你可能會喜歡
Hii ni trick inayowezatumiwa na wadhalimu kupooza haki ya waandamanaji na kupotosha maana sahihi!
Hatoshi, sitiki!!
Bado siku 33 Chagua CCM ✅️ Chagua Dkt Samia Suluhu Hassan ✅️ Oktoba tunatiki ✅️ #kazinautu #tunasongambele

Dalili mbaya sana!!
Hili ni kanisa GANI madhabahuni kumejaa ishara za UPINDE kila kona?

Moja sababu ya kuachana na dini hizi pamoja na uhuni kama huu, yes ni uhuni...
Sahihi!!
"Mahakama inaendesha kesi kwa njia ya mtandao, na inapokea ushahidi kwa njia ya mtandao, na hata majuzi tumeshuhudia hivyo kwenye kesi ya Lissu. Sasa polisi wanashindwa nini kunihoji kwa njia ya mtandao? Kusema kwamba hawawezi kuanza uchunguzi wa tuhuma nilizotoa mpaka nije ni…

Hapa kwanza naanza na adimini, umetukosea raia wema na wapenda amani na nchi, ktk option hakuna option sahihi, Chama chenye vigezo ni CHADEMA pekee, ao ikiwa wameipiga pini huo hautokuwa uchaguzi labda teuzi!, naam teuzi!
Dah 😭😭😭 Mungu akupe pawa ya kutosha kuweza kuikabili hali hii ngumu unayopitia! Kwa dhati ya moyo nikupe pole sana
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisutu Dar es Salaam, Sophia Makange akisaidiwa kuingia kwenye Kanisa la KKKT Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwenye ibada ya kuaga miili ya wapendwa wake watano waliopoteza maisha katika ajali ya gari. Katika ajali hiyo Sophia alimpoteza…
Yaan huyu Dada anaakili kumzidi Mondi...
#TheSoundOfRealMan 🤝🤝💪💪👍
Vijana wa Tanzania msikubali watu wanaiba future yenu. Hawa hawaibi mali tu, wanaiba future ukiwasikiliza hawana mpango wowote wa kuwaondoa kwenye umasikini. Hawajui kwanini wanataka uongozi a Nchi. Wanataka uongozi ili waibe, hawana dira wala mipango. #NoReformsNoElection
Muliro anasahau kwamba kulikua na camera na matukio yote yameokana kwenye Camera!! Watu wa Chadema hawajawahi kufanya fujo na hawako mahakani kufanya fujo. Uongo Kama huu kwenye mambo yaliyoonekana itakuaje kwenye mambo yasiyoonekana. Nina uhakika siko sio nyingi watu watajibu…
Hivi sisiyem mnajua kuwa mnatukosea, mna miaka mingapi madarakani hamjakamilisha, na si kwamba hela hamna ni wizi tu🚮🚮🚮
"Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
![swahilitimes's tweet image. "Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini](https://pbs.twimg.com/media/G0o8lL3XQAM39bD.jpg)
Dah! Babu wacha tukushughulikie kisawa sawa, usiseme hatuna adabu ikiwa kiti ulichokalia hakikustahi
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa dhamira kuu ya chama hicho ni kubadili maisha ya wananchi kwa vitendo, ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya usafiri ili kurahisisha shughuli za kiuchumi. Amesema hayo leo, Septemba 12,…
Ni mizukaaa....!! 🔥🔥🔥🔥
Imewachukua vyombo vya dola vya USA siku mbili kumkamata mtu aliemshambulia Charlie Kirk kwa risasi. Kwenye Nchi kubwa na yenye watu milioni 340. Tuna Nchi hapa mbunge alipigwa risasi mwaka 2017. Watu wanatekwa usiku na mchana. Mzee Kibao amechukuliwa kwenye basi mchana,…
Kesi ya Lissu mlipeleleza? Haya.

Yes! Then I like him to lead whole Afirca if can unit
Exactly!
Kazi ya taa za barabarani si ni kazi ya Diwani!!!! Ccm ni aibu kwa Nchi hii. Kiongozi anaetaka kuwa Rais anatakiwa ajadili uchumi wa Nchi, teknolojia. Tanzania miaka 100 ijayo, Madini yetu, kilimo kikubwa NK. Taa za barabarani !!!!
Kama sisiyem hii ndio sampuli ya viongozi mliona nao basi tusitegemee Tanzania endelevu!, hiumbe vya aina hii ni hatari kuliko waya wa Umeme uliwazi😪😪
VIDEO: “Kama una mpango wa kumnyima kura Dkt. Samia basi usiende hospitali, usitumie barabara zetu, usipande SGR na uwaambie TANESCO waje wanyofoe umeme maana hatuwezi kuishi kwa matunda ambayo Dkt. Samia ameyaleta halafu tukamsaliti kwenye kura”, - Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya…
United States 趨勢
- 1. D’Angelo 260K posts
- 2. Brown Sugar 19.6K posts
- 3. #PortfolioDay 14.1K posts
- 4. Pentagon 103K posts
- 5. Young Republicans 10.3K posts
- 6. Drew Struzan 25.1K posts
- 7. Black Messiah 9,944 posts
- 8. Politico 153K posts
- 9. Scream 5 N/A
- 10. Voodoo 20K posts
- 11. Jeff Albert N/A
- 12. How Does It Feel 8,699 posts
- 13. Baldwin 19.8K posts
- 14. Venables 3,314 posts
- 15. Merino 10.7K posts
- 16. VPNs 1,332 posts
- 17. Powell 42.7K posts
- 18. Soybeans 4,062 posts
- 19. First Presidency 2,063 posts
- 20. Happy Birthday Charlie 140K posts
你可能會喜歡
-
AJ
@AidanJosiah26 -
LUJAH BE THY NAME 👐
@herilluyah -
Deiwaka
@IssaYMaulidi -
Jmilimba JK
@jumanne_mk -
Emanuel Urassa (Mwl)
@UrassaEF -
LYATAJA
@MyVi3wz -
Nzokanitu
@EdwardMkumbata -
Frank Siliah
@FSiliah -
MTUMISHI
@murphychuga -
Special Agent⚓
@TGlupondo -
Hakizimana🇷🇼
@Nzenga1989 -
thabitimketo🔴⚪
@thabitmketo -
13😎
@captain5714 -
Eli Kagusa
@elikagusa
Something went wrong.
Something went wrong.