#jamiiforums search results
KENYA: Serikali imetangaza kuingiza Vikosi vya Jeshi la Ulinzi maeneo yote yanayodaiwa kuwa na Vurugu kwa lengo la kusaidiana na Askari Polisi katika kuwatuliza Waandamanaji #FreeSpeech #JamiiForums
⚠️ Saratani ya mlango wa kizazi ni changamoto inayogharimu maisha ya wanawake wengi. 🗓️Ungana nasi jioni pamoja na #JamiiForums upate nafasi ya kupata elimu na kuuliza maswali kuhusu chanjo ya HPV. ➡️ Inayotolewa sasa bila malipo kwa mabinti wa miaka 9 hadi 14.
Tukichagua kutumia maneno yenye heshima, tutaweza kujenga mazingira salama, yenye amani kwa wote mtandaoni. Chagua kuandika kwa hekima. Chagua kuandika kwa upendo. #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech…
Akizungumza katika Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) ngazi ya Astashahada na Stashahada, Desemba 15, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums, Maxence Melo alisema Binadamu yeyote anategemea Taarifa ili afanye Maamuzi Sahihi, hivyo ubovu wa…
Jiunge nasi katika Mjadala Maalum na Wataalamu wa Uchumi, Alhamisi hii kuanzia Saa 1 jioni hadi 3 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums, ambapo watachambua kwa kina sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL na Shirika la Umeme (TANESCO) na athari zake kwa taifa #JamiiForums…
⚡ Win JamiiForums readers by solving the thread’s blocker, linking with anchor text to a page that repeats the promise, and giving one clear next step. Read: adclicks.thereview.website/jamiiforums-ex… #JamiiForums #Publishing #Content #Adclicks #Growth
Iko hivi; PICHA A : Ni kilichokuwa kiwanda cha kusindika nyama cha Tanganyika Peckers kilichojengwa na wakoloni eneo la kawe mwaka 1947. Kwa mujibu wa #jamiiforums kiwanda hicho kiliweza kuajiri Watanganyika zaidi ya 2500. Yaani kilitoa ajira za moja kwa moja 2500 achilia mbali…
Maneno yana nguvu. Tuchague kusema kwa Heshima, si kwa Kudhalilisha. Kataa lugha ya Chuki, tujenge jamii ya Utu. #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa
Umri wako haufafanui Busara zako, Elimu yako haifafanui akili zako, na Umaarufu wako haufafanui wewe ni nani kwenye jamii, kitakacho kufafanua wewe ni matendo yako mbele ya jamii. #jamiiforums #elimika #busara
Wadau wa JamiiCheck walishiriki Kuthibitisha kwa kubaini mapungufu yanayoonesha kuwa grafiki hiyo haikutolewa na #JamiiForums, bali ilihaririwa kutoka kwenye chapisho lenye Taarifa tofauti. Kupitia QR-CODE, ilibainika kuwa grafiki hiyo ilitokana na chapisho lililohusu tamko la…
Uongozi si nafasi ya kufaidika, ni wajibu wa kutumikia wananchi kwa uaminifu. Kabla ya kuchagua kiongozi, angalia anasimamia nini na ana uwezo gani, sio kumchagua kwa ushabiki au hisia. #JamiiAfrica #JamiiForums #RestlessDevelopment #RaiaWajibika #CivicEducation
Yakupasa kuepuka kuamini kila jambo unalokutana nalo Mtandaoni kabla hujafanya uhakiki na kujua ukweli wake. #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Turejee enzi zile za shule, pale tulipowapa Walimu wetu majina ya utani yaliyojaa ubunifu na ucheshi, bila shaka kila mmoja anakumbuka jina moja au mawili yaliyobaki kuwa kumbukumbu zetu mpaka leo. Kushiriki mjadala jamii.app/MajinaWalimuUt… #JamiiAfrica #JamiiForums #JFChitChat
Uzalishaji na usambazaji wa taarifa potofu husababisha madhara makubwa kwa jamii Je, umeshawahi kupata madhara gani kutokana na taarifa potofu? #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Hayo sio maneno yangu ni kwa mujibu wa #jamiiforums tafadhali acheni makasiriko Shabiki wa Simba sema woyooo😂😂😂🤣
Tembelea Jukwaa la JamiiCheck kuweza kupata uhalisia (Ukweli/Uzushi/Nadharia) wa Taarifa Mbalimbali Kufikia Jukwaa hili bofya JamiiCheck.com #JamiiForums #JamiiCheck #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #FactCheck
