#tasaf search results
Tumetembea na Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuona mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa TASAF katika wilaya ya Uyui ambapo tumeshuhudia wananchi wanavyobadili hali zao kupitia mradi huu. Pichani. Tukimchangia mwananchi kumalizia nyumba ikiwa ni kuunga juhudi #TASAF
Digital Identity for Service Delivery See how the digital identity system in Tanzania has helped social protection and financial inclusion, with Ismail H. Rumatila, Director General, @NIDA_Tanzania & J. Temba, E-Payment Coordinator, #TASAF Watch here: youtube.com/live/wRlDaXfTE…
Waziri Jenista Mhagama akiwa ameambatana na Naibu Waziri @ridhiwankikwete wametembelea kujiona mafanikio makubwa ya Mradi wa #TASAF Wilayani Siha ikiwa ni muendelezo wa kutoa pesa kuwawezesha Watanzania kuondoka ktk wimbi kubwa la umaskini ikiwa ni kutekeleza malengo ya Milenia.
Nikijibu swali la Mh. Mbunge Mtaturu nimewahikikishia Watanzania kuwa, Serikali yao imekwishatoa Muongozo juu ya utekelezaji wa miradi ya TASAF na ususani ni makundi gani ambayo hayaruhusiwi kufanya kazi ngumu. Hayo tumeyaeleza leo kwenye kikao Cha 11 Cha Bunge , Dodoma.#TASAF
Kupitia ofisi za #TASAF utaweza kupata data nyingi za Walemavu. Walifanya target ya Walemavu ambao wapo kwenye Kaya za Walengwa wanaopata ruzuku itolewayo kwa Kaya Masikini. Hivyo ukitembelea Ofisi za TASAF unaweza pata database ya kuanzia.
Mhe Kikwete na Kamati ya Bunge wametembelea kuona mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa TASAF katika wilaya ya Uyui ambapo wameshuhudia wananchi wanavyobadili hali zao kupitia mradi huu. Pichani. Wakimchangia mwananchi kumalizia nyumba ikiwa ni kuunga juhudi. #TASAF #RK #KAZINI
Unaweza ukawa mnufaika na #Elimu_Bure, mnufaika wa #Bodi_Ya_Mikopo na baadaye ukawa mnufaika wa #TASAF kama ukiendelea kutowajibika kwa ajili ya maisha yako.
Nikijibu swali juu ya uchaguzi ya Wanufaika wa Mradi wa TASAF, nimetumia nafasi hiyo kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya bora na Mh. Rais @samia_suluhu_hassan kwa kuendelea kuniamini. Pia Nimewaahidi Watanzania kuwa Serikali itaendelea kusimamia miradi hii. #KaziInaendelea #TASAF
📚 FURAHA YA KUSOMA Maktaba ya kisasa yang’ara Shule ya Sekondari Nkololo, Bariadi DC – Simiyu. Tabasamu la kila mwanafunzi linasimulia hadithi ya matumaini mapya Kupitia ufadhili wa OPEC Fund chini ya #TASAF, Tsh milioni 92.4 zilitumika kujenga maktaba hii. #MaktabaYaNdoto
Chama bado😂akat ndo kashazeeka bado nn #TASAF
🔰Dkk ya 45 Yanga vs Augsburg kama si umahiri wa Diarra kwa sasa Yanga ingekuwa imepigwa chuma 3+. Ubora wa Diarra anacheza Ligi kubwa Barani Ulaya bila wasiwasi wowote. Chama bado
2024 lazima nijitahidi niwe mwanachama wa #Tasaf hapa nduli maisha ni magumu sana.
Maendeleo Yanayoonekana! Ujenzi wa Nyumba ya Mganga (2-in-1) Zahanati ya Gilya umefikia 98%! 💪 Umefadhiliwa na Mfuko wa TASAF kupitia OPEC Fund – Tsh Mil. 92.35. Hatua kubwa kuboresha makazi ya watumishi & huduma bora kwa wananchi ❤️ #HudumaBoraKwaWote #TASAF #OPECFund
You can be a beneficiary of #Elimu_Bure, a beneficiary of the #Board_Ya_Mikoto and later become a beneficiary of #TASAF if you continue to be irresponsible for your life.
WAZIRI SIMBACHAWENE: TUNAFUATILIA MADAI YA WANUFAIKA WA TASAF KUTOLIPWA Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (#TASAF) Wilaya ya #Moshi Mjini na Moshi Vijijini Mkoani #Kilimanjaro hawajalipwa stahiki zao tangu Desemba 2022, hoja
Ujenzi wa bweni la wanafunzi unaendelea Mwamlapa Sekondari kupitia ufadhili wa TASAF kwa gharama ya Tsh 165.5M. ✅ Upauaji umekamilika, kazi ya ufungaji bodi na plasta inaendelea. #Bariadi #TASAF #ElimuBora #UjenziUnaoendelea
Ngoja tuipeleke mjini #TASAF waione
Asante sana kaka @kalage_jr Perfume nzuri sana 🤝 Hapa moja inaitwa : Mbeumo na nyingine Maguire , safi kabisa 🔥
Maendeleo Yanayoonekana! Ujenzi wa Nyumba ya Mganga (2-in-1) Zahanati ya Gilya umefikia 98%! 💪 Umefadhiliwa na Mfuko wa TASAF kupitia OPEC Fund – Tsh Mil. 92.35. Hatua kubwa kuboresha makazi ya watumishi & huduma bora kwa wananchi ❤️ #HudumaBoraKwaWote #TASAF #OPECFund
KILIMANJARO: Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kupitia #CCM, Felista Njau, amedai kuwa baadhi ya watendaji Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (#TASAF) wamekuwa wakipokea hongo na kuwapa msaada wasio walengwa. Akijinadi mbele ya wananchi, ameahidi kuhakikisha fedha hizo zinafika
🏫 Bweni la Nkololo Sekondari Ujenzi umefikia 86%. 💰 Tumepokea Mil. 165.5 🔧 Zimetumika Mil. 142.7 💵 Zimebaki Mil. 22.8 Hatua ya sasa: Upakaji rangi Mradi huu unafadhiliwa na TASAF kupitia OPEC Fund. #BariadiDC #TASAF #ElimuKwanza #Maendeleo
📚 FURAHA YA KUSOMA Maktaba ya kisasa yang’ara Shule ya Sekondari Nkololo, Bariadi DC – Simiyu. Tabasamu la kila mwanafunzi linasimulia hadithi ya matumaini mapya Kupitia ufadhili wa OPEC Fund chini ya #TASAF, Tsh milioni 92.4 zilitumika kujenga maktaba hii. #MaktabaYaNdoto
📍 Mwamlapa, Bariadi Ujenzi wa bweni la wasichana unaendelea kwa kasi! 💰 TZS 165.5M kutoka OPEC Fund kupitia TASAF 🎯 Lengo: -Kuongeza ufaulu -Kupunguza utoro - Kuwezesha ndoto za mtoto wa kike 🗓️ Utekelezaji ulianza: 13 Aprili 2025 #MtotoWaKikeKwanza #TASAF #OPECFund
📚 TASAF kupitia OPEC Fund yajenga maktaba ya kisasa Sekondari ya Nkololo, Bariadi. Uwekezaji huu umeimarisha utamaduni wa kujisomea na kuchochea mafanikio ya kitaaluma miongoni mwa wanafunzi. Elimu bora huanza na mazingira bora ya kujifunzia! #TASAF #ElimuBora #Bariadi
Digital Identity for Service Delivery See how the digital identity system in Tanzania has helped social protection and financial inclusion, with Ismail H. Rumatila, Director General, @NIDA_Tanzania & J. Temba, E-Payment Coordinator, #TASAF Watch here: youtube.com/live/wRlDaXfTE…
Tumetembea na Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuona mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa TASAF katika wilaya ya Uyui ambapo tumeshuhudia wananchi wanavyobadili hali zao kupitia mradi huu. Pichani. Tukimchangia mwananchi kumalizia nyumba ikiwa ni kuunga juhudi #TASAF
Mkoa wa Ruvuma umepokea zaidi ya Shilingi Bilioni 12 mwaka 2024 kwa utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini. Kaya 47,721 zinaendelea kunufaika, huku 18,912 zikiwa zimehitimu. #TASAF #Ruvuma #Maendeleo whatsapp.com/channel/0029Va…
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Kijiji cha Kikunde Wilayani #Kilindi anadai wanufaika wa Mradi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (#TASAF) wanapata wakati mgumu kupata malipo yao hasa Wazee Anadai Wazee wamekuwa wakitumikishwa kufanya kazi za kusafisha na kurekebisha Barabara
Ujenzi wa bweni la wanafunzi unaendelea Mwamlapa Sekondari kupitia ufadhili wa TASAF kwa gharama ya Tsh 165.5M. ✅ Upauaji umekamilika, kazi ya ufungaji bodi na plasta inaendelea. #Bariadi #TASAF #ElimuBora #UjenziUnaoendelea
📚 FURAHA YA KUSOMA Maktaba ya kisasa yang’ara Shule ya Sekondari Nkololo, Bariadi DC – Simiyu. Tabasamu la kila mwanafunzi linasimulia hadithi ya matumaini mapya Kupitia ufadhili wa OPEC Fund chini ya #TASAF, Tsh milioni 92.4 zilitumika kujenga maktaba hii. #MaktabaYaNdoto
📍 Mwamlapa, Bariadi Ujenzi wa bweni la wasichana unaendelea kwa kasi! 💰 TZS 165.5M kutoka OPEC Fund kupitia TASAF 🎯 Lengo: -Kuongeza ufaulu -Kupunguza utoro - Kuwezesha ndoto za mtoto wa kike 🗓️ Utekelezaji ulianza: 13 Aprili 2025 #MtotoWaKikeKwanza #TASAF #OPECFund
"Tumeona mafanikio makubwa sana ya Mradi wa #TASAF katika wilaya ya Siha Kilimanjaro.Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais @SuluhuSamia imeendelea kutoa pesa kuwawezesha Watanzania kuondoka katika wimbi kubwa la umaskini ikiwa ni kutekeleza malengo ya Milenia".@ridhiwankikwete
"Tunakwenda kuwangunanisha wananchi wa Kitongoji cha Sero chenye wakazi zaidi ya 7000 kwa ujenzi wa Daraja la #Mto wa #Sero kata ya Ololosokwan kupitia Miradi ya #TASAF likalojengwa mwaka huu 2023 na Kurahisisha upatikanaji wa Huduma kwa wananchi" Mhe.Emanuel Shangai (MB)
Haya ngoja niwasaidie nyie #TASAF
Admin mwenyewe 𝐍𝐀𝐎𝐆𝐎𝐏𝐀! Tukutane Saa 7:00 Mchana🔰💪🏽 Pakua na Lipia Yanga SC APP📲 na YANGA HABARI *149*40# - Hakikisha una salio kuanzia Tsh 100 kwenye simu yako na uwe wa kwanza kupata taarifa hii. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Maendeleo Yanayoonekana! Ujenzi wa Nyumba ya Mganga (2-in-1) Zahanati ya Gilya umefikia 98%! 💪 Umefadhiliwa na Mfuko wa TASAF kupitia OPEC Fund – Tsh Mil. 92.35. Hatua kubwa kuboresha makazi ya watumishi & huduma bora kwa wananchi ❤️ #HudumaBoraKwaWote #TASAF #OPECFund
