Map_Foundation's profile picture. |Baba Wa Imani || Nabii Wa Mataifa || 2Corinthians 12:1-12 || Gospel For All Nations|| Electrical Technician ||Young Africans SC||

Map In Dar

@Map_Foundation

|Baba Wa Imani || Nabii Wa Mataifa || 2Corinthians 12:1-12 || Gospel For All Nations|| Electrical Technician ||Young Africans SC||

You might like

Mungu, Tunajua yakuwa wewe ni Mungu, ufalme ni wako na nguvu na utukufu hata Milele..... Tunaombea Taifa letu, Amin.


Mwamba @444holywitch kuna msg nimekutumia inbox check


Map In Dar reposted

Eeh Mwenyezi Mungu, nisaidie kushinda yale yanayoniweka mbali nawe. Ninaogopa, lakini naamini Wewe ni pamoja nami. Nijaze tena kwa neema yako. Amina 🙏🏼.


Map In Dar reposted

Umri uliokuwa nao stress zako zinatakiwa ziwe kuhusu Kazi, Familia na Pesa sio kwa sababu mtu fulani haongei na wewe au anakuchukia


Map In Dar reposted

Yatendeni mambo yote pasipo manung’uniko wala mashindano, mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu, Flp 2:14-15 SUV


Map In Dar reposted

Kuokoka si kwamba unajiunga dhehebu au dini mpya hapana, bali una mruhusu Yesu kuwa kiongozi wa maisha yako.


Map In Dar reposted

Zaburi 123:3-4 Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau. Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi.


Map In Dar reposted

Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake. Yohana 1:12 🙏🏽


Map In Dar reposted

Mungu akupe neema ya kumtafuta, Mungu akupe moyo wa uvumilivu, Mungu akupe uweza wa kumjua yeye maana yeye ni Mungu hapana mwingine zaidi yake


Map In Dar reposted

Kwanini kuwa mtu wa toba kwaini kuwa mtu kusamehe Kutubu ni kuwa sawa sawa na neno la Mungu, Mungu akisema samehe yaani ukitubu maana yake umeomba Toba inafanya mwanadamu kuwa pamoja na Mungu. Isaya 57:15


Map In Dar reposted

Waefeso 5:3 Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;


Map In Dar reposted

Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele. Zaburi 23:6 🙏🏽


Map In Dar reposted

Wafilipi 4:6 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.


Map In Dar reposted

Wafilipi 2:3-5 Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.


Map In Dar reposted

Mithali 16:1-3 [1]Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. [2]Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu. [3]Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.


Map In Dar reposted

*Mathayo 21:21-22* Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia Mkiwa na imani, msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, Ng'oka, ukatupwe baharini, litatendeka. Na yo yote mtakayoyaomba katika sala mkiamini, mtapokea.


Map In Dar reposted

Tembeeni kwa kumfuata Bwana, Mungu wenu; mcheni na kushika maagizo yake na kuisikia sauti yake, nanyi mtumikieni na kushikamana naye. - Kumbukumbu la Torati 13:4


Map In Dar reposted

Huwezi kuwa na neema ya Mungu usipigwe vita Tafuta akina Elizabeth wako ili kukutia moyo Kwepa vijiwe vinavyosusha hadhi ya Bwana Kwepa vijiwe vinavyo pinga neno la Bwana Kwepa Bible study inayokwambia miujiza niya siku nyingi


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.