kipinde
@mankipinde
fighter 💪
คุณอาจชื่นชอบ
7 Best Color Combos For Men: 1.
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 13.5M - Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 21M
Inakuja siku, Wasiotujua, majibu ya Dua zetu wataita BAHATI. Wasiotufahamu, matokeo ya jasho letu, watasema TUNABEBWA. Wasiotupenda, riziki itakapokuwa upande wetu baada ya msoto, watahusihanisha na USHIRIKINA. Wasichokijua ni Mungu ndie aliyeshika kalamu ya ndoto zetu.🙏
Nivea ni deodorant ambazo watu wengi wametumia. Ipi kati ya hizi umewahi kutumia.??
Semaji Ahmed Ally kuhusu kiwango cha Joshua Mutale. #WenyeNchi #NguvuMoja
Ukipata muda tazama movie (10) za Kungalia weekend hii Movie Kali Za Kijeshi Za Muda Wote (Thread 🧵 👇🏾)
Hiv mnajua nini maana ya kusikia mchanga juu ya bati la nyumbani kwako?! Unajua wachawi hutumia njia gani kujua kama hii nyumba inaingilika au lah?! Unajua madhara ya kumpa mtu msaada wa hela ikiwa ni coin na sio noti au maana ya nyumba kuwa na wadudu wengi?!
Ok, Mnakumbuka huyu dada wa kwenye kipindi cha Pop Baloon swahili Edition. Alisema hataki mtu wa kumuoa, Yeye bado mdogo, anataka wa kuzunguka nae tu! Hatimae kampata 😂😂😂 Waangalie... Video kwa Comments 👇
Waziri wa habari sanaa na Michezo kawataja Dogo Pateni na Zuchu wakati anawasilisha bajeti Na kusema kuwa unapoenda kinyume na Maadili hatakama mgeni rasmi ni nani Utachukuliwa Hatua... Video kwa Comments 👇
Enzi zile kabla Dogo Paten na Sajent, Hawajagombana.. Angalia na Enzi hizi Paten anapamda Ndege... Video kwa Comments 👇
Diamond Aliimba mpaka akaona joto suti aliyoivaa ikabidi aivue kwanza 😅😅 Ilikuwa ni Gym Tosha!! Angalia perfomance ya Diamond, Zuchu, joel Lwaga, Lady JD na D. voice kwenye uzinduzi wa Hoteli.. Video kwa Comments 👇
“nilikutana na Joshua kupitia Facebook na nililala naye mara tatu, moja kati ya hizo ilikuwa choo cha kanisa, baada ya hapo sikumuona wala kumsikia tena” hakuna barua yoyote, hakuna mawasiliano, wala kunitembelea, alipotea ghafla sana. nilienda kwake kumtembelea lakini…
Tofauti Ya Mahusiano Duniani Kati Ya Italians, Americans, French vs WaTanzania” Shuka Na Uzi ⤵️🧵 Mahusiano ya Waitaliano🇮🇹: Siku ya 1 = Sex Siku ya 2 = Sex tena. Mahusiano ya Wamarekani🇺🇲: Siku ya 1 = Chakula cha mchana Siku ya 2 = Chakula cha jioni na hugs. Siku ya 3 = Sex…
Kwa upande wako, movie gani ya kijeshi ni kali kupita zote? 🔥
Simba fans in Tanzania, send in your videos, let’s see what happening in the country at the moment. Historic day. 🇹🇿🦁 #CAFCCwithMicky #NguvuMoja
Wanangu movie gani nicheki Pasaka Hii? Iwe ya KISAGO afu latest 2025. Uwongo usiwe mwingi sana.
Naomba mtu alieweshe kwa ukali ,tena kwa kunifokea kama mtoto mdogo..... tofauti kati ya google na chrome??
Kwa mfano ukiambiwa uchague ununue gari ya biashara cash 155m au utoe advance 45m then ulipe 4.5m kila mwezi kwa miaka mitatu. Ipi option nzuri?
Ile Muvi Ambayo Haitaweza Kuchuja Kwako Milele Ni Ipi? 🎬 Unaweza Kuangalia Mara Kibao, Lakini Bado Inakuvutia Kila Wakati! 😍🍿 Ni Muvi Ipi Hiyo? 👇🏽
United States เทรนด์
- 1. #ForTT_Telegram_sam11adel N/A
- 2. Broncos 47.6K posts
- 3. Mariota 13.2K posts
- 4. Happy New Month 219K posts
- 5. Commanders 33.4K posts
- 6. Bo Nix 10.1K posts
- 7. #BaddiesUSA 27K posts
- 8. #RaiseHail 5,779 posts
- 9. Riley Moss 2,294 posts
- 10. Washington 121K posts
- 11. #ITWelcomeToDerry 20.1K posts
- 12. Burks 15.7K posts
- 13. Ertz 3,116 posts
- 14. Deebo 3,135 posts
- 15. Chrisean 10K posts
- 16. #RHOP 12.8K posts
- 17. Dan Quinn N/A
- 18. Sean Payton 1,675 posts
- 19. Dolly 14.8K posts
- 20. Root 40.8K posts
คุณอาจชื่นชอบ
-
Splendor Kyrios🌴
@Skyfly_gains -
Caroline J
@Carotherunner -
Ujuguhapa
@Ujuguhapa -
ramy✨
@ms__ramy -
Nonobanks ❤️
@lifeof_nono -
Hulu🏜
@seweymilli -
Dr SALUMU
@Dr_salumu -
Berry Kim
@berryk_outfits -
Doctor Mishy🇷🇺
@SharonMontana20 -
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO
@manaal_ms -
noelyhero
@evernoely -
Tanzania Bound Buses
@TBoundBuses -
Faraja | Direct Sales Agent
@faraja_zungu -
kichefuchefuu
@kichefuchefuu -
GLOBAL WRITERS
@Globalwriters__
Something went wrong.
Something went wrong.