Health with Mhando 🩺
@Afya_code
Turning BOYS into Men| Afya imara ya Uzazi https://chat.whatsapp.com/FZmP7C7dBvQ2ApKlwCfrLY
คุณอาจชื่นชอบ
Happy New Month... Ni siku nyingine njema tena na Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii aliyotupatia Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa bado nipo kwenye maandalizi ya E-book yako ya #KuwaNiceGuyniUgonjwa Hivyo tarehe rasmi ya e-book kutoka nitaitaja Nashukuru kwa…
Mwanaume fanyia kazi " Self Esteem" yako na kila kitu kitabadilika Ukianza kujikubali kama ulivyo hautotumia nguvu kubwa kuishi nje ya Uhalisia wako ili ukubalike nje #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Nilivyoacha kuwaza " Nikimwambia sijapenda alichofanya atajisikiaje/ atanionaje...?" " Yule demu nampenda lakini nikimwambia ataniona muhuni...Acha nile kwa macho" Kila kitu kilibadilika upande wangu Niliepuka friendzone . Nikapata pisi iliyonipenda MIMI KAMA MIMI…
Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali.. 🧵 Repost🔁 Follow @shabirnakamu Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka.. katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾
Kuna content yake nitaielezea hili kidogo
Mara nyingi Nice Guys ndio set ya Wanaume ambao Wanawake hawawataki wakiwa kwenye prime yao Unajua kwanini...? #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Jifunze kusema " HAPANA" kwa favours ambazo Wanawake wanataka uwafanyie Utagundua mengi na macho yako yatafunguka #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Fanya makosa yote mbele ya Mwanamke ila usiwe Mwanaume dhaifu ( Nice Guy) Ukifanya kosa hili hautosamehewa kamwe na vile Wanawake walivyo wakatili kwa Wanaume dhaifu Kuwa mkarimu tu inatosha usiwe Nice utaumizwa #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Tunaogopa sana hii kuwapoteza
Ukitaka kujua Uhalisia wa Mwanamke uliyenaye mnyime kitu ... Utaiona rangi yake halisi Unfortunately! Nice Guys can't relate because they are YES MAN! #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Kwaheshima zenu naombeni #repost zenu hapaaa💓💕 @Fundimabomba 0752067371
Ni kweli kabisa. 'Hapana' ni mpaka wa kujilinda. Ni zaidi ya neno – ni kauli ya kujiheshimu, kudumisha thamani binafsi na kulinda afya ya kiakili na mwili. Mtu anapojifunza kusema 'hapana', anajipa ruhusa ya kusema 'ndiyo' kwa kile kilicho bora kwake
Hapana ni neno baya kwa wanawake na hawalipendi kabisa kulisikia. Ndio mana dem utasikia "Nikuambie kitu, Niambie kwanza kama utakubali?" Kwake Hapana haina nafasi. Sasa kuna vtu vingine tunahitaji kusema HAPANA.
Neno " HAPANA " bila kutoa maelezo yoyote linabeba Nguvu yako Mwanaume Jifunze kusema " HAPANA " kwenye jambo lolote linalopunguza well being yako #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Haya sasa @Afya_code tumewekwa hadi kwenye magazeti lakini tunaweza tusisikie. Kauli ni moja tu, Je usipoazima hiyo Ela Utakufa? Kama haufi achana nayo fanya mambo mengine. Ila kama tunapelekaga uku naomba tuzuiwe tu kukopa 😂😂
Ukweli kuhusu kipato cha mtandaoni. Hasa kama unauza professional services, coaching, books na courses —mambo yako hivi: Mwezi huu umeingiza 652,000 Mwezi uliopita 120,000 Next month alfu sabini na aftatu. Another month umepiga 2,890,000 Mwezi mwingine Sifuri. Na hali…
Ni lazima Wanawake wakutumie kwa faida zao kwa sababu wewe ni mdhaifu, unaishi ili upate approval yao na unaishi nje ya Uhalisia wako Mind you! Wanawake wanahisi udhaifu chap sana na wakijua unao umeisha #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Soon inaanza kushuka episode moja baada ya nyingine.!! Watu wakae mkao wa kula🚨🫵🏾
Kama unachofanya au unachosema mara nyingi lengo ni kupata sifa kutoka kwa Wanawake Jitathmini Sana... #KuwaNiceGuyniUgonjwa
United States เทรนด์
- 1. #FanCashDropPromotion N/A
- 2. Reagan 98.7K posts
- 3. Good Friday 63.7K posts
- 4. #FridayVibes 4,866 posts
- 5. #FridayFeeling 2,604 posts
- 6. #FursuitFriday 12K posts
- 7. Happy Friyay 1,520 posts
- 8. Core CPI 4,657 posts
- 9. Immigration 154K posts
- 10. Tren de Aragua 14.4K posts
- 11. U-Haul 8,160 posts
- 12. Oval Office 19.7K posts
- 13. RED Friday 2,757 posts
- 14. #19YearsOfTaylorSwift N/A
- 15. Finally Friday 5,766 posts
- 16. Pritzker 95.6K posts
- 17. ORM CENTRAL CHIDLOM ANN 740K posts
- 18. Halle 23.3K posts
- 19. Doug Ford 21.9K posts
- 20. September CPI 4,393 posts
คุณอาจชื่นชอบ
-
Ikechukwu Ali
@IkechukwuA6992 -
progression
@progression_int -
Busayo
@Bussyboss12 -
Hassan Wyte
@HassanWyte -
njoroboihastlar🏌️♀️
@kimolorama8 -
MR STATE AND CAPITAL 💯
@abikinPeRexxie -
Lourdes_Back 🦅💨
@LourdesVert -
Marvin
@Marvijay2 -
Owoade Gbolahan
@Gbollytboy -
Rey moni👑
@XReymoni -
Oluwafity
@iam_oluwafity -
Jibola
@Jibola__p66 -
Unbothered
@unbothered__001
Something went wrong.
Something went wrong.