masterplan2017's profile picture. HAKI BIN HAKI

Master Plan

@masterplan2017

HAKI BIN HAKI

Master Plan reposted

Acha kujilinganisha na watu, Kila mtu ako na baraka zake.


Master Plan reposted

Poleni na Hongereni mlionicheka kazi yangu ya Solar mwaka 2013. 😂😂


Master Plan reposted

Huku kuna watu wasiri sana, kumbe kitafunio kimeshinda taasisi na mko kimya hamniambii😂😂😂

bentemba2019's tweet image. Huku kuna watu wasiri sana, kumbe kitafunio kimeshinda taasisi na mko kimya hamniambii😂😂😂

Master Plan reposted

Mmekazana kununua jezi kwa wingi mnajua mnaisapoti timu yenu kumbe mnamsapoti Fureedi

balozi123's tweet image. Mmekazana kununua jezi kwa wingi mnajua mnaisapoti timu yenu kumbe mnamsapoti Fureedi

Master Plan reposted

Field zinaisha Isha....matusi yanapungua maana access ya WiFi ya Bure ofisini haipo tena


Master Plan reposted
DausoniD's tweet image.

Master Plan reposted

Wameachana Akaenda Kuchora Tattoo Ya Jina La Mwenzie Kwenye Unyayo!! SAHIVI ANAMKANYAGA TU!!


Master Plan reposted

Jamani kesho tukapige kura nawaombeni sana jamani.🙏


Master Plan reposted

Namna hii 😁😁


Master Plan reposted

Tunatoa wito mawakala wetu waachiwe kabla ya siku ya uchaguzi, vinginevyo vituo hivyo havitafanya uchaguzi,mpaka sasa Bariadi wamekamatwa wanne, Serengeti watatu na Rorya pia, hakuna kituo kitaendelea na uchaguzi kama mawakala wetu hawataachiwa.

ChademaSerenget's tweet image. Tunatoa wito mawakala wetu waachiwe kabla ya siku ya uchaguzi, vinginevyo vituo hivyo havitafanya uchaguzi,mpaka sasa Bariadi wamekamatwa wanne, Serengeti watatu na Rorya pia, hakuna kituo kitaendelea na uchaguzi kama mawakala wetu hawataachiwa.

Wapwa tuinuane hadi mwezini dondosha handle yako nikufollow chap 💪


Master Plan reposted

Ila ile roba ya Maguire dhidi ya Cesar Azpi....VAR ilikuwa mbovu au ??


Master Plan reposted

Ninatuhumiwa ETI NINAMILIKI na NIMEFUNGA MTAMBO wa MAWASILIANO nyumbani kwangu.... unaoingilia MTAMBO wa TCRA!!!! kiherehere changu cha kwenda KURIPOTI wahalifu kikaishia pale pale...NCHI yetu inahitaji REFORM kubwa sana! Majeshi yetu yanatakiwa yaimarishwe na kuongozewa uwezo.


Master Plan reposted

From Jamie Lee Curtis to Jennifer Love Hewitt: Our Favorite Final Girls eonli.ne/2Hv8aQE


Master Plan reposted

Tanzanians being creative at tackling Magufuli’s dictatorship and abuse of the election processes.

This post is unavailable.

Master Plan reposted

DODOMA: RPC Giles Muroto amesema anasikitishwa na kitendo cha Dereva wa Tundu Lissu kutoonesha ushirikiano kwa jeshi hilo mpaka sasa #JFLeo

JamiiForums's tweet image. DODOMA: RPC Giles Muroto amesema anasikitishwa na kitendo cha Dereva wa Tundu Lissu kutoonesha ushirikiano kwa jeshi hilo mpaka sasa
#JFLeo

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.