#evidencebasedprogramming Suchergebnisse
Samwel Likindikoki,Lecture MUHAS Jinsi tunavyoweza kutumia tafiti ili kuweza kutengeneza sera kwenye Ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Mijadala mtawalia ndani ya Siku 16 za Uwanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia inaendelea. @WiLDAFTz wameandaa 'Kongamano la Kitaifa la Utafiti Kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.' Fuatilia matukio ya moja kwa moja kupitia #EvidenceBasedProgramming. #KomeshaUkatili
Anna Kulaya:Leo kwa mara kwanza tunataka kusikia tafiti mbalimbali zinazohusiana na maswala ya ukatili wa kijinsia,Tafiti hizi zitatusaidia katika msukumo mbalimbali wa mabadiliko wa sera. #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
"Kwenye hospitali nyingi wamejitahidi kukusanya data za watu wote wanaopitia Ukatili wa Kijinsia ili kupata taarifa zao. Hii ni hatua muhimu sana." - Dr.Katanta Lazarus #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
From the offices to the coal face. #evidencebasedprogramming. Full stakeholder engagemenent. #NPCC @faosfsafrica @PalladiumImpact @LFSPZim
Mijadala mtawalia ndani ya Siku 16 za Uwanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia inaendelea. Leo @WiLDAFTz wameandaa 'Kongamano la Kitaifa la Utafiti Kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.' Fuatilia matukio ya moja kwa moja kupitia #EvidenceBasedProgramming. #KomeshaUkatili
"Kuongelea ukatili wa majumbani haswa wanaopitia wadada wa kazi,Pia tuzungumze Ukatili wa Kihisia majumbani." @neemalugangira #magiriKomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Tulifanya utafiti kwa wanawake wenye kuanza balehe zaidi 403 miaka kati 15-24 wanasiachana wengi walisema Ukatili wa Kijinsia ni vitendo vya kupigwa,au kubakwa ~|Caroline Mtaita (Heidelberg,Institute of Global Health) #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
"Leo kwa mara kwanza tutazisikia tafiti mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ukatili wa kijinsia. Tafiti hizi zitatusaidia katika msukumo mbalimbali wa mabadiliko ya kisera." - Anna Kulaya - Mlkurugenzi, @WiLDAFTz #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
"Ni muhimu sana kuuongelea ukatili wa majumbani hasa ukatili wa kimwili na kihisia wanaopitia wasaidizi wa kazi za nyumbani." - Mhe. @neemalugangira, Mbunge Viti Maalum. #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
"Ni lazima kutekeleza vipengele vyote saba kwa pamoja ndipo tutaweza kutokomeza ukatili dhidi ya watoto kufikia mwaka 2030." - Likindoki #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
A shout out to all our rehabilitative services staff! You guys rock! #EvidenceBasedProgramming #SeamlessSupervision
"Tanzania Violence Research Network (TVRN) ni jukwaa lililoanzishwa mwaka 2019 linalolenga kuwasaidia watafiti kufahamu vizuri kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto." - Likindikoki TVRN inaratibiwa na MUHAS, NIMR, LSHTM #KomeshaUkatili #EvidenceBasedProgramming
The STRONG-R is helping us create a better, more efficient case-plan for our offenders and streamlines our seamless supervision model. #evidencebasedprogramming #industrybestpractices
Mhe.Neema Lugangira(Mbunge wa Viti Maalumu):Ukatili majumbani pia tusisahau kuhusu matunzo kwa watoto haswa pale wazazi wanapotengana. #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Ukatili majumbani pia tusisahau kuhusu matunzo kwa watoto haswa pale wazazi wanapotengana ~ | Mhe @neemalugangira Mbunge viti maalum Asasi za kiraia #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
"Mradi huu wa kuwafikia watu wenye ulemavu unafanyika kwenye mikoa ya Geita, Dodoma, Morogoro, Pwani, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Dar es salaam na Zanzibar." - Dkt. Katanta Lazarus. #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
Mhe.Neema Lugangira(Mbunge wa Viti Maalumu):Kuongelea ukatili wa majumbani haswa wanaopitia wadada wa kazi,Pia tuzungumze Ukatili wa Kihisia majumbani. #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
PICHANI: Dkt. Samuel Likindikoki akielezea namna matumizi ya utafiti katika kujenga sera na programu zenye msingi wa ushahidi kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto nchini Tanzania. #KomeshaUkatili | #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Kuongelea ukatili wa majumbani haswa wanaopitia wadada wa kazi,Pia tuzungumze Ukatili wa Kihisia majumbani. ~ | Mhe @neemalugangira Mbunge viti maalum asasi za kiraia #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Her work on the AIM tool will inform future community health programming. Join us in applauding her dedication! 👏 #HSAFellowship #EvidenceBasedProgramming #CommunityHealth #PublicHealth
Research by faculty affiliate Damon Jones, associate research professor @PRCPennState, links #behavioralproblems in #kindergarten to crime-related costs when those children become adults. #evidencebasedprogramming psu.edu/news/research/…
Lots of discussion around ensuring that #SeniorCenters are introducing #EvidenceBasedProgramming. You can learn more about evidence-based programs in you area by going to NCOA's website. See here 👇 #AgeActionVirtual #AgeAction ncoa.org/evidence-based…
You know I 💞 this crew if I am willing to retweet this whacky hair pic. What a super fun, high energy group who is committed to #youthwork & #evidencebasedprogramming! I have the best job getting to work with amazing #clinicians & #supervisors like them & my fellow #consultants.
