Steph_December's profile picture. |Linguist| 
|Forex Expert | |Yeremia 32:27|
|UDOM Alumnus|

Stephen Stephano™

@Steph_December

|Linguist| |Forex Expert | |Yeremia 32:27| |UDOM Alumnus|

The cheapest version of haaland

Unaambiwa Rasmus Hjlund Ana mchanganyiko wa Halaand na Kane. Kwahili hatuta kua na huruma na hizo Beki zenu uchwala. 😎

Bob_sanchoo's tweet image. Unaambiwa Rasmus Hjlund Ana mchanganyiko wa Halaand na Kane. Kwahili hatuta kua na huruma na hizo Beki zenu uchwala. 😎


Stephen Stephano™ reposted

🚨 Kylian Mbappé €700m salary at Al-Hilal for 1 season: €58.33m a month €13.3m a week €1.9m a day €79,900 an hour €1,332 a minute €22 per second

DeadlineDayLive's tweet image. 🚨 Kylian Mbappé €700m salary at Al-Hilal for 1 season:

€58.33m a month

€13.3m a week

€1.9m a day

€79,900 an hour

€1,332 a minute

€22 per second

Stephen Stephano™ reposted

Huyu dogo naweza kumpata wapi? Nataka nizungumze na familia yake dogo akasomee kuhusu mpira tu ajifunze lugha ya kizungu dogo ana kitu please mnak mfahamu nipeni connection. Sina pesa nyingi sanaa ila kumuwezesha dogo zinaweza kupatikana.


Stephen Stephano™ reposted

Asanteni sana watu wa Mugumu, pamoja na vitisho vya polisi mapambano lazima yaendeleee #MsubhatiKazini

CatherineRuge's tweet image. Asanteni sana watu wa Mugumu, pamoja na vitisho vya polisi mapambano lazima yaendeleee
#MsubhatiKazini
CatherineRuge's tweet image. Asanteni sana watu wa Mugumu, pamoja na vitisho vya polisi mapambano lazima yaendeleee
#MsubhatiKazini
CatherineRuge's tweet image. Asanteni sana watu wa Mugumu, pamoja na vitisho vya polisi mapambano lazima yaendeleee
#MsubhatiKazini
CatherineRuge's tweet image. Asanteni sana watu wa Mugumu, pamoja na vitisho vya polisi mapambano lazima yaendeleee
#MsubhatiKazini

Stephen Stephano™ reposted

List ya machimbo ya utelezi Dar Es Salaam na bei zake 1. Riverside Chimbo liko Ubungo, Riverside hapa napenda kupaita uwanja wa nyumbani (Home ground) kuna mchanganyiko wa pisi za mtaani na vyuo hasa pale boom linapokata, usalama ni 100% bei zake ni kuanzia 5k kwa VIP ni 20k

Sagaboy209's tweet image. List ya machimbo ya utelezi Dar Es Salaam na bei zake

1. Riverside

Chimbo liko Ubungo, Riverside hapa napenda kupaita uwanja wa nyumbani (Home ground) kuna mchanganyiko wa pisi za mtaani na vyuo hasa pale boom linapokata, usalama ni 100% bei zake ni kuanzia 5k kwa VIP ni 20k

Stephen Stephano™ reposted

Club Ranking after this seasons CAF interclub competitions - TOP 25 🇪🇬 Al Ahly - 83 🇲🇦 Wydad - 74 🇹🇳 Espérance - 56 🇿🇦 Sundowns - 51 🇲🇦 Raja - 51 🇪🇬 Zamalek - 39 🇲🇦 RS Berkane - 37 🇩🇿 CR Belouizdad - 36 🇹🇿 Simba SC - 35 🇪🇬 Pyramids - 35 🇦🇴 Petro de Luanda - 33.5

AfricaSoccer_zn's tweet image. Club Ranking after this seasons CAF interclub competitions - TOP 25 

🇪🇬 Al Ahly - 83
🇲🇦 Wydad - 74
🇹🇳 Espérance - 56
🇿🇦 Sundowns - 51
🇲🇦 Raja - 51
🇪🇬 Zamalek - 39
🇲🇦 RS Berkane - 37
🇩🇿 CR Belouizdad - 36
🇹🇿 Simba SC - 35
🇪🇬 Pyramids - 35
🇦🇴 Petro de Luanda - 33.5

Stephen Stephano™ reposted

Je, Ulikuwa na Umri Gani !? Ulipogundua Kirefu Cha Twitter ni "Typing What I'm Thinking To Everyone Reading"..!? 😂


Stephen Stephano™ reposted

#Gratitude I am grateful to be blessed with another year I am grateful for the love 💖 and support I am grateful for my life #NewProfilePic

MariaSTsehai's tweet image. #Gratitude 
I am grateful to be blessed with another year
I am grateful for the love 💖 and support
I am grateful for my life 

#NewProfilePic

Stephen Stephano™ reposted

UFAHAMU KWA WENYE MAGARI Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.


Stephen Stephano™ reposted

TANZIA: Mkuu wa KKKT Mstaafu, Askofu Dk. Samson Mushemba (85) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Ndolage mkoani Kagera. Dk. Mushemba pia ni Askofu Mstaafu wa KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Magharibi (Bukoba). Pumzika kwa amani Askofu Mushemba!

