drchachu's profile picture. Mtaalam wa Saikolojia kwenye Masuala ya Familia,Malezi,Tabia Na Mahusiano Na Ndoa.

drchachusaikolojia

@drchachu

Mtaalam wa Saikolojia kwenye Masuala ya Familia,Malezi,Tabia Na Mahusiano Na Ndoa.

You might like
drchachusaikolojia reposted

Ili kukuza maongezi kuhusu msongo wa mawazo na inavyoweza pelekea mtu kutaka kutoa uhai wake mwenyewe, leo kwenye ukurasa wetu wa Instagram, @NadiaAhmedTZ atajibu moja kwa moja maswali yenu mtakayouliza kuanzia 1700-1730. Kama una swali lolote unaweza uliza sasa au ukatutumia DM


MUNGU MKUBWA. FAMILIA. @ Tabata, Dar Es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CFzYKwAHjRj/…


Mtoto anapozaliwa na kufikisha miaka 2 mpaka 4 huwa katika hatua ya pili ya ukuaji ambayo huitwa ANAL Stage ambapo msisitizo mkubwa huwekwa kwenye kumpatia mtoto mafunzo ya namna ya kujisaidia haja ndogo na… instagram.com/p/CE7Hsw5nyWC/…


Niliposhiriki mjadala wa Kugundua kipaji global radio. Nilianzisha kwa kuwaonesha hatua mbalimbali za ukuaji wa mtoto tangu kuzaliwa. Hatua ya kwanza inaitwa Oral Stage ambapo mtoto kwa asilimia kubwa hutegemea… instagram.com/p/CE64BJLntuh/…


MICRO Parenting ni aina ya malezi ambayo yana Usimamizi /uangalizi uliopitiliza kwa mtoto hivyo kunasababisha mtoto asiweze kukabiliana na changamoto zitakazomfanya achelewe au ashindwe kujua mwelekeo wake. instagram.com/p/CEujkYxHU1G/…


Niliposhiriki kwenye mjadala wa namna ya kugundua kipaji kwenye kipindi Cha #darasa hapo @255globalradio. Mjadala ulikuwa mzuri kwangu na wengine tuliohudhuria kipindi hiko. Msisitizo wangu kwa watu wote vipaji Ni… instagram.com/p/CEtf7OHHL8b/…


Nilikuwa nimeenda kwa mtumishi mmoja ambaye ni Nabii nikamueleza shida yangu ya kupata hela ya kwenda chuo,akaniahidi kunisaidia badae nikapata chuo kabisa tukaenda wote huko moshi,badae akaanz kunigeuka kabla ata… instagram.com/p/CEY6CDunQmH/…


Nina Boyfriend wangu Sasa hivi tuna Muda wa miezi 11 kasoro mwezi mmoja tutimize mwaka kwenye mahusiano yetu.Tulianza vizuri na akaniambia yupo single nami sikuwa na mtu kwa wakati huo,pia yeye ni mwanaume wangu wa… instagram.com/p/CEWYI3yHfqc/…


Habari Yako Dokta. Zumuni langu ningeomba unipe ushauri wako tafadhali mimi nimeanzisha mahusiano na mwanaume alie mbali sana na mimi yeye yupo Kenya mm nipo tz , lakin tunapenda sana kila moja anamuitaji mwenzie… instagram.com/p/CESEPkjnkhj/…


Muda mwingi ukikaa unawaza ni namna gani unaweza kuwa mwisho wako hapa duniani au mwisho wa mtu unayempenda kwa dhati aidha mtoto,mke,mume au hata rafiki. Hali hiyo imefikia hatua ya kukusumbua kiasi Cha kuharibu… instagram.com/p/CEMCiSnH6Rb/…


Mimi ni mwanamke wa miaka 25,nina mahusiano na mume wa mtu,tuna mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja Sasa.Uhusiano wetu una miaka mitano Sasa,amenijengea nyumba,ananitunza na naishi vizuri na mwanangu. Dini… instagram.com/p/CEGs7hVHUpp/…


Unaweza kumuona mwanaume au mwanamke yupo kwenye mahusiano lakini hawezi kufunga NDOA ama anapofunga ndipo wanapoachana. Mwenye tatizo hili haogopi kuwa na mahusiano bali anachoogopa ni kufunga NDOA.Kikubwa… instagram.com/p/CEEL_OinrnM/…


Kwenye mahusiano Kuna watu ambao hawawezi katu kuishi bila kuwa na Mahusiano wenyewe mahusiano haya yakiisha huanzisha mengine mpaka wetu wengine humshangaa. Kikubwa wanaamini kwamba mahusiano na mtu mwingine… instagram.com/p/CEEJzyRnEPz/…


PUNYETO|NDOA. @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CD7E3VNH31t/…


Masterbation|PUNYETO. @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CD6-A9MHx_9/…


Morning Sex husaidia kutengeneza kitu kinachoitwa "Morning Positive Effect" kwa mwanamke na mwanaume.


Kwa wanawake jasho la usiku na Genital Odor huondoa mzuka wa kufanya tendo la ndoa Asubuhi.


United States Trends

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.