Mchambuzi5's profile picture. MAABARA YA UCHAMBUZI

MCHAMBUZI MEDIA

@Mchambuzi5

MAABARA YA UCHAMBUZI

👉Tuwe wa kweli tu, hivi nyie ACT Wazalendo bado mnaimani na uchaguzi huu?wakati mgombea wenu wa urais ameenguliwa? 👉Bado mna Matumaini ya kushika dola?kweli?


👉Oktoba lazima Tutalinda kura zetu

Mchambuzi5's tweet image. 👉Oktoba lazima Tutalinda kura zetu

Mwenye handle ya TCRA naomba anifanyie wepesi, Kuna jambo nyeti sana kuliko hata za yule jamaa


Lisu anajua itifaki ya kuongea na rais wa nchi, hajakunja nne kama yule bonge yule

Mchambuzi5's tweet image. Lisu anajua itifaki ya kuongea na rais wa nchi, hajakunja nne kama yule bonge yule

ACT Wazalendo endeleeni kuwa na imani na Ofisi ya Msajili, na Tume ya uchaguzi,


ACT Wazalendo msikubali kuaminishwa kwamba nyie ni chama Kikuu cha Upinzani,huo ni mtego ndugu zangu


Kuna cable inatoka ACT kwenda CCM

Mchambuzi5's tweet image. Kuna cable inatoka ACT kwenda CCM

👉Mtu ameomba msamaha kwa Makosa aliyoyatenda alipokuwa na dhamana ya uongozi, alafu bado unamsusia msamaha! Huna akili wewe


Itungwe Sheria ya kuwazuia wasanii kuchanganya Usanii na Siasa.


Nawakumbusha tu, Mawakala wa vyama hawaruhusiwi kuingia na simu kwenye chumba cha kupigia kura na kuhesabia kura.


ACT hawaamini kama ccm Huwa wanaiba kura, katika Hilo wanampinga Polepole kwa 100% ila CCM wenyewe wapo kimya tu


Wapwa! novena imeanza kufanya kazi buana, novena is real. Nataka kusema jambo lakini nasita


Mpina amedhamilia kuing'oa CCM. ACT oyeeee, mtashika Dola soon


ACT WAZALENDO inawaamini zaidi ccm kuliko Wapinzani wenzao. 🤣


"Niliwasikia viongozi wa Chadema wakisema HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE" na Mimi nikahamasika SIKULALA" 🤣🤣🤣


Kwa hiyo ccm imeamua kuwaachia ACT Wazalendo Dola, si ndio?


Naomba tu muelewe "Polepole amejipanga"


Hawa ni Chadema wamevaa sare za CCM, ccm hawana hizi tabia


Mbowe amewaachia zigo la mavi Chadema, imagine miaka yote wadhamini walikuwa kimya, Wamesubiri ametoka ndio wanafungua kesi ya mgawanyo wa rasilimali za chama na kutaka shughuli za chama zisimame!


Wajinga wameingia kwenye mtego wa Divide and Rule, badala ya kuishambulia ccm wamejigeuza maadui namba Moja wa Chadema alafu wanataka kushika dola😳


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.