NevilleMeena's tweet image. TANZIA: Mkuu wa KKKT Mstaafu, Askofu Dk. Samson Mushemba (85) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Ndolage mkoani Kagera. Dk. Mushemba pia ni Askofu Mstaafu wa KKKT - Dayosisi ya  Kaskazini Magharibi (Bukoba). Pumzika kwa amani Askofu Mushemba!
NevilleMeena's tweet image. TANZIA: Mkuu wa KKKT Mstaafu, Askofu Dk. Samson Mushemba (85) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Ndolage mkoani Kagera. Dk. Mushemba pia ni Askofu Mstaafu wa KKKT - Dayosisi ya  Kaskazini Magharibi (Bukoba). Pumzika kwa amani Askofu Mushemba!
NevilleMeena's tweet image. TANZIA: Mkuu wa KKKT Mstaafu, Askofu Dk. Samson Mushemba (85) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Ndolage mkoani Kagera. Dk. Mushemba pia ni Askofu Mstaafu wa KKKT - Dayosisi ya  Kaskazini Magharibi (Bukoba). Pumzika kwa amani Askofu Mushemba!
NevilleMeena's tweet image. TANZIA: Mkuu wa KKKT Mstaafu, Askofu Dk. Samson Mushemba (85) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Ndolage mkoani Kagera. Dk. Mushemba pia ni Askofu Mstaafu wa KKKT - Dayosisi ya  Kaskazini Magharibi (Bukoba). Pumzika kwa amani Askofu Mushemba!

Stephen Stephano™ reposted

RIPOTI UN: NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZINA WATU WASIO NA FURAHA DUNIANI > Kenya imeshika namba 121 kati ya 156 huku Uganda 126, Burundi 140, Tanzania 148, Rwanda 150 na Sudan Kusini 152 > Finland ndiyo nchi yenye watu walio na furaha duniani Soma - jamii.app/RipotiFurahaEA #JFLeo

JamiiForums's tweet image. RIPOTI UN: NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZINA WATU WASIO NA FURAHA DUNIANI

> Kenya imeshika namba 121 kati ya 156 huku Uganda 126, Burundi 140, Tanzania 148, Rwanda 150 na Sudan Kusini 152

> Finland ndiyo nchi yenye watu walio na furaha duniani

Soma - jamii.app/RipotiFurahaEA
#JFLeo

Stephen Stephano™ reposted

“Kuomba bila kufanya kazi ni sawa na ushirikina. Ni sawa na kusema amani, haki, tume huru vije kama muujiza wa kukanyaga mafuta ya upako. Mungu tunayemwomba hajatunyima haki, amani, uchaguzi huru na wa haki.” Askofu Benson Bagonza. Soma zaidi>> bit.ly/32uDVzt

MwananchiNews's tweet image. “Kuomba bila kufanya kazi ni sawa na ushirikina. Ni sawa
na kusema amani, haki, tume huru vije kama muujiza wa
kukanyaga mafuta ya upako. Mungu tunayemwomba hajatunyima haki, amani, uchaguzi huru na wa haki.” Askofu Benson Bagonza. Soma zaidi>> bit.ly/32uDVzt

Stephen Stephano™ reposted
fatma_karume's tweet image.

Stephen Stephano™ reposted

Karibuni Dodoma 💕

JideJaydee's tweet image. Karibuni Dodoma 💕

Stephen Stephano™ reposted

Someone graduate at age of 24 but waited 5yrs to get a job Someone become CEO at age of 30,died at 50 Someone still single while someone else got married People around you might seem to go ahead you and some behind you But everyone is running their own RACE in their own TIME


Stephen Stephano™ reposted

ASKOFU SHOO AKEMEA UONEVU WA BINADAMU Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania, Dkt. Frederick Shoo leo amekemea tabia za utekaji, utesaji, unyongaji haki, dhuluma na kiburi cha viongozi zinazolalamikiwa nchini

WateteziTV's tweet image. ASKOFU SHOO AKEMEA  UONEVU WA BINADAMU

Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania, Dkt. Frederick Shoo leo amekemea tabia za utekaji, utesaji, unyongaji haki, dhuluma na kiburi cha viongozi zinazolalamikiwa nchini

Stephen Stephano™ reposted

KRISMASI: MAASKOFU WAKEMEA UCHU WA MADARAKA, UONEVU WA RAIA > Askofu Frederick Shoo amekemea tabia za utekaji, utesaji, unyongaji haki, na kiburi cha viongozi > Askofu Liberatus Sangu amesema Uchu wa madaraka na kutotenda haki huchochea machafuko Soma jamii.app/AskofuUtekajiU…

JamiiForums's tweet image. KRISMASI: MAASKOFU WAKEMEA UCHU WA MADARAKA, UONEVU WA  RAIA

> Askofu Frederick Shoo amekemea tabia za utekaji, utesaji, unyongaji haki, na kiburi cha viongozi

> Askofu Liberatus Sangu amesema Uchu wa madaraka na kutotenda haki huchochea machafuko

Soma jamii.app/AskofuUtekajiU…

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.