你可能会喜欢
😂😂😂😂 Sawa endeleeni kutudhalilisha kwenye mitandao ya kijamii
God is Good, Finally we are Open. Ahsanteni sana ndugu zangu kwa ushirikiano wenu kipindi chote tangu ninaanza mpaka hapa nilipo fikia, mnanafasi kubwa sana kwenye maendeleo yangu. Mbarikiwe Sana. ❤️
Ccm wanawajua wa Tz vizur Sana,Na Mimi naungana nao wahakikishe wa Tz wanakuwa masikini Sana,Itawasaidia
Wakimaliza kutia sign mkataba wa DP world, wanamtangaza Bashite, wanatuacha tuhangaike na huo mfupa kwa siku kadhaa. MaCCM majanja.
Vijana wako wapi jamani, kama tu nguvu za kiume Hawana wataweza kupambana na Taifa teule La Tanzania 😂😂😂😂
Wakimaliza kutia sign mkataba wa DP world, wanamtangaza Bashite, wanatuacha tuhangaike na huo mfupa kwa siku kadhaa. MaCCM majanja.
Mbona vijana wako sioni kabisa hili swala Kubwa maendeleo
UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM - IKULU, CHAMWINO
Sana wakati wameanza kupigana hata hivyo vitu havipo
Wamuajiri tu haina namna
#HABARI David Nyawade kutoka nchini Kenya ameingia matatani baada ya kugundulika kuwa ameifanya kazi ya udaktari kwa zaidi ya miaka 16 huku akiwa hana taaluma ya fani hiyo nyeti ulimwenguni Daktari huyo anayetajwa kuwa feki katika wasifu wake inaonesha kuwa alisoma Chuo Kikuu…
Kwani hizo fidia tunazo Lipa tumeanza ni Leo tunalipa mara kibao imekuwa desturi viongozi wa juu hawashtuki kabisa, lakini mm nini wasi wasi na viongozi wetu isije kuwa wanashinikiza serekali ilipe upande wa pili wanapewa mgao kuwa makini na viongozi wetu very scam
Acha uongo Gari ya It hairusiwi kuwa inje ya barabala mita 30
Kwako @bajabiri
Inaripotiwa kuwa ng'ombe zaidi ya 600 za rais SSH zimeibiwa katika shamba la kunenepeshea Wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Rais Samia alinunua ng'ombe hao na kuwakabidhi vijana 60 wanaochukua mafunzo ya mifugo ili kuwanenepesha na kuwauza na kujikwamua kiuchumi. Una Neno?
United States 趋势
- 1. Brunson 6,911 posts
- 2. Knicks 12.7K posts
- 3. Celtics 13.6K posts
- 4. Jaylen Brown 6,465 posts
- 5. Duke 28.3K posts
- 6. Notre Dame 35.4K posts
- 7. Jordan Walsh N/A
- 8. #WWENXT 10.9K posts
- 9. Miami 95.1K posts
- 10. Bama 23.1K posts
- 11. Van Epps 126K posts
- 12. Tennessee 214K posts
- 13. Mikal Bridges 1,514 posts
- 14. #kubball 1,049 posts
- 15. Brandon Garrison N/A
- 16. Nashville 33K posts
- 17. Behn 78.1K posts
- 18. Mullins 2,058 posts
- 19. Isaiah Evans 1,393 posts
- 20. #RHOSLC 2,672 posts
Something went wrong.
Something went wrong.