What a great day it was training with our @CIPBegun @MST_Services teams from @cabhstark & @Crossroads_Ohio! These teams have open positions for #therapists & a #supervisor opening in #LakeCounty. Join us on this #MakeADifferenceMonday! #ApplyNow #Clinician mstjobs.com/jobs/?q=&l=Ohi…
Our partnership project - Financial Diaries of Female Entrepreneurs in Uganda with @lift_bv and @financialacess kicks off in Uganda #EvidenceBasedProgramming #FinancialDiaries #womenentrepreneurs #RCTs
Today we welcomed Department of Juvenile Justice, Secretary Dr. Hall and Chief Probation Officer Graham. He toured our JSD’s Juvenile Assessment Center #nationalmodel #evidencebasedprogramming #familyfocusedmodel #NoWrongDoor
Tulifanya utafiti kwa wanawake wenye kuanza balehe zaidi 403 miaka kati 15-24 wanasiachana wengi walisema Ukatili wa Kijinsia ni vitendo vya kupigwa,au kubakwa ~|Caroline Mtaita (Heidelberg,Institute of Global Health) #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
PICHANI: Dkt. Samuel Likindikoki akielezea namna matumizi ya utafiti katika kujenga sera na programu zenye msingi wa ushahidi kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto nchini Tanzania. #KomeshaUkatili | #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Ester Steven (MUHAS),Kuna vitendo vingi vya ukatili wa kijinsia ndani ya usafiri wa daladala #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Caroline Mtaita (Heidelberg,Institute of Global Health),Tulifanya utafiti kwa wanawake wenye kuanza balehe zaidi 403 miaka kati 15-24 wanasiachana wengi walisema Ukatili wa Kijinsia ni vitendo vya kupigwa,Kubakwa #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Tulifanya utafiti kwa wanawake wenye kuanza balehe zaidi 403 miaka kati 15-24 wanasiachana wengi walisema Ukatili wa Kijinsia ni vitendo vya kupigwa,Kubakwa Caroline Mtaita (Heidelberg,Institute of Global Health), #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Samwel Likindikoki,Lecture MUHAS Jinsi tunavyoweza kutumia tafiti ili kuweza kutengeneza sera kwenye Ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
"Kuongelea ukatili wa majumbani haswa wanaopitia wadada wa kazi,Pia tuzungumze Ukatili wa Kihisia majumbani." @neemalugangira #magiriKomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Anna Kulaya:Leo kwa mara kwanza tunataka kusikia tafiti mbalimbali zinazohusiana na maswala ya ukatili wa kijinsia,Tafiti hizi zitatusaidia katika msukumo mbalimbali wa mabadiliko wa sera. #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
"Kwenye hospitali nyingi wamejitahidi kukusanya data za watu wote wanaopitia Ukatili wa Kijinsia ili kupata taarifa zao. Hii ni hatua muhimu sana." - Dr.Katanta Lazarus #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
Mijadala mtawalia ndani ya Siku 16 za Uwanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia inaendelea. @WiLDAFTz wameandaa 'Kongamano la Kitaifa la Utafiti Kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.' Fuatilia matukio ya moja kwa moja kupitia #EvidenceBasedProgramming. #KomeshaUkatili
Tulifanya utafiti kwa wanawake wenye kuanza balehe zaidi 403 miaka kati 15-24 wanasiachana wengi walisema Ukatili wa Kijinsia ni vitendo vya kupigwa,au kubakwa ~|Caroline Mtaita (Heidelberg,Institute of Global Health) #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
From the offices to the coal face. #evidencebasedprogramming. Full stakeholder engagemenent. #NPCC @faosfsafrica @PalladiumImpact @LFSPZim