Taarifa Potofu huzalishwa kila siku ndani na nje ya Mitandao, ni muhimu kuchukua hatua kuhakiki taarifa mbalimbali kwa kutembelea #JamiCheck, jukwaa la uhakiki ili ujiridhishe uhalali wa taarifa husika #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Uhuru wa kujieleza mtandao I ni haki ya kila mtu, lakini si ruhusa ya kudhalilisha wengine. Toa maoni yako kwa hoja zenye heshima ili kujenga jamii yenye fikra pana na maelewano. #JamiiAfrica #JamiiForums #RestlessDevelopment #RaiaWajibika #CivicEducation #SautiYaRaia
Akizungumza katika Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) ngazi ya Astashahada na Stashahada, Desemba 15, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums, Maxence Melo alisema Binadamu yeyote anategemea Taarifa ili afanye Maamuzi Sahihi, hivyo ubovu wa…
Uzalishaji na usambazaji wa taarifa potofu husababisha madhara makubwa kwa jamii Je, umeshawahi kupata madhara gani kutokana na taarifa potofu? #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Yakupasa kuepuka kuamini kila jambo unalokutana nalo Mtandaoni kabla hujafanya uhakiki na kujua ukweli wake. #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Wananchi wakiwa na Utamaduni wa kuhakiki taarifa, Viongozi watawajibika kuanza kutoa taarifa sahihi ili kukwepa kukosolewa kwa kutoa taarifa potofu Soma jamii.app/UhakikiUwajibi… #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Taarifa Potofu huzalishwa kila siku ndani na nje ya Mitandao, ni muhimu kuchukua hatua kuhakiki taarifa mbalimbali kwa kutembelea #JamiCheck, jukwaa la uhakiki ili ujiridhishe uhalali wa taarifa husika #JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Umri wako haufafanui Busara zako, Elimu yako haifafanui akili zako, na Umaarufu wako haufafanui wewe ni nani kwenye jamii, kitakacho kufafanua wewe ni matendo yako mbele ya jamii. #jamiiforums #elimika #busara
Mdau wetu, Shiriki nasi katika kufanya uhakiki wa Nadharia hii iliyopo kwenye Jamii zetu. Tuandikie unachokiamini pamoja na sababu za kwanini unaamini hivyo #JamiiCheck #JamiiForums #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #VisitJamiiCheck
Baadhi ya maoni yaliyotolewa na Wadau wa #JamiiChek kuhusu Nadharia inayodai kuwa Mwanamke akichuma Mboga za majani wakati wa Hedhi, bustani au mboga inayobakia shambani hukauka Je, unakubaliana na maoni haya? Soma jamii.app/MythZaHedhi #JamiiForums #FactsChecking…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alizungumza haya alipotembelea Ofisi za #JamiiForums Mei 9, 2024 #Jamiicheck #HakikiTaarifa #Disinformation #FactCheck #VisitJamiiCheck
Wadau wa JamiiCheck walishiriki Kuthibitisha kwa kubaini mapungufu yanayoonesha kuwa grafiki hiyo haikutolewa na #JamiiForums, bali ilihaririwa kutoka kwenye chapisho lenye Taarifa tofauti. Kupitia QR-CODE, ilibainika kuwa grafiki hiyo ilitokana na chapisho lililohusu tamko la…
Kumeibuka chapisho la Desemba 22, 2024 lenye nembo ya #JamiiForums likimnukuu Freeman Mbowe akisema hagombei nafasi ya Uenyekiti ila Tundu Lissu atauwa Chama. Ufuatiliaji wa JamiiCheck umebaini kuwa chapisho hilo halina Ukweli na wala halijawahi kuchapishwa katika kurasa rasmi…
⚠️ Saratani ya mlango wa kizazi ni changamoto inayogharimu maisha ya wanawake wengi. 🗓️Ungana nasi jioni pamoja na #JamiiForums upate nafasi ya kupata elimu na kuuliza maswali kuhusu chanjo ya HPV. ➡️ Inayotolewa sasa bila malipo kwa mabinti wa miaka 9 hadi 14.
Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kupata Uhalisia wa posti zinazosambaa zenye nembo za #JamiiForums, #TheChanzo, #MwanaHabari, na #HabariDigital na picha za Freeman Mbowe na Tundu Lissu na jumbe kama 'Mbowe: Lissu anatunza Fedha zake Ubelgiji bado anawahadaa Watu…
Jiunge nasi katika Mjadala Maalum na Wataalamu wa Uchumi, Alhamisi hii kuanzia Saa 1 jioni hadi 3 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums, ambapo watachambua kwa kina sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL na Shirika la Umeme (TANESCO) na athari zake kwa taifa #JamiiForums…
KENYA: Serikali imetangaza kuingiza Vikosi vya Jeshi la Ulinzi maeneo yote yanayodaiwa kuwa na Vurugu kwa lengo la kusaidiana na Askari Polisi katika kuwatuliza Waandamanaji #FreeSpeech #JamiiForums
Hayo sio maneno yangu ni kwa mujibu wa #jamiiforums tafadhali acheni makