili wako mkuu kwenye maisha hutojutia I LOVE YOU ALL GUYS❤️

Eagleseye02's tweet image. Ili uweze kuishi kwa amani kwenye hii dunia iliyojaa kero na vurugu nyingi ili uwe na nguvu saa unapo jisikia unyonge ndani yako ili uwe na ujasiri wa kukabiliana pale unapokutana na magumu vifanye Dua na Ibada kuwa mhimili wako mkuu kwenye maisha hutojutia I LOVE YOU ALL GUYS❤️

Man Felix reposted

Let’s go farming baby boy Lewandowski 🤣🤣🥳🔥

Mrbelgium1's tweet image. Let’s go farming baby boy Lewandowski 🤣🤣🥳🔥

Man Felix reposted

The flexibility for Robert Lewandowski's first home goal 🤯

goal's tweet image. The flexibility for Robert Lewandowski's first home goal 🤯

Man Felix reposted

Mtama Boy imefika hatua anafunga reply Kwenye Tweet zake sababu ya Spana, komalieni hapo hapo wajomba 🤣😂


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.