Capt. Thom Chandler ⚓
@RobhinEdson
Stalker in Disguise || @PixelsProFilms™ ||
You might like
Women are loyal to their feelings they won't care about your damn sacrifices....even if you cross the river, catch a bullet or even kill a lion with bare hands! Never settle for Less. Man Up!
Ratiba ya mazishi ya bibi yetu Nyanokwe. Mazishi yatafanyika 31.1.2026 wilaya Butiama, Nyamihuru (kiagata) Trh 30.1.2026 mwili utatolewa mochwari na kupelekwa Nyumbani kwake Msiba upo karibu na Hosp ya kiagata
Bibi yangu kizaa mama angu ametangulia mbele za haki usiku wa kuamkia leo 28.1.2026 Tunamshukuru Mungu kwa zawadi aliyompa hapa Duniani. Pole kwa mama angu na ndugu wengine kwa kumpoteza mtu mhimu maishani mwetu. Mungu awe faraja katika kipindi hiki R.I .P BIBI NYANOKWE
Ukiona una madeni mengi katika maisha yako tambua maisha yako yapo nje ya agano la Mungu, mtafute Yesu Kristo ili upate baraka. Hukusoma hii mistari 👇 Kumbukumbu la Torati 15:6 [6]Kwani BWANA, Mungu wako, atakubarikia, kama alivyokuahidi; nawe utakopesha mataifa mengi, lakini…
Nilikuwa nikifika baada salamu utaniuliza swali mke mwenzangu hajambo? Sasa umenyamaza kabisa Tangulia bibi yangu kipenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
Aliechukua ilipokuwa The Cask In Dar (now Moyo Family Beach House) naona kafanya homework yake vizuri kujua walifeli nini. Pamekuwa family friendly hata wasiopiga vyombo unaweza agiza kahawa wakati unasubiria oda ya msosi, meneja wake nae anaijua customer care 💯. NB Sijalipwa
A New Sheriff in Town Kevin Kipiego died kneeling beside his mother’s grave, asking politely for a few seconds to pray before the bullet arrived. The grave had not cooled. The soil was still soft, death had been caught off guard by the efficiency of Kenyan policing. What the…
Saa tisa na nusu alasiri, ilimkuta abiria huyu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Juba, Sudani Kusini Mkononi alikuwa ameshika Passport yake No. C034168 na ticket No. 7063400860623 Akapanda ndege No. KQ363 ya shirika la Kenya Airways Akakaa siti No. 28A Naaam!
If God put this much detail into flowers, I know He is also present in the details of every moment of my life, making each one amazing
Sunflowers are made up of hundreds of little flowers symmetrically aligned
Lord, remove anyyyyyyyyyyyyyy laziness or procrastination from my body and push me to myyyyyyyyyyy full potential in 2026!!!
Nguvu halisi ya Kiongozi haitokani na ukubwa wa MAJESHI au vyombo vya usalama vinavyomzunguka & kumlinda. Bali nguvu yake hutoka kwa wananchi waliompa madaraka. Kama Kiongozi atakosa RIDHAA & SAPOTI ya Umma, basi siku zote atabaki kuwa Kiongozi DHAIFU & kuishi kama MKIMBIZI.
Kwenye stori zao za mafanikio ukiacha KUPAMBANA. Kipande watakachokuficha ni umiliki wa CHUMVI YA MAWE, kipande cha SANDA na UBANI.
UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA @TunduALissu KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI. EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI WA MFANO Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei, Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
THE MATRIX WAS NEVER JUST A MOVIE “Neo” wasn’t just a character — he was a symbol. Neo = Neocortex. The higher brain. The divine mind. When Neo woke up, it represented the moment the human consciousness activates the neocortex — the part of your brain that transcends survival…
THE BATTLE BETWEEN GOD AND SATAN DOES NOT EXIST AND NEVER HAS. The battle has always been an ancient metaphor for the eternal conflict within man. It represents the struggle between lower desires, thoughts, and passions, and the higher mind that seeks growth, discipline, and…
If you wanna paint me as the villain I’ll pose
The Pineal gland or 3rd eye is the most heavily targeted & poisoned gland in the human body, mainly because it serves as a connection between the physical and spiritual world. According to our ancient ancestors and their teachings, it is the key to higher states of…
George Mahigu Seni, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) NIDA, alikamatwa na Polisi tarehe 15 Desemba 2025 akiwa Arusha kikazi, na kusafirishwa Dodoma kwa mahojiano. Baada ya tukio hili, kuhojiwa sasa ameambiwa na mkuu wake wa kazi asiende…
MTIBWA SUGAR 3rdkit 25/26 Available Soon In Our Store & Online #Mtibwa #Afiki #AfikiMtibwaSugar
HABARI KAKA MWAIPAYA Naitwa Maria ,sijui hata nasemaje ila inshort tu Rafiki yako Deusdedith Soka aliniacha nikiwa na ujauzito na sasa mtoto wake ana umri wa mwaka na miezi 3. Aisee nimemsubiri arejee aje kunisaidia kulea mtoto ,maana hadi hapa alipofikia nimepigika…
United States Trends
- 1. #TheTraitorsUS N/A
- 2. Cooper Flagg N/A
- 3. #COCKCOIN N/A
- 4. Zverev N/A
- 5. Colton N/A
- 6. Don Toliver N/A
- 7. Candiace N/A
- 8. Lisa N/A
- 9. Iron Lung N/A
- 10. Dillon Brooks N/A
- 11. Hornets N/A
- 12. Warsh N/A
- 13. #thepitt N/A
- 14. #zzzSpecialProgram N/A
- 15. #octane N/A
- 16. Alcaraz N/A
- 17. Yam Yam N/A
- 18. OpenClaw N/A
- 19. ROTY N/A
- 20. langdon N/A
You might like
-
(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz -
Tausi Likokola
@tausilikokola -
Revocatus Millambo, Ph.D.
@Millambo_ -
Samatime Car Dealers Co Ltd
@samatimemagari -
Fortunatus Buyobe
@fbuyobe -
Bonge La Afya
@BongeLaAfya -
#ElimikaWikiendi
@ElimikaWikiendi -
Eng Octavian Lasway
@Octavianlasway -
MwanzoTvPlus
@MwanzoTvPlus -
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa -
Tanzania Railways Corporation
@tzrailways -
GetrudeM
@GetrudeMligo -
Laptop Point 💻
@usedpointTz -
Kamala Dickson
@ItsKamala -
AmosiNyanda
@NyandaAmosi
Something went wrong.
Something went wrong.