Left Writer✍🏽
@LeftWriter_
BHIKOLA'BHAGABO. Journalist | Genius in Words, Master of Stories I Thinker | Creator | Builder of something valuable. #Tuishi✊🏾
You might like
Utawaambia nini vijana wa 2000?😁 Boda ina logo ya 45 au 32. Playlist ya Singeli. Jeans/pensi pana. T-shirt kubwa lina mapicha picha, sendo yenye sole nene, dreadlocks au kokoto la kwenda. Mguuni kishandu. Mfukoni wana shada na lighter na afutatu za msosi. #Tuishi✊🏾
Kitabu cha Sayansi darasa la nne na la tano vinafundisha vyema kuhusu hiyo mnayoita 'DIET' hayo mengine ya 'stop this, eat that.. ' ni ujuaji na utapeli tu. Mtakuja muugue Madonda ya tumbo. Ohooo! #Tuishi✊🏾
Sio kwa ubaya lakini madalali wamechangia kupanda kwa kodi za nyumba.
Ibrahim Hamad Bacca should be reminded that football is a fair play game. It is not jihad, nor war, like the field he is trained in. #Tuishi✊🏾
For us who use daladala, bodaboda & bajaji from Tegeta to Posta, God must bless us with a car this year. Vile tunapigwa na vumbi, it looks like we’re acting in a war movie set in Afghanistan. 😂 #Tuishi
Hata mimi hizi zimenichosha. Madogo sijui mwalimu wao ni mmoja. Kuanzia IG hadi Tiktok Content ni hii tuu. Tofauti ni utajiri, mazingira ya nyumba, jiko, vyombo, kitanda, ila misele ni ile ile.
Real Madrid imepoteza kumfuta kazi Xabi Alonso na Alonso amefaidika kufukuzwa Real Madrid. Haya mambo mjinga hawezi elewa #Tuishi✊🏾
Mnaripoti na kuchambua vyema mambo ya nchi nyingine kuliko yale ya nchini kwenu. Shame on you!
AFCON 2025 Morocco is setting a very high standard. From planning and hospitality to transport and logistics. For Tanzania, Kenya, and Uganda to reach this level in 2027, serious extra work and proper preparation are needed. Otherwise, it will be a different story. #Tuishi✊🏾
Kwa wale wanaotaka kujifunza kichina anzeni kwa kusoma sentensi hii ya kiingereza. "MY SHOE SHALL SOON SHINE" #Tuishi✊🏾
Ukiweza kuachana na suruali za vitambaa, shati, tai, laptop, iPhone na maeneo masafi masafi utapata pesa nyingi kuliko unayopata sasa kijana. *#Tuishi✊🏾
Nimepiga road trip kadhaa kuanzia December 2025 hadi now. Ninachoweza kuwashauri wanazi wenzangu wa road trip! Madereva mabus wanatuonea sana. Usipokuwa nao makini wanaweza kukusababishia ajari, hususani namna wanavyo overtake na kuchomeka!!!. #Tuishi✊🏾
Ukiwa unaangalia hii mechi ya Cameroon na Morocco utagundua Tanzania tuliubonda mwingi mechi iliyopita.
This match was ours. But once you accept that football can bounce any way, today Liverpool got the lucky bounce. Still, nothing will stop Arsenal from winning the league this season. #COYG #Tuishi✊🏾
Miaka 10 ndani ya huu mtandao na hamna kitu mbaya nimeona. #Tuishi✊🏾
Malengo ya 2026 yameanza kuyeyuka moja baada ya lingine
United States Trends
- 1. #WWERaw N/A
- 2. Arizona N/A
- 3. Tony Padilla N/A
- 4. Bovino N/A
- 5. Zverev N/A
- 6. Finn N/A
- 7. Maple Grove N/A
- 8. Brayden Burries N/A
- 9. El Centro N/A
- 10. Jrue N/A
- 11. #TheRookie N/A
- 12. Learner Tien N/A
- 13. Lee Majors N/A
- 14. Rob Wright N/A
- 15. Homan N/A
- 16. Punk N/A
- 17. Jaxson Hayes N/A
- 18. Highguard N/A
- 19. Wrigley N/A
- 20. Jaden Bradley N/A
You might like
-
Matumla Jr
@Commonboe -
Mjukuu wa Ibada
@DuruUpdates -
Rama
@movingeasy_ -
Tecra Mwaijibe
@TeeMwaijibe -
GustavoO!
@FMagungu -
Kiumbe Hai
@HaiKiumbe -
𝗡 𝗘 𝗚 𝗘 𝗟 𝗢🦁
@rivaldomhagama -
Ormokeseni
@Mollel_mike -
prosperity official
@prosperityoffi2 -
InnerWorkings
@pyrexprospects -
9baraka
@BarakaNahshon -
Papi Nyegere (KURJUAN FORMULA)🧔🏿♂️
@hiboshibo
Something went wrong.
Something went wrong.