Young Africans fan page💛💛💚💚
@daima_mbele_
Dar Young Africans Page .💚💛 Sharing the latest news, photos, and videos of Young Africans SC . Join us to celebrate our team talent and achievements!
𝐀𝐃𝐍𝐀𝐍 𝐁𝐄𝐇𝐋𝐔𝐋𝐎𝐕𝐈𝐂 via Yanga SC Napenda kutoa shukurani kwa viongozi na Benchi la ufundi na wachezaji wote.tulikuwa na wakati muzuri sana,bira kusahau mashabiki wa 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚𝐒𝐜 kwa upendo wenu nilijiona nipo nyumbani wakati wote.
Mechi ijayo ya wananchi, ni kesho saa 10 kamili jioni.
"Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia." "Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele." Aziz Ki.
Vinara wa ufungaji ni vinara wa msimamo pia.
Mpira umekwisha, mwenye nyumba kapata kodi yake ya miezi 6 huku akidai ya mwezi mmoja.
Wananchi tuko kiwanjani tena leo kusaka alama 3 muhimu. Kila la kheri timu yetu.
Jeshi letu ni jeshi la Wananchi wa Tanzania😂😂
Mechi inayofuata ni ya Mwenye nyumba dhidi ya mpangaji wake😁
Maadimini wa watani kwenye moja na mbili😃 Nani kucheka zaidi mwishoni?
Licha ya kutopata matokeo chanya katika sare ya jana dhidi ya JKT Tanzania. Bado straika wa Klabu ya Yanga Clement Mzize ni kinara wa mabao - NBC PL 🇹🇿 2024-25 hadi sasa 1. Clement Mzize (Yanga): 9️⃣ 2. Jean Ahoua (Simba): 8️⃣ 3. Lionel Ateba (Simba): 8️⃣ 4. Elvis Rupia Singida 8️⃣
Mchora katuni wa DW Saidi Michael ameilezea Klabu ya Yanga kwa namna ya tofauti katika kuadhimisha miaka 90 tokea kuanzishwa kwake. Kwako wewe mwananchi, miaka 90 ya klabu yako inasadifu nini?
MIAKA 90 YA YANGA SC: “Nembo ya Young Africans imepitia mabadiliko mara nne” maneno Mzee Mudhihir Mudhihir akitoa historian ya safari ya Yanga ambayo leo Februari 11, inatimiza miaka 90 tangu kuanzishwa kwake. Via @azamsportshd #YangaSC #YangaMiaka90
Vipi wananchi, wazungu⚽️⚽️ wamo kwa kocha wetu mpya??
ILIANZISHWA Kama njia ya kupigania uhuru wa Tanganyika baada ya Wakoloni kugomea mikusanyiko nchini isipokuwa soka tu.Ikapitia vipindi vigumu na kutokea mgawanyiko kwa nyakati tofauti tofauti ukiwemo ule uliosababisha kutokea kwa Yanga asili na Yanga Kampuni, sasa ina miaka 90.
Maxi Nzengeli ataongeza mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Ndani ya Yanga SC.
Mpira umekwisha, lakini mbio za ubingwa badoo sana.
United States Tendencias
- 1. $BNKK N/A
- 2. #MondayMotivation 36.5K posts
- 3. Victory Monday 2,858 posts
- 4. Good Monday 49.9K posts
- 5. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 6. #NXXTCall N/A
- 7. #ChaoVendeHumo 2,499 posts
- 8. #MondayVibes 2,589 posts
- 9. Anthony Joshua 4,784 posts
- 10. WILLIAMEST DESTINY 562K posts
- 11. Guma 21.6K posts
- 12. Peyz 8,575 posts
- 13. $NXXT 1,237 posts
- 14. Link and Zelda 1,901 posts
- 15. Sanders 60.7K posts
- 16. House Republicans 37.3K posts
- 17. New Week 215K posts
- 18. Project Prometheus N/A
- 19. Bangladesh 85K posts
- 20. Goff 21.3K posts
Something went wrong.
Something went wrong.