You might like
Mungu nakuhitaji sana muda huu kuliko wakati mwingine.
Duuuh😢
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kuwa, kufuatia matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29/10/2025 katika Majiji ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya, pia katika Mikoa ya Shinyanga, Geita, Songwe, Ruvuma, Mara,
Binafsi yangu, siwezi kuwalaumu Wazanzibari kivyovyote. Lakini siku zote nitailaumu CCM kwa mifumo ya hovyo katika hili Taifa (pande zote mbili). Wazanzibari wameshaumizwa sana na serikali hii ya CCM kwa miaka mingi (tangu Mapinduzi, mpaka leo). Tupambanie CCM itoke, tusijigawe!
MAMBO NI MENGI MUDA MCHACHE Without prejudice Nimeiona hati ya Mashtaka ya Uhaini .Ni mashtaka ya Uonevu na yasiyo Haki. TLS itaratibu na Kuhakikisha kila anaye shtakiwa anapata Utetezi Kamilifu kisheria. Ni aibu waliotakiwa kushtakiwa eti leo ndiyo wanawafungulia wahanga…
Hata majini yake hayajamsaidia kukwepa risasi
Sharif Majini siku chache kabla ya kuuawa, anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku 5 kabla ya uchaguzi. Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI. Sheikh Majini alifariki dunia alifariki 29 oktoba kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Ni mvamizi kutoka nchi jirani ?
Polisi wanpita kila nyumba kucheki kama kuna mwanaume ili wamkamate, wasipokuta mwanaume wanabaka na kuchukua hela kwa nguvu kwa wake zao hii imeanza Siku ya Maandamano..Bado unasema mna Utu na kuna Amani, Aisee haya yana mwisho. Mtalipa kwa haya mnayoyafanya Source @TheChanzo
WIMBO MAALUM KWAAJILI YA MAOMBOLEZO USAMBAZENI.
Wengine wanajifanya hawapigi gigs za mboga mboga kwa kupost kwenye akaunti zao ila unakuta ame-repost post zote za mboga mboga
Siku ya uapisho kuna kijana alikua mbele na suti yake baadaye naona anabusu kofia yenye picha ya namba 1. Aibu niliona mimi ninayeangalia TV
Guys kama naomba kushare picha za wale madogo nmeona pia kuna mtu kapost kuwaulizia tukiwapata tufanye namna ya kuwasaidia malazi na mahitaji yote ya muhimu na namna nyingine kuakwamua kiuchumi Najua sisi ni familia moja hatushindwi Kama mtu akiwaona anipgie 0745134138 Plz RT
Kuna wale watoto wanaozungukaga Ubungo Mataa kuna kipindi tuliwafanyiaga Charity wakasemaga hawana pakukaa tukachukuaga mawasiliano ya dada mmoja ili kuweza kuwafikia Hivi kweli wale wamepona yule dada akasema tangu tar 28 alivyowaacha hajawaona Nngeshare picha ila naona sio saw
DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT! Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa…
Habari! Kuna mtu alipost kuhusu dada yake anataka mawasiliano ya vituo vya watoto yatima nimepata baadhi ya vituo wanahitaji msaada naomba nipewe mawasiliano ya huyo dada
Huyu ni mwandishi wa riwaya za kijasusi anaitwa BAHATI MWAMBA Familia yake ni victim wa mauaji ya hivi karibuni Soma umuelewe kisha kama una chochote, msaidie kupitia namba yake ya MixxByYas 0679726035 👇 Ninachangamoto kidogo hapa, madogo waliishia kulamba nyasi za chuma.…
Channel 10, kuna mtu kasema "tunashukuru uchaguzi umeisha salama " Mtu amehojiwa sokoni
Kinachowafanya waliokuwa upande wa serikali na sasa wanajifanya kuwaonea huruma watanzania walioitwa raia wa nje ya nchi ni nini? Manake kwa siku hizi mbili naona wengi wanajitia kupatwa na uchungu kwa yale yaliyoyotendeka kwa Tanzania nzima. Muslims wa 🇵🇸 > Muslims wa 🇹🇿 ?
Kinachowafanya waliokuwa upande wa Israel na sasa wanajifanya kuwaonea huruma Palestina ni nini? Manake kwa siku hizi mbili naona wengi wanajitia kupatwa na uchungu kwa yale yanayotendeka kwa Palestina nzima.
United States Trends
- 1. #BUNCHITA 1,343 posts
- 2. #SmackDown 43.9K posts
- 3. Tulane 4,094 posts
- 4. Aaron Gordon 3,150 posts
- 5. Giulia 14.2K posts
- 6. Supreme Court 180K posts
- 7. Russ 13.2K posts
- 8. Connor Bedard 2,626 posts
- 9. #TheLastDriveIn 3,449 posts
- 10. #OPLive 2,233 posts
- 11. Podz 2,810 posts
- 12. #TheFutureIsTeal N/A
- 13. Caleb Wilson 5,577 posts
- 14. Frankenstein 74.6K posts
- 15. Northwestern 4,954 posts
- 16. Memphis 15.9K posts
- 17. Scott Frost N/A
- 18. Justice Jackson 5,157 posts
- 19. Rockets 20.2K posts
- 20. Tatis 1,843 posts
You might like
-
ProsperNow.
@prossoff -
John kalage 🇹🇿
@kalage_jr -
Habari Digital
@HabariDigital_ -
Eddo
@Eddo142 -
Essay help, Homework & Online class helper
@Genesisessays -
M.D (🅨)
@ReganTesla_ -
Fumbo Khan
@fumbokhanJr -
Adventure-360
@Adventure_36 -
Cosmas Edward 💫
@EdwardCosmas -
Genious✍️
@chibelube -
WHYMYCATISSAD
@INFLUENCERjr -
shivo tz 💊
@ShivoTz -
Zee la Vyeti (PhD)
@babalao__ -
KIRIKUU✏️
@Kirikuu20 -
Malkia Nyuki 👑
@nyuki_malkia
Something went wrong.
Something went wrong.