MegapixelIn's profile picture. Songwriters/teacher

Darkness

@MegapixelIn

Songwriters/teacher

ipi siri ya mafanikio huku Twitter kupata like na comments za kutosha pindi utoapo post maana sielewi ua mpaka ukaloge kuondoa....


Leo nataka niwathibitishie kila uongo mnao ambiwa andika unachosikia kuhusu Mimba na wadau na mimi nitakwambia kwel au si kwel Haya anza na Nasikia ....... Watu tunajibu kweli au sio kweli


Umepata bwana siku ya 3 leo ila ushampost mara 45, mkiachana ndani ya mwezi eti 'I HATE LOVE' Kafie mbele, hatuna mapipa🛢 ya kukinga Machozi💦 sisi🤣😂😂


Changamoto ya ugonjwa wa corona isiwe fursa ya kuzidisha michango isiyo na msingi mashuleni


Shule binafsi acheni hujuma kwa kuwalipa nusu mshahara walimu kwani ada za watoto nanyi mmepewa nusu ada acheni kutumia kigezo cha covid 19 kama sehemu kujinufaisha uo ni ubinafsi.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.