Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu. Yakobo 1:27 #HappySunday
Nikiwa tuu janja wa miaka 4 nilikuwa tayari ninayo😁

Unafikaje miaka 30 huna PASSPORT wewe kama mtu umezaliwa 90’s+ mwenye malengo na maisha?
Kwa hii tabia moja ya Gold kujirudia rudia nimeipiga Total 1000Pips Hii wiki. Gold ina obey sana setup ukiandika Kichina 很好啊😁

Huyu anataka kunipa mm kazi za kina sir samweli akijichanganya namuunganisha na muhuni anampiga ela kama richlit alivyomfanya broker mmoja hivi😁

Hadi mafuta anauza hapo aki wauzia vibua 20 tuu tayari anayo $2000 anayo ya kwenda dubai na kurudi

4B zinatumwa kama miamala ya kawaida na angali hospitali watu wanateseka amna mitungi ya oxygen 💔🙌
Insta story nineona wengi wameweka ila kwa ground wengi ninao wajua they are hoes... anyway cjui nilikuwa nataka kusemaje
Kaka mm naomba uniunge kwenye group lako la mafunzo la V.I.P ela yako nitakulipa baada ya mm kumaliza kusoma nisipo kulipa ni remove kwenye group lako😷
LEO KAA KARIBU NA YOUTUBE NASHUSHA NONDO MOJA 📌 FREE INA 1H FULL MADINI
Afu Kuna quma mmoja nimepost kuhusu blockchain dv anasema eti “ukiitwa ka fursa wewe ndio fursa” Watu wasenge sana humu
Kaka kuna mwana anachapa rust naye kwa mwezi anakula $5k sio poa
Huyu jamaa ni hatari mzee 😹 Ukishiona mtu maelezo mengi na anamuweka Mungu mbele hapo kimbia.. . MWISHOWE alitaka watu wanunue na wajipake mafuta ya Mungu wa Shitcoin ili kuleta mafanikio😁😹

Watu wangu wa thamani, Hatakama ni mimi, ukiona natumia Nguvu kubwa sana kukwambia uje Nikufundishe Foreski, na sio kwa Matakwa yako wewe mwenyewe Binafsi, au nawafata Inbox kuwashawishi mje msome kwangu, mnilipe. Au mnipe pesa niwatredie KIMBIENI! RUUUUUUN IT'S NOT SAFE!
XAUUSD 200Pips Missed💔 The sun will rise & we will try again



Kuna giza linakuja kabla ya muujiza mkuu. Niliona wamama wakilia na kumboleza kwa uchungu. Wakilia na kuombelezea watoto wao kama ambavyo Raheli alivyolilia watoto wake Rama. Mwenye masikio na asikie. You will see a miracle.
United States 趨勢
- 1. Columbus 80.4K posts
- 2. #WWERaw 34.7K posts
- 3. #SwiftDay 9,008 posts
- 4. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 5. #IndigenousPeoplesDay 3,757 posts
- 6. Middle East 174K posts
- 7. Seth 30.6K posts
- 8. Marc 38.7K posts
- 9. Knesset 133K posts
- 10. Thanksgiving 45.9K posts
- 11. #MondayMotivation 13.5K posts
- 12. The Vision 87.2K posts
- 13. Victory Monday 2,111 posts
- 14. Flip 50.5K posts
- 15. Good Monday 42.8K posts
- 16. Bron Breakker 4,033 posts
- 17. Bronson 5,885 posts
- 18. Heyman 4,131 posts
- 19. Branch 50.3K posts
- 20. Egypt 168K posts
Something went wrong.
Something went wrong.