Oswin King
@oswinking
Boyfriend|Grain Tycoon🌽|Baba Ramon| I Have NO Special TALENTS, I am Only PASSIONATELY CURIOUS!!
If You See Any Opportunity That Suits Your Friends, Link Them Up. The Hate is Less When The Whole Squad is Winning.
📍Bungeni, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. @KassimMajaliwa_ akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Karagwe Mh. @innobash, mapema leo Aprili 12, 2022 Bungeni jijini Dodoma. 📸: OR-TAMISEMI
📍Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mh. @innobash atakuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kalenda za Utekelezaji wa Mitaala na Mafunzo kwa Maafisa Elimu wa Mikoa na Wadhibiti Wakuu wa Ubora wa Shule Kanda. 📆; Januari 14, 2022 Saa 4:00 Asubuhi.
📍Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mh. Innocent Bashungwa (@innobash) amefiwasili Ofisi za Wizara hiyo Mtumba Jijini Dodoma na kulakiwa na watumishi wa Wizara. Hii ni mara baada ya kuapishwa na Mh. Rais @SuluhuSamia Ikulu, Chamwino leo.
Fainali za Bashungwa Karagwe Cup hapo jana! #BashungwaKaragweCup🏆 Cc: @innobash @victoriacharlz @JenniferBash @oswinking @Wizara_HabariTZ
𝙷𝚎𝚛𝚒 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚖𝚋𝚞𝚔𝚒𝚣𝚒 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚣𝚊𝚕𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚔𝚘 @oswinking 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚔𝚞𝚊, 𝚄𝙾𝙴. #𝙷𝚊𝚙𝚙𝚢𝙱𝚒𝚛𝚝𝚑𝚍𝚊𝚢𝙺𝚒𝚗𝚐🎊
Best wishes to @SuluhuSamia, Tanzania’s new president and the first woman to hold the office, as she leads and serves her country.
Natoa wito kwa wanahabari na wananchi wetu kuendelea na utaratibu wa kupata taarifa kupitia vyanzo rasmi vya habari. Kutumia rumours/uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria zinazosimamia sekta ya habari. Epukeni kusambaza habari ambazo mtawajibika nazo.
Sekta binafsi kupitia Private Organizations zenu na Think Tank ya kodi tuliwambia leteni maoni-fiscal incentives kupunguza negative shocks za COVID 19. Mlifanya na govt imekuwa sikivu. Hongereni sana.
Wanaotengeneza magari ifike wakati waweke honi upande wa abiria pia maana na sisi tuna watu wa kuwasalimia huko njiani.
Uzalishaji sukari ya kawaida nchini kwa mwaka ni tani 360,000. Mahitaji sukari matumizi ya kawaida ni tani 470,000. Hivyo uzalishaji sukari ndani ya nchi umefikia 77% ya mahitaji ya nchi yetu. Ongezeko la 2.5% kwa mwaka. TZ inatarajia kujitosheleza na kuwa na ziada kufika 2024/25
Kipindi hiki Kama Nchi Tunapambana na Corona Mwanamke anataka Hela ya Kusuka Kweli? Hivi Wanawake Watabadilika Lini Jamani!
May God Keep giving eternal peace to the soul of Sir George Kahama 🙏🏽 One of Prominet Civil Servants to have served our Nation- and the Founder (over 50 years of service in various posts) Founder of the Tanzania China Friendship Promotion Association We celebrate your life🙏🏽
My Ministry is increasingly receiving complaints from TZ business community about Non-Tariff Barriers (NTBs) being imposed on TZ goods to our neighboring countries. Our Continent is preaching “common market”, and most of us are echoing the call. So what? HYPOCRISY is THE word.
What happened to my accounts yesterday was unfortunate. Tuko pamoja. We’re going back to the league strong. Tunajipanga kwaajili ya ligi. Nawapongeza Mtibwa kwa kuchukuwa kombe. Mimi ni SIMBA damu damu. Nitabaki kuwa SIMBA! #NguvuMoja
United States Tendências
- 1. Knicks 12.9K posts
- 2. Shamet 2,791 posts
- 3. #AEWDynamite 21.2K posts
- 4. Philon 1,801 posts
- 5. Brandon Williams 1,003 posts
- 6. #Survivor49 3,794 posts
- 7. #CMAawards 5,384 posts
- 8. Vucevic 5,567 posts
- 9. #AEWCollision 8,607 posts
- 10. Derik Queen 3,784 posts
- 11. Vooch 1,092 posts
- 12. Blazers 4,027 posts
- 13. #mnwild N/A
- 14. Simon Walker N/A
- 15. Vucci Mane N/A
- 16. Wallstedt N/A
- 17. NO CAP 14.4K posts
- 18. Bristow 1,112 posts
- 19. Jackson Blake N/A
- 20. Nick Allen 2,176 posts
Something went wrong.
Something went wrong.