Mlyney
@myNeylee
Let Love Lead (L³) Proud to be a Mother #Chaggagirl...
You might like
Uamkapo asubuh kutana na Mungu kwanza kabla hujakutana na mtu yeyote.. Utakuja kutoa shuhuda hapa
Nimekutegeme ww tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumbon mwa mama yangu, Ninakusifu ww daima. Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu weng,na ww ndiwe kimbilio langu la nguvu. Kinywa changu kitajaza sifa zako, na heshima yako mchana kutwa. #Heriyasikuyakuzaliwa_nirmahkimommy
Damu ya kristo ikakufunike Homeboy, na urejee kwenye familia yako ukiwa salama na mzima!!🙏
FUATA SHERIA TATU 1.Usiahidi chochote unapokuwa na furaha kupitiliza 2.Usijibu unapokuwa na hasira sana 3.Usiamue jambo lolote unapokuwa na huzuni sana
Kwa hii baridi ya Leo huku Moshi km uko kama mm wajikunja kama korosho come here
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa sampuli za waliogua ugonjwa uliokuwa haujulikani Wilayani Bukoba, Kagera ambao umeua Watu watano umethibitisha ugonjwa huo ni ugonjwa wa Marburg Virus Disease (MVD) ambao unasababishwa na virusi vya Marburg. #MillardAyoUPDATES
Ganjaman bombolact wanasema kataa upinde
Before you talk - Consider Before you pray - Believe Before you speak - Listen Before you spend - Earn Before you react - Think Before you play - Work Before you laugh - Cry Before you take - Give Before you run- Walk Before you quit - Try Before you die - Live
Ww ni baba ni mama huwajibiki Kwa mtoto.. Utaenda motoni Moja Kwa Moja shetani amekaa pale anakusubir Unatiwa kweny tanuru unachomwaa na jivu lako lichekechwe km Kuna particles zimebaki zinachomwa tena.. Wahed
Serikali imefuta Ukomo wa Muda wa Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) kwa Watanzania wote, na kuzitaka taasisi na Mashirika yote yanayotumia utambulisho huo kuendelea kuvitumia bila kuangalia muda wake wa kuisha. #KitengeUpdates
Hebu tujuzane hapa hivi ni kweli mwanamke akimpenda mwanaume kwa dhati huwa hawezi kumuomba hela? #Dodoso #EastAfricaTV
NishAzunguka na kutembea tembea Huku Twitter Sasa nikalale... Good night my Twitter family ❣️❣️❣️
Hoi baada ya kusikia taarifa kuwa Polisi ndio wanahusika na wizi wa vifaa vya ujenzi mradi wa SGR.
United States Trends
- 1. Sonny Gray 7,209 posts
- 2. Dick Fitts N/A
- 3. Red Sox 7,079 posts
- 4. Rush Hour 4 7,684 posts
- 5. Godzilla 20.2K posts
- 6. National Treasure 5,260 posts
- 7. Raising Arizona N/A
- 8. Gone in 60 1,922 posts
- 9. Happy Thanksgiving 20.9K posts
- 10. Clarke 6,353 posts
- 11. 50 Cent 4,043 posts
- 12. #yummymeets N/A
- 13. Chelsea 308K posts
- 14. Lord of War 1,386 posts
- 15. Giolito N/A
- 16. Brett Ratner 2,555 posts
- 17. NextNRG Inc N/A
- 18. #GMMTV2026 4.23M posts
- 19. Thankful 49.6K posts
- 20. Academic All-District N/A
Something went wrong.
Something went wrong.