Mr.Jalole
@MrJalole
I have a dream n I believe will get more money but I don't know when!
Talvez você curta
Sahihi👉🙏
Leo ndio nimefahamu kwamba, Makundi mengi katika nchi za Afrika yanayoitwa "waasi" ndio wazalendo, Lakini waliitwa majina hayo baada ya kudai haki na usawa kwenye nchi zao.
Hawa ndio wale raia wa kigeni ambao walihamasisha maandamano. Ukute Tanzania iko nje ya nchi.
NRNE imebadilisha vingi sana, muda bado ni atua ya awali kwa upeo wako mdogo utakuwa huoni, ntakurudia kukuonesha tena kwa kushika we si huoni #NewTanganyika is coming...
NRNE imebadilisha nini?! Acheni uduanzi tunahitaji mikakati ya pamoja. Tunahitaji SAUTI MOJA.
Yamkini wanatuona wananchi ni wajinga kiasi wanachojua wao lakn kusema wale ndg zetu sio watanzania, ilibidi waje na majibu walipitia wapi kuja nchini?, na kama waliweza kupita wanajeshi wetu wa mipakani na Uhamiaji waachie kazi maana wameshindwa!😭😭
I Repeat, he was RIGHT📌 DISBAND SADC DISBAND ECOWAS DISBAND AU Majority of our Problems will be Solved
Fake friends are no different than shadows, they stick around during your brightest moments, but disappear during your darkest hours.
Mwanajeshi wa Marekani ambaye ni Mtanzania aongelea hali ya Tanzania, amesema haya mambo yamemuathiri sana kiakili kuona nini kinachofanyika, ameongea mpaka na viongozi wake kuhusu kinachoendelea Tanzania. #MO29
Huyu mwehu si kazima tusikoment mwambie aache ujinga wake!!
Ukitenda haki Amani huja pasipo kutumia nguvu
AMANI NI TUNDA LA HAKI,Yakobo 3:18. Kwa kuzingatia msitari huo AMANI NI ZAO LA HAKI.Haki huzalisha amani na sio vinginevyo. Katika lugha ya Uchumi HAKI NI INPUT, AMANI NI OUTPUT. Kwa lugha nyingine,pamba huzalisha nguo,nguo haizalishi pamba. Kabeke aelimishwe kupitia 0766636315
Hii ni trick inayowezatumiwa na wadhalimu kupooza haki ya waandamanaji na kupotosha maana sahihi!
Hatoshi, sitiki!!
Bado siku 33 Chagua CCM ✅️ Chagua Dkt Samia Suluhu Hassan ✅️ Oktoba tunatiki ✅️ #kazinautu #tunasongambele
Dalili mbaya sana!!
Hili ni kanisa GANI madhabahuni kumejaa ishara za UPINDE kila kona?
Moja sababu ya kuachana na dini hizi pamoja na uhuni kama huu, yes ni uhuni...
Sahihi!!
"Mahakama inaendesha kesi kwa njia ya mtandao, na inapokea ushahidi kwa njia ya mtandao, na hata majuzi tumeshuhudia hivyo kwenye kesi ya Lissu. Sasa polisi wanashindwa nini kunihoji kwa njia ya mtandao? Kusema kwamba hawawezi kuanza uchunguzi wa tuhuma nilizotoa mpaka nije ni…
Hapa kwanza naanza na adimini, umetukosea raia wema na wapenda amani na nchi, ktk option hakuna option sahihi, Chama chenye vigezo ni CHADEMA pekee, ao ikiwa wameipiga pini huo hautokuwa uchaguzi labda teuzi!, naam teuzi!
Ni kigezo gani kitakachoamua kura yako Oktoba 29?
Dah 😭😭😭 Mungu akupe pawa ya kutosha kuweza kuikabili hali hii ngumu unayopitia! Kwa dhati ya moyo nikupe pole sana
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisutu Dar es Salaam, Sophia Makange akisaidiwa kuingia kwenye Kanisa la KKKT Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwenye ibada ya kuaga miili ya wapendwa wake watano waliopoteza maisha katika ajali ya gari. Katika ajali hiyo Sophia alimpoteza…
Yaan huyu Dada anaakili kumzidi Mondi...
United States Tendências
- 1. Cloudflare 200K posts
- 2. #AcousticPianoCollection N/A
- 3. Gemini 3 19.5K posts
- 4. Piggy 47.8K posts
- 5. Olivia Dean 3,944 posts
- 6. Good Tuesday 34.1K posts
- 7. Taco Tuesday 13.9K posts
- 8. #tuesdayvibe 2,925 posts
- 9. #ONEPIECE1166 3,879 posts
- 10. Gary Sinise 5,621 posts
- 11. Anthropic 7,935 posts
- 12. Sam Leavitt N/A
- 13. Saudi 109K posts
- 14. jeonghan 90.9K posts
- 15. Passan N/A
- 16. Brian Walshe N/A
- 17. Siri 14.5K posts
- 18. seungkwan 24.7K posts
- 19. #TuesdayFeeling 1,055 posts
- 20. Azure 13.3K posts
Talvez você curta
-
AJ
@Ajmarley26 -
LUJAH BE THY NAME 👐
@herilluyah -
Deiwaka
@IssaYMaulidi -
UrassaEF(Mwl)
@UrassaEF -
LYATAJA
@MyVi3wz -
Nzokanitu
@EdwardMkumbata -
Julius Francis
@Julius_katinda -
BARICK93
@barickmsigwa93 -
Chicko
@Chicko120 -
Frank Siliah
@FSiliah -
Special Agent⚓
@TGlupondo -
Evance Mariki
@VanRicky96 -
Hakizimana🇷🇼
@Nzenga1989 -
thabitimketo🔴⚪
@thabitmketo -
13😎
@captain5714
Something went wrong.
Something went wrong.