You might like
,,,,Sanaa. Kama Taifa vijana hatuhitaji kupata misaada ya viongozi individuals, waboreshe na kuweka mazingira rafiki kila kijana afanye kazi na kujipatia kipato. Hili la kutembeza bakuri na viongozi wanaunga juhudi limekaa kiupendeleo Sanaa.
Napenda kuishauri selikali saiv chelsea haina mdhamini plz fanyeni utaratibu ile visit tanzania ionekane pale chelsea kwenye jezi zao msimu huu
Chadema wakiweza kufika kila kata hasa vijijini kabla ya kampeni kuanza basi CCM itatoka mapema sana
Mi Sina pesa ila sinaga time na ndugu zangu wenye nazo naishi Dunia yangu kivyangu vyangu tu sote tupo dar ila hakuna anaejua mwenzie anapoishi 😹😹😹
Ukiwa huna pesa kwenye ukoo wenu ndio unakuwa mtu wa kuwatembelea ndugu au kuwapigia simu kuwasalimia bila hivyo wanakusahau
Maghala ya Al ( Silos) ni kwa ajili ya utunzaji wa mazao jamii ya nafaka hutunza kiasi kikubwa cha nafaka kwa muda mrefu bila kuathiriwa na wadudu na magonjwa. Hayo makubwa yanaingia gunia 100 na dogo ni gunia 50 yapo saizi tofauti kulingana na uhitaj @CarolNdosi @MalemboLE
Neema ya bwana wetu Yesu Kristu…
Nina swali la kipuuzi najiuliza Kwann Mungu alimtoa mwanae afe kwa ajili ya dhambi zetu badala ya kumuua shetan ambae ndio source🤔🤔
Repost and drop your handles for massive BIG gains n turn on my notification 🔔
Mkimaliza kula toothstick ziishie huko huko mtaani njaa ni kubwa.🥲
#LimaNaCarol Tulicho jifunza toka production cycle ya kwanza *mifumo ya umwagiliaji *Usimamizi/kuhudumia shamba kwa wakati i.e dawa ikihitajika, mbolea etc *masoko yanatakiwa kukuguide ULIME NINI. Aluta Continua - See you at a shop near you soon #KilimoNiFursa #Agriculture
Jamani wakulima wenzangu nimekosea wapi hapa ? Nimechanyikiwa kabisa sielewi chochote.
Umiza kichwa chako kuhusu kesho yako na sio Leo yako
Hivi ni lini serikali yetu itaachana na ujenzi wa madarasa na kujikita katika kuwekeza kwenye kilimo hasa kuhakikisha kila kata inakuwa na kisima Cha maji kitakacho tumika katika shughuli za kilimo na ufugaji maana kula chakula ni lazima lkn kusoma sio lazima
Nawakumbusha vijana wangu wenzangu komaeni kutafta pesa mm mwenzenu ndo nimeshatoboa ivyo mvua ikitiki tractor yangu itanyanyua mkia tu
Natamani Tanzania ipate a full dictator president tumemisi mchakamchaka tu
United States Trends
- 1. Texas A&M 13.3K posts
- 2. South Carolina 13.1K posts
- 3. Marcel Reed 2,611 posts
- 4. Aggies 3,836 posts
- 5. Nyck Harbor 1,419 posts
- 6. College Station 2,038 posts
- 7. Elko 2,418 posts
- 8. Jeremiyah Love 3,250 posts
- 9. Malachi Fields 1,396 posts
- 10. Mike Shula N/A
- 11. Dylan Stewart N/A
- 12. Shane Beamer N/A
- 13. TAMU 5,707 posts
- 14. Sellers 9,605 posts
- 15. #GoIrish 2,990 posts
- 16. Michigan 39.5K posts
- 17. Northwestern 4,220 posts
- 18. Zvada N/A
- 19. Randy Bond N/A
- 20. Sherrone Moore N/A
You might like
-
KING VICTOR
@KolPhil1 -
James Prince
@Iamprince3010 -
huncho254
@eric_sadoth -
Frank 🌴
@Mwonjoria_ -
Ayoue Nzowh
@nzowa07 -
ice man 🧊
@OfficialTenax -
Ocampo
@MwakaJr_ -
Josh Mk
@josh_mk104 -
PJ Daddy (PhD)
@SirKimpalamba -
Gabi Kavishe✊
@Mwanachuo2019 -
Moscow
@ChallengeChall3 -
simione mlemba🇹🇿
@king_hemperion -
Willie
@Wills_nghabi -
pray Munisi (𝕏)
@pray_munisi -
Bavovna
@dandy12_
Something went wrong.
Something went wrong.