"Leo kwa mara kwanza tutazisikia tafiti mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ukatili wa kijinsia. Tafiti hizi zitatusaidia katika msukumo mbalimbali wa mabadiliko ya kisera." - Anna Kulaya - Mlkurugenzi, @WiLDAFTz #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
"Ni muhimu sana kuuongelea ukatili wa majumbani hasa ukatili wa kimwili na kihisia wanaopitia wasaidizi wa kazi za nyumbani." - Mhe. @neemalugangira, Mbunge Viti Maalum. #KomeshaUkatili. #DataDrivenAdvocacy. #EvidenceBasedProgramming
A shout out to all our rehabilitative services staff! You guys rock! #EvidenceBasedProgramming #SeamlessSupervision
Mijadala mtawalia ndani ya Siku 16 za Uwanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia inaendelea. Leo @WiLDAFTz wameandaa 'Kongamano la Kitaifa la Utafiti Kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.' Fuatilia matukio ya moja kwa moja kupitia #EvidenceBasedProgramming. #KomeshaUkatili
The STRONG-R is helping us create a better, more efficient case-plan for our offenders and streamlines our seamless supervision model. #evidencebasedprogramming #industrybestpractices
Mradi huu wa kuwafikia watu wenye Ulemavu unafanyika kwenye mikoa hii Geita,Dodoma,Morogoro,Pwani,Tanga,Kilimanjaro,Arusha,Daresalaam na Zanzibar~|@KatantaDr #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
"Ni lazima kutekeleza vipengele vyote saba kwa pamoja ndipo tutaweza kutokomeza ukatili dhidi ya watoto kufikia mwaka 2030." - Likindoki #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Kwenye hospital nyingi wamejitahidi kukusanya data za watu wote wanaopitia GBV ili kupata taarifa zao ~|@KatantaDr #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming @WiLDAFTz @UNFPATanzania
Ukatili majumbani pia tusisahau kuhusu matunzo kwa watoto haswa pale wazazi wanapotengana ~ | Mhe @neemalugangira Mbunge viti maalum Asasi za kiraia #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Samwel Likindikoki,Lecture MUHAS Jinsi tunavyoweza kutumia tafiti ili kuweza kutengeneza sera kwenye Ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming @LSFTanzania @UNFPATanzania @WiLDAFTz @UN_Women
Tanzania Violence Research Network (TVRN) ni jukwaa lililoanzishwa mwaka 2019 linalolenga kuwasaidia watafiti kufahamu vizuri kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto TVRN inaratibiwa na MUHAS, NIMR, LSHTM #KomeshaUkatili #EvidenceBasedProgramming #DataDrivenAdvocacy
Wanawake wakiwezeshwa kielimu, kiuchumi n.k, kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza Ukatili katika jamii. ~|Dr Samuel Likindikoki #EvidenceBasedProgramming #DataDrivenAdvocacy #KomeshaUkatili @UNFPATanzania @WiLDAFTz @UN_Women @UnitedNationsTZ
Huwezi kupambana na ukatili wa kijinsia bila kuaminia kwamba tatizo hilo lipo Prof.Declare Mushi & Dr.Joachim Kessy,KCMCo H #KomeshaUkatili #DataDrivenAdvocacy #EvidenceBasedProgramming
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. #FanCashDropPromotion 2,136 posts
- 2. Good Friday 62.6K posts
- 3. #FridayVibes 5,304 posts
- 4. #FursuitFriday 11.5K posts
- 5. Kenyon 1,176 posts
- 6. #FridayFeeling 2,809 posts
- 7. Happy Friyay 1,438 posts
- 8. #LastFourWatched N/A
- 9. Sedition 368K posts
- 10. LINGORM DIOR AT MACAU 644K posts
- 11. RED Friday 3,994 posts
- 12. Ja Rule 1,326 posts
- 13. Maggie 31.5K posts
- 14. Eric Swalwell 4,253 posts
- 15. woozi 44.3K posts
- 16. Mark Kelly 78K posts
- 17. Traitor 136K posts
- 18. ON SALE NOW 12K posts
- 19. Knox 6,473 posts
- 20. Allen 87.3K posts