Young Africans fan page๐๐๐๐
@daima_mbele_
Dar Young Africans Page .๐๐ Sharing the latest news, photos, and videos of Young Africans SC . Join us to celebrate our team talent and achievements!
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ via Yanga SC Napenda kutoa shukurani kwa viongozi na Benchi la ufundi na wachezaji wote.tulikuwa na wakati muzuri sana,bira kusahau mashabiki wa ๐๐๐ง๐ ๐๐๐ kwa upendo wenu nilijiona nipo nyumbani wakati wote.
Match day kesho, Aziz vs Hamisa๐
Mechi ijayo ya wananchi, ni kesho saa 10 kamili jioni.
"Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia." "Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele." Aziz Ki.
Vinara wa ufungaji ni vinara wa msimamo pia.
Mpira umekwisha, mwenye nyumba kapata kodi yake ya miezi 6 huku akidai ya mwezi mmoja.
Wananchi tuko kiwanjani tena leo kusaka alama 3 muhimu. Kila la kheri timu yetu.
Jeshi letu ni jeshi la Wananchi wa Tanzania๐๐
Happy birthday Suda Yanga๐ ๐ฅณ
Mechi inayofuata ni ya Mwenye nyumba dhidi ya mpangaji wake๐
Maadimini wa watani kwenye moja na mbili๐ Nani kucheka zaidi mwishoni?
Licha ya kutopata matokeo chanya katika sare ya jana dhidi ya JKT Tanzania. Bado straika wa Klabu ya Yanga Clement Mzize ni kinara wa mabao - NBC PL ๐น๐ฟ 2024-25 hadi sasa 1. Clement Mzize (Yanga): 9๏ธโฃ 2. Jean Ahoua (Simba): 8๏ธโฃ 3. Lionel Ateba (Simba): 8๏ธโฃ 4. Elvis Rupia Singida 8๏ธโฃ
Mchora katuni wa DW Saidi Michael ameilezea Klabu ya Yanga kwa namna ya tofauti katika kuadhimisha miaka 90 tokea kuanzishwa kwake. Kwako wewe mwananchi, miaka 90 ya klabu yako inasadifu nini?
MIAKA 90 YA YANGA SC: โNembo ya Young Africans imepitia mabadiliko mara nneโ maneno Mzee Mudhihir Mudhihir akitoa historian ya safari ya Yanga ambayo leo Februari 11, inatimiza miaka 90 tangu kuanzishwa kwake. Via @azamsportshd #YangaSC #YangaMiaka90
Vipi wananchi, wazunguโฝ๏ธโฝ๏ธ wamo kwa kocha wetu mpya??
ILIANZISHWA Kama njia ya kupigania uhuru wa Tanganyika baada ya Wakoloni kugomea mikusanyiko nchini isipokuwa soka tu.Ikapitia vipindi vigumu na kutokea mgawanyiko kwa nyakati tofauti tofauti ukiwemo ule uliosababisha kutokea kwa Yanga asili na Yanga Kampuni, sasa ina miaka 90.
Maxi Nzengeli ataongeza mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Ndani ya Yanga SC.
Mpira umekwisha, lakini mbio za ubingwa badoo sana.
United States Trends
- 1. $BNKK N/A
- 2. Good Monday 39.4K posts
- 3. #MondayMotivation 31.8K posts
- 4. Victory Monday 1,299 posts
- 5. #ChaoVendeHumo N/A
- 6. #MondayVibes 1,921 posts
- 7. #DestinyClinicxWilliamEst 294K posts
- 8. #MondayMood 1,114 posts
- 9. WILLIAMEST DESTINY 291K posts
- 10. Eagles 184K posts
- 11. Guma 10.8K posts
- 12. Goff 19.9K posts
- 13. Sheikh Hasina 22.9K posts
- 14. House Republicans 32.9K posts
- 15. Lions 84.2K posts
- 16. Dan Campbell 9,762 posts
- 17. Bangladesh 77.9K posts
- 18. Taxi 17.8K posts
- 19. Alignerz 223K posts
- 20. GM CT 23.6K posts
Something went wrong.
Something went wrong.