emameshack61's profile picture. kila mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na kwa KUDRA yake.

Emanuel Tanzania.

@emameshack61

kila mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na kwa KUDRA yake.

Emanuel Tanzania. reposted

Kuna wakati Mungu anawaondoa watu katika maisha yako kwakua amesikia mazungumzo na nia zao ovu ambazo wewe hujasikia. Mungu anaona yale tusiyo yaona kwa macho yetu Usiumie mwache aende.


Emanuel Tanzania. reposted

🚨 Thomas Partey wanted by two clubs as Mikel Arteta plans huge Arsenal summer rebuild.[@johncrossmirror] 🗣️ Arsenal could lose both Thomas Partey and Granit Xhaka this summer, with Partey being linked with a move to a pair of clubs in the Italian top flight. 🗣️ It’s reported

afcsphere's tweet image. 🚨 Thomas Partey wanted by two clubs as Mikel Arteta plans huge Arsenal summer rebuild.[@johncrossmirror]

🗣️ Arsenal could lose both Thomas Partey and Granit Xhaka this summer, with Partey being linked with a move to a pair of clubs in the Italian top flight.

🗣️ It’s reported
afcsphere's tweet image. 🚨 Thomas Partey wanted by two clubs as Mikel Arteta plans huge Arsenal summer rebuild.[@johncrossmirror]

🗣️ Arsenal could lose both Thomas Partey and Granit Xhaka this summer, with Partey being linked with a move to a pair of clubs in the Italian top flight.

🗣️ It’s reported

5. Usiogope maana mimi ni pamoja nawe. Usifadhaike maana mimi ni Mungu wako. Nitakutia nguvu naam nitakusaidia. Isaya 41:10


Emanuel Tanzania. reposted

Before you die, make sure you live.


Kibubu hakijai. Ndio tunaishi tayari. Hakuna mapya. Kuna kuongezeka tu. Hivyo furahia kila siku aliyokupa Bwana "Mokia Ole Naputu"

emameshack61's tweet image. Kibubu hakijai. Ndio tunaishi tayari. Hakuna mapya. Kuna kuongezeka tu. Hivyo furahia kila siku aliyokupa Bwana "Mokia Ole Naputu"

Azam FC wako na discipline kubwa sana


Emanuel Tanzania. reposted

Sala ya kuomba kupata Mtoto Mwema. Ee Mungu uliyemwumba mwanadamu kwa sura na mfano wako, tunakuomba umba tena ndani yetu, sura na mfano wako, kwa kutujalia mtoto. Mtakatifu Rita alitamani sana watoto wake wawe waadilifu na watii, basi tunakuomba

radiomariatz's tweet image. Sala ya kuomba kupata Mtoto Mwema.
Ee Mungu uliyemwumba mwanadamu kwa sura na mfano wako, tunakuomba umba tena ndani yetu, sura na mfano wako, kwa kutujalia mtoto. Mtakatifu Rita alitamani sana watoto wake wawe waadilifu  na watii, basi tunakuomba

Emanuel Tanzania. reposted
radiomariatz's tweet image.

Emanuel Tanzania. reposted

Be private. Vibe alone. Grow in silence.


Emanuel Tanzania. reposted

"I don't regret my past. I just regret the time I've wasted with the wrong people."


Emanuel Tanzania. reposted

Unapowaona akina mama na biashara zao mabarabarani, nunua. Hawatafuti pesa kwa ajili ya maisha ya kifahari, hawatafuti pesa kwa ajili ya kununua make up na madera Wanatafuta pesa kwa ajili ya kulisha watoto wao.

fumbokhanJr's tweet image. Unapowaona akina mama na biashara zao mabarabarani, nunua. Hawatafuti pesa kwa ajili ya maisha ya kifahari, hawatafuti pesa kwa ajili ya kununua make up na madera Wanatafuta pesa kwa ajili ya kulisha watoto wao.

Emanuel Tanzania. reposted

Wise is the man who notices when it's finally time to get up and go.


Emanuel Tanzania. reposted

Sometimes you have to leave, not for ego, but for self-respect.


Emanuel Tanzania. reposted
radiomariatz's tweet image.

Emanuel Tanzania. reposted

The mountains make the rain that destroys them...


Emanuel Tanzania. reposted

Behind every successful entrepreneur is a list of books guiding them.


Emanuel Tanzania. reposted

Distance doesn't matter if two hearts are loyal to each other.


Emanuel Tanzania. reposted

Ndoto haiwi ukweli kupitia uchawi; inahitaji jasho, dhamira, na bidii. Amka ukapambanie ndoto zako.


Emanuel Tanzania. reposted

Ninakuombea, Jumanne yako ikawe ya kujibiwa Sala zako. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu

radiomariatz's tweet image. Ninakuombea,
Jumanne yako ikawe ya kujibiwa Sala zako.
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.