TACAIDS
@tacaidsinfo
Ukurasa Rasmi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania - TACAIDS
You might like
Hongera Mfanyakazi hodari wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS kwa mwaka 2025
Dkt Catherine Joachim kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupanda mlima Kilimanjaro "Kili Challenge 2025" jijini Dar es salaam
Mhe. Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akizindua kampeni ya kupanda mlima Kilimanjaro "Kili Challenge 2025" kwa ajili ya kuchangia fedha kwenye Mwitikio wa UKIMWI nchini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) amesema serikali kwa kushirikiana na wadau inachukua hatua madhubuti za kuimarisha Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI kupitia vyanzo vya fedha za ndani ili kuwa na uendelevu wa utoaji huduma za UKIMWI hapa nchini.
TACAIDS yawasilisha mpango na Bajeti ya mwaka 2025/2026 kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI
P.O.N.G.E.Z.I Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani. Tusonge na Samia kutokomeza UKIMWI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Catherine Joachim akitoa ufafanuzi juu ya huduma za UKIMWI mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI ambao walikuwa ziarani tarehe 17 Machi, 2025 ya kujionea hali ya utoaji huduma za UKIMWI katika gereza la Singida
Watumishi wa TACAIDS wapatiwa mafunzo ya maadili na mabadiliko ya usimamizi
Mafunzo ya maadili na uwajibikaji kwa Wakurugenzi, Wakuu wa Sehemu na Mameneja wa TACAIDS yanayoendelea jijini Dodoma (Terehe 10 Hadi 13 Machi, 2025) Tusonge na Samia kutokomeza UKIMWI
United States Trends
- 1. #BaddiesUSA 60.7K posts
- 2. Rams 29.4K posts
- 3. #LAShortnSweet 21.7K posts
- 4. Scotty 9,826 posts
- 5. TOP CALL 3,340 posts
- 6. Cowboys 101K posts
- 7. Eagles 141K posts
- 8. Chip Kelly 8,721 posts
- 9. #ITWelcomeToDerry 15.6K posts
- 10. sabrina 61.1K posts
- 11. #TROLLBOY 1,986 posts
- 12. Raiders 67.7K posts
- 13. Stafford 15.2K posts
- 14. Stacey 24.4K posts
- 15. #centralwOrldXmasXFreenBecky 237K posts
- 16. SAROCHA REBECCA DISNEY AT CTW 257K posts
- 17. Ahna 7,254 posts
- 18. Bucs 12.3K posts
- 19. billie 19.3K posts
- 20. Baker 20.8K posts
You might like
-
Jhpiego Tanzania
@JhpiegoTanzania -
NIMR Tanzania
@NIMR_Tanzania -
CDC Tanzania
@CDCTanzania -
KCMC University
@kcmucotz -
Africa Academy for Public Health (AAPH)
@AAPH_Africa -
Medical Association of Tanzania (MAT)
@association_mat -
Dr. Florence Temu
@DrFlo6 -
Wizara ya Afya Zanzibar
@mohznz1 -
Benjamin William Mkapa Foundation
@MkapaFoundation -
Amref Tanzania
@AmrefTanzania -
WHO Tanzania
@WHO_Tanzania -
Management and Development for Health
@mdh_tanzania -
Julieth Sebba Bilakwate, MD
@JuliethSebbaMD -
Dawa Mkononi
@DawaMkononi -
Dr. Elisha Osati
@ElishaOsati
Something went wrong.
Something went wrong.