injilimtandaoni's profile picture. Lengo la huduma hii ni kuhubiri injili ya Yesu Kristo kwenye mitandao ya kijamii.

injilimtandaoni

@injilimtandaoni

Lengo la huduma hii ni kuhubiri injili ya Yesu Kristo kwenye mitandao ya kijamii.

Bwana Yesu asifiwe wapendwa, tunafurahi kuwajulisha kuwa tumefungua blog kwa ajili ya masomo ya biblia. Unaweza kupata mafundisho mengi na kwa urefu. Unaweza ukasoma chapisho letu kuhusu MCHAKATO WA KUOKOKA. Kiunganishi👇🏾👇🏾👇🏾 injilimtandaoni.blogspot.com/2025/03/mchaka…

injilimtandaoni's tweet image. Bwana Yesu asifiwe wapendwa, tunafurahi kuwajulisha kuwa tumefungua blog kwa ajili ya masomo ya biblia. Unaweza kupata mafundisho mengi na kwa urefu.
Unaweza ukasoma chapisho letu kuhusu MCHAKATO WA KUOKOKA.

Kiunganishi👇🏾👇🏾👇🏾
injilimtandaoni.blogspot.com/2025/03/mchaka…

Matendo 1:8 NEN Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia.”

injilimtandaoni's tweet image. Matendo 1:8 NEN
Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia.”

Isa 26:4 SUV Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.

injilimtandaoni's tweet image. Isa 26:4 SUV
Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.

Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu. Marko 11:24 SUV

injilimtandaoni's tweet image. Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
Marko 11:24 SUV

Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini. Zaburi 34:8 SUV

injilimtandaoni's tweet image. Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.
Zaburi 34:8 SUV

Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Mithali 4:23 NEN

injilimtandaoni's tweet image. Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Mithali 4:23 NEN

Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Wafilipi 4:6 NEN

injilimtandaoni's tweet image. Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Wafilipi 4:6 NEN

Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu. 2 Timotheo 2:19 SUV #biblestudy #VerseOfTheDay #injilimtandaoni #TANZANIA #Kenya #Uganda #swahili

injilimtandaoni's tweet image. Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
2 Timotheo 2:19 SUV
#biblestudy #VerseOfTheDay #injilimtandaoni #TANZANIA #Kenya #Uganda #swahili

Umngoje BWANA, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA. Zaburi 27:14 SUV

injilimtandaoni's tweet image. Umngoje BWANA, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.
Zaburi 27:14 SUV

Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake. Zaburi 24:1 SUV

injilimtandaoni's tweet image. Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Zaburi 24:1 SUV

Wana ni urithi utokao kwa Bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake. Zaburi 127:3 NEN

injilimtandaoni's tweet image. Wana ni urithi utokao kwa Bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake.
Zaburi 127:3 NEN

Mungu si mtu, hata aseme uongo, wala yeye si mwanadamu, hata ajute. Je, anasema, kisha asitende? Je, anaahidi, asitimize? Hesabu 23:19 NEN #injilimtandaoni

injilimtandaoni's tweet image. Mungu si mtu, hata aseme uongo, wala yeye si mwanadamu, hata ajute. Je, anasema, kisha asitende? Je, anaahidi, asitimize?
Hesabu 23:19 NEN
#injilimtandaoni

Ee BWANA, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako. Zaburi 109:26 SUV

injilimtandaoni's tweet image. Ee BWANA, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Zaburi 109:26 SUV

Nalimtafuta BWANA akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote. Zaburi 34:4 SUV

injilimtandaoni's tweet image. Nalimtafuta BWANA akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote.
Zaburi 34:4 SUV

𝐙𝐚𝐛𝐮𝐫𝐢 𝟏𝟎𝟓:𝟒 𝐒𝐔𝐕 Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. #injilimtandaoni

injilimtandaoni's tweet image. 𝐙𝐚𝐛𝐮𝐫𝐢 𝟏𝟎𝟓:𝟒 𝐒𝐔𝐕

Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote.

#injilimtandaoni

Tunajua kwamba wale waliofanyika watoto wa Mungu hawaendelei kutenda dhambi. Mwana wa Mungu anawahifadhi salama. Yule Mwovu hawezi kuwagusa. 1 Yohana 5:18 TKU

injilimtandaoni's tweet image. Tunajua kwamba wale waliofanyika watoto wa Mungu hawaendelei kutenda dhambi. Mwana wa Mungu anawahifadhi salama. Yule Mwovu hawezi kuwagusa.
1 Yohana 5:18 TKU

此帳戶目前尚未追蹤任何人
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.