Danninho ⚽
@ntandise
Self-employed
Bạn có thể thích
Kuna kipindj mashabiki wa Chelsea tulikuwa tukimuona tu Hazard kwenye pitch tayari Chelsea imeshinda🌞 Asantee kwa kila kitu mwamba ⚽👍👏
Hapa tabora Leo tunampokea mwadhama Protace kardinali Rugambwa karibuni sana🌞
Ayoub sio kipa mzuri tunakubali Lakin hili goli ni dhahiri wamefungwa kwa uzembe wa wachezaji wa ndani Aggressively watu 7 wote wamekabia macho tu👀🤔
Nmependa starting lineup ya Robertinho Leo dhidi ya power dynamos.👏👏
Habari za hasubuhi wakuu !? Mungu ni wetu sote....... Tuamke tukapambane 🤗
Wakuu mnakumbuka lile song la kontawa la mwakani🤔 Jamaa alisema "anaona kizazaa had TANESCO wamewasha mishumaa" Je jamaa anatosha kuwa mtabiri !?🤔😏
Wakuu mmeamkaje...!? Tukapambane Sasa Mungu awe nasi 🙏
Nikiwaangalia Newcastle 🤔 Hadi napata homa kabsa na hii Chelsea yangu😏😌
Pengine huu ndio msimu ambao Man City anaweza kuchukua ubingwa bila kubughuziwa sanaaa na wapinzan wake🤔
Kwangu mm captain Thiago ndio beki Bora wa kizazi chetu 👏 Happy birthday 🎂 goat 🐐
Achana na vita ya Azam na singida Kuna vita ingine kati ya Dube na kakolanya😏 What a match🤔
Mechi nzuri kwa timu zote mbili Simba na coastal union ,though coastal wamepoteza mchezo👏. Pole kwa inonga baka🤗
Hii barabara ya Tanzania to Rwanda. Tanzania to Burundi ina nn Leo🤔 Mbona ajali nyingi sana hiv🤔😏
Hiv n kweli Young Africans wameziba pengi la FISTON KALALA MAYELE kwa kufunga magoli mengi kila mechi!?🤦😏
United States Xu hướng
- 1. FINALLY DID IT 44,1 B posts
- 2. The Jito 42,1 B posts
- 3. The PENGU N/A
- 4. The BONK N/A
- 5. Good Tuesday 1.788 posts
- 6. DeepNodeAI 1.849 posts
- 7. Tomlin N/A
- 8. Son of Man N/A
- 9. Taco Tuesday N/A
- 10. Founders Day N/A
- 11. #tuesdayvibe N/A
- 12. 12,000 Iranians 27,1 B posts
- 13. #PutThatInYourPipe N/A
- 14. Aaron Rodgers 1.048 posts
- 15. My Three Sons N/A
- 16. #IranMassacre 5.418 posts
- 17. 10m TXs N/A
- 18. Pass the Save Act 89,2 B posts
- 19. Camp Haven N/A
- 20. Iran International 6.302 posts
Something went wrong.
Something went wrong.