injilimtandaoni
@injilimtandaoni
Lengo la huduma hii ni kuhubiri injili ya Yesu Kristo kwenye mitandao ya kijamii.
You might like
Bwana Yesu asifiwe wapendwa, tunafurahi kuwajulisha kuwa tumefungua blog kwa ajili ya masomo ya biblia. Unaweza kupata mafundisho mengi na kwa urefu. Unaweza ukasoma chapisho letu kuhusu MCHAKATO WA KUOKOKA. Kiunganishi👇🏾👇🏾👇🏾 injilimtandaoni.blogspot.com/2025/03/mchaka…
Matendo 1:8 NEN Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia.”
Isa 26:4 SUV Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu. Marko 11:24 SUV
Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini. Zaburi 34:8 SUV
Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Mithali 4:23 NEN
Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Wafilipi 4:6 NEN
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu. 2 Timotheo 2:19 SUV #biblestudy #VerseOfTheDay #injilimtandaoni #TANZANIA #Kenya #Uganda #swahili
Umngoje BWANA, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA. Zaburi 27:14 SUV
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake. Zaburi 24:1 SUV
Wana ni urithi utokao kwa Bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake. Zaburi 127:3 NEN
Mungu si mtu, hata aseme uongo, wala yeye si mwanadamu, hata ajute. Je, anasema, kisha asitende? Je, anaahidi, asitimize? Hesabu 23:19 NEN #injilimtandaoni
Ee BWANA, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako. Zaburi 109:26 SUV
Nalimtafuta BWANA akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote. Zaburi 34:4 SUV
𝐙𝐚𝐛𝐮𝐫𝐢 𝟏𝟎𝟓:𝟒 𝐒𝐔𝐕 Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. #injilimtandaoni
Tunajua kwamba wale waliofanyika watoto wa Mungu hawaendelei kutenda dhambi. Mwana wa Mungu anawahifadhi salama. Yule Mwovu hawezi kuwagusa. 1 Yohana 5:18 TKU
United States Trends
- 1. #WWERaw 155K posts
- 2. Raiders 77.4K posts
- 3. Cowboys 48.5K posts
- 4. Pickens 19.3K posts
- 5. Gunther 20.1K posts
- 6. Geno 15.2K posts
- 7. Jeanty 6,487 posts
- 8. Pete Carroll 2,912 posts
- 9. Chip Kelly 2,153 posts
- 10. Roman 71.1K posts
- 11. Dolph 39.9K posts
- 12. #RawOnNetflix 3,597 posts
- 13. AJ Lee 18.1K posts
- 14. Becky 57K posts
- 15. Maxxine 18.3K posts
- 16. Brock Lesnar 6,878 posts
- 17. #WickedForGood 7,686 posts
- 18. Mark Davis 1,300 posts
- 19. Quinnen Williams 5,112 posts
- 20. John Cena 60.5K posts
You might like
-
Mutua Israel
@lul_prof -
Focuz Samuel
@FocuzSamuel -
Nat
@mrcrentsil_ -
🌈糖糖好想吃糖(hrt中断ing)
@cherry6818 -
Wanyama Franklin🇺🇬🇺🇬🇺🇬💥
@kentfranklin100 -
❤️🌹✝️Sudhir Minj✝️🌹❤️
@SudhirMinj18 -
24
@_boatenq -
Timothy O'Connell
@myITHCYrash -
I.B.U Der Einzige🇳🇵
@MRFahrenheit123 -
e-lysha
@elie_mug -
SWAYZEE
@Swayzee100 -
NaeBePeu Kshop PH 내 베프 K샵🇵🇭
@naebepeukshop -
Daniel
@ReceptiveDany -
Mark Truitt (Extremist) (Pew/Pew/Pew)
@panthersquad -
Travis Alexander
@TravisA410
Something went wrong.
Something went wrong.