DuruUpdates's profile picture. Welcome to Duru News Blog

#NewsUpdates

Mjukuu wa Ibada

@DuruUpdates

Welcome to Duru News Blog #NewsUpdates

Pesa ni Moja ila utafutaji ni tofauti, njia za kuu za kutafuta pesa ni mbili, AKILI na NGUVU. Chagua njia yako, usidharau njia ya Mwingine mana kila MTU hupata kwa kudra za Allah.


Mbunge wa Geita Vijijini, Msukuma anasema vurugu za Oct 29 ni matokea ya watu kupuuzwa na wachache kusikilizwa, akitolea Mfano wa sakata lake na muwekezaji.


Kuna jamaa yangu ananiambia nimsindikize apeleke Barua ya Uchumba (Posa). Hivi mule Kwenye bahasha lazima Barua uandike maneno kabisa au unatia hela TU? Oya @Jizzlewantandu we si mzoefu, tupe utaratibu


Mjukuu wa Ibada أعاد

EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI WA MFANO Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei, Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu wananchi, waombolezaji, mabibi na mabwana; Nimepokea taarifa za kifo cha…


Mjukuu wa Ibada أعاد

UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA @TunduALissu KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI. EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI WA MFANO Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei, Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

ChademaTZ2's tweet image. UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA @TunduALissu KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI.

EDWIN MTEI:
MJENZI WA NCHI, KIONGOZI WA MFANO

Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei,
Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

Senegaoaaaaaaaaaaaaaaaal


Fainali hii 😂😂🙌🙌🙌🙌


Kila la kheri Simba wa Milima ya Teranga #Senegal

DuruUpdates's tweet image. Kila la kheri Simba wa Milima ya Teranga #Senegal

Mjukuu wa Ibada أعاد

STATEMENT Last night was very difficult at our home in Magere. The military and police raided us. They switched off power and cut off some of our CCTV cameras. There were helicopters hovering over. I want to confirm that I managed to escape from them. Currently, I am not at…

HEBobiwine's tweet image. STATEMENT 

Last night was very difficult at our home in Magere. The military and police raided us. They switched off power and cut off some of our CCTV cameras. There were helicopters hovering over. 

I want to confirm that I managed to escape from them. Currently, I am not at…
HEBobiwine's tweet image. STATEMENT 

Last night was very difficult at our home in Magere. The military and police raided us. They switched off power and cut off some of our CCTV cameras. There were helicopters hovering over. 

I want to confirm that I managed to escape from them. Currently, I am not at…
HEBobiwine's tweet image. STATEMENT 

Last night was very difficult at our home in Magere. The military and police raided us. They switched off power and cut off some of our CCTV cameras. There were helicopters hovering over. 

I want to confirm that I managed to escape from them. Currently, I am not at…
HEBobiwine's tweet image. STATEMENT 

Last night was very difficult at our home in Magere. The military and police raided us. They switched off power and cut off some of our CCTV cameras. There were helicopters hovering over. 

I want to confirm that I managed to escape from them. Currently, I am not at…

Mjukuu wa Ibada أعاد

Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.

mangekimambi's tweet image. Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri.  Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.

Mjukuu wa Ibada أعاد

Yeye sio sababu ya Umaskini katika Taifa letu. Yeye sio sababu ya rushwa katika Taasisi mbalimbali. Yeye sio sababu ya deni la Taifa kuongezeka. Yeye sio sababu ya upotevu wa mapato Serikalini. Yeye sio sababu ya kukwama miradi ya maendeleo. Kwanini yupo Mahabusu???

ReganTesla_'s tweet image. Yeye sio sababu ya Umaskini katika Taifa letu.

Yeye sio sababu ya rushwa katika Taasisi mbalimbali.

Yeye sio sababu ya deni la Taifa kuongezeka.

Yeye sio sababu ya upotevu wa mapato Serikalini.

Yeye sio sababu ya kukwama miradi ya maendeleo.

Kwanini yupo Mahabusu???

Mjukuu wa Ibada أعاد

Uganda is in the dark with the internet shut down. Several incidents of ballot stuffing have been recorded. The regime military and police is directly involved in repressing our agents at polling stations. On top of abductions, the regime forces are targeting our leaders across…


LISSU ukimwambia legeza msimamo 😂😂🙌🙌

DuruUpdates's tweet image. LISSU ukimwambia legeza msimamo 😂😂🙌🙌

Daaah Naikosa #ElClasico hivihivi mana nilijua Azam watairusha kumbe holaa,, halafu Startimes wanaruka nayo na kifurushi kishakata.


Kama #Egypt akipenya nusu fainali, basi #Senegal atacheza fainali #AFCON2025


Mjukuu wa Ibada أعاد

intelligent people always avoid unnecessary arguments and confrontations intelligent people will always avoid to make others look like fools, unless the fools make it necessary


Wakamaria #Paka amemaliza kazi mshindwe nyie TU

DuruUpdates's tweet image. Wakamaria #Paka amemaliza kazi mshindwe nyie TU
DuruUpdates's tweet image. Wakamaria #Paka amemaliza kazi mshindwe nyie TU

#copied Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. "Ni Marufuku kuandika taarifa yoyote ya serikali kwenye mitandao wowote wakijamii au kuongea redioni bila leseni, ukifanya ivyo unakuwa umefanya kosa la jinai" ~Paul Makonda.

DuruUpdates's tweet image. #copied

Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya.

"Ni Marufuku kuandika taarifa yoyote ya serikali kwenye mitandao wowote wakijamii au kuongea redioni bila leseni, ukifanya ivyo unakuwa umefanya kosa la jinai"

~Paul Makonda.

Mji una vumbi balaa ila mzunguko wa pesa sio mbaya...!!


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.