🏫 Bweni la Nkololo Sekondari Ujenzi umefikia 86%. 💰 Tumepokea Mil. 165.5 🔧 Zimetumika Mil. 142.7 💵 Zimebaki Mil. 22.8 Hatua ya sasa: Upakaji rangi Mradi huu unafadhiliwa na TASAF kupitia OPEC Fund. #BariadiDC #TASAF #ElimuKwanza #Maendeleo
📚 TASAF kupitia OPEC Fund yajenga maktaba ya kisasa Sekondari ya Nkololo, Bariadi. Uwekezaji huu umeimarisha utamaduni wa kujisomea na kuchochea mafanikio ya kitaaluma miongoni mwa wanafunzi. Elimu bora huanza na mazingira bora ya kujifunzia! #TASAF #ElimuBora #Bariadi
Mhe Kikwete na Kamati ya Bunge wametembelea kuona mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa TASAF katika wilaya ya Uyui ambapo wameshuhudia wananchi wanavyobadili hali zao kupitia mradi huu. Pichani. Wakimchangia mwananchi kumalizia nyumba ikiwa ni kuunga juhudi. #TASAF #RK #KAZINI
Waziri Jenista Mhagama akiwa ameambatana na Naibu Waziri @ridhiwankikwete wametembelea kujiona mafanikio makubwa ya Mradi wa #TASAF Wilayani Siha ikiwa ni muendelezo wa kutoa pesa kuwawezesha Watanzania kuondoka ktk wimbi kubwa la umaskini ikiwa ni kutekeleza malengo ya Milenia.
Akizungumza mkoani Singida baada ya kukagua miradi ya TASAF, Waziri Simbachawene amesema mfuko huo ni moja ya mikakati ya Serikali kusaidia wananchi kiuchumi, hususan kwa wale wasiojiweza. #TASAF #Maendeleo #Uwezeshaji #CCM #Mbowe #Simbachawene
ARUSHA: Mdau wa JamiiForums.com amedai Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa Kunusuru Kaya Masikini #TASAF unawapatia Fedha Vijana wenye nguvu na kujiweza badala ya wahitaji ambao ni Wazee wasiojiweza, na Kaya Masikini Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara iliyopo
Katika usimamizi wa Matumizi kwa Mwaka wa fedha 2022/23, Ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ulibaini #TANROADS, #MOEST na TASAF hazikutoza kodi ya zuio yenye thamani ya Tsh. 1,118,230,367 Wakati huohuo #TASAF na TANROADS zilitoza kodi ya zuio lakini
Mimi ninapendekeza @ChademaTz wamuingize Tundu Lissu kwenye mpango wa #TASAF maana hizi sifa alizozitaja Maria zinapaswa kumuondoa kabisa kwenye list ya presidential candidates ambayo masharti yake ni pamoja na kazi inayomuingizia kipato. Or else hii campaign iko geared kisiasa
Leo tukizungumza na wananchi wa Kata ya bubiki Kijiji cha Bubiki Jimbo la kishapu,Michango,Wananchi wenye kipato duni wanufaika wa #TASAF Kugeuzwa Makatapilla ya Kulima Barabara kama kigezo cha Kupata Pesa za TASAF ni kilio kikubwa kwa wananchi Wengi wa Vijijini na Mijini
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. #Survivor50 N/A
- 2. NASA N/A
- 3. #PresidentialAddress N/A
- 4. Stone Age N/A
- 5. #AEWDynamite N/A
- 6. Artemis II N/A
- 7. Macklin Celebrini N/A
- 8. #TheFutureIsTeal N/A
- 9. Gavin Williams N/A
- 10. Colby N/A
- 11. Sharks N/A
- 12. Blackwood N/A
- 13. Genevieve N/A
- 14. Simon's Cat N/A
- 15. Challenger N/A
- 16. #TheMaskedSinger N/A
- 17. Jericho N/A
- 18. Canucks N/A
- 19. Monkey Kings N/A
- 20. Savarino N/A