innolight_tz
@presenterlight
Content Creator
You might like
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu. Asante kwa support kubwa #innolighttv mapambano yaendelee🙏
Kipindi hiki wanahabari watangazaji, content creators hakuna kulala njaa Radio na TV zimejaa kila corner pia digital online media & podcast zimefurika .... Time to enjoy national cake ..... #broadcasting
Kuna Muda huoni mbele zaidi ya Giza tu ila sauti ya nafsi inakupa nguvu ya kuendelea kufanya. Tusichoke kwenye mafanikio Kuna mengi
Wana Simba kesho nitakuwa msimbazi kuwapa hi Sina baya😂😂😂
Kutumiwa kimapenzi ni pale ambapo mwanamke anakuomba pesa kwa sababu ulionyesha nia kua unamuhitaji. Usiingie mtego huo. Wanawake ni wazuri katika hilo kama akiona unamkubali sana. Wao ni jinsia dhaifu, hivyo inakuwa rahisi kuchochea hisia zako za kuwa provider kwa sababu…
Unamtumia mdada meseji saa 2 asubuhi, anakujibu saa 6 mchana.. Na wewe kujionyesha jinsi ulivyo boya na hujiheshimi, unamtumia meseji nyingine hapo hapo.. Acha kujidharau.
Mbwa ana wivu wa mapenzi alisikika shabiki akisema
Pambania ndoto zako mafanikio yatakupa amani na furaha ya kudumu . Kumbuka Leo watu hawana ukaribu na wewe kwa sababu huna cha kuwapa
Usiku mzima usingizi umekata alafu asubuhi hii unakuja kama upepo 😃😃👋
"Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na Chipukizi mwenye umri wa miaka 8 hadi 10 katika kipindi hiki badala ya kumuacha mtoto huyo asome? Sisi tukiwa na Chipukizi, je CHADEMA wakiwa na Chipukizi, je CUF wakiwa na Chipukizi hawa watoto watasoma saa ngapi?” John Magufuli, 23 Julai 2016
Mwisho wa siku Kila mtu alee amfundishe mtoto wake 😃
Kuna watangazaji wengi wa burudani lakini #lilomy ametengeneza heshima yake na yupo mbali sana kuanzia mafanikio yake binafsi na jamii kwa ujumla . #presenters learn from this incredible man ever
United States Trends
- 1. #OlandriaxRahulMishra N/A
- 2. Tom Homan N/A
- 3. #MondayMotivation N/A
- 4. Good Monday N/A
- 5. Ran Gvili N/A
- 6. Roval N/A
- 7. #PMSSuperBowlSZN N/A
- 8. #MaduroCiliaHeroes N/A
- 9. Udinski N/A
- 10. Scheelhaase N/A
- 11. $CRWV N/A
- 12. Chris Madel N/A
- 13. #VenezuelaEsAmorYPaz N/A
- 14. Cramer N/A
- 15. CoreWeave N/A
- 16. AirTag N/A
- 17. Browns HC N/A
- 18. Signal N/A
- 19. Tomodachi Life N/A
- 20. Cava N/A
Something went wrong.
Something went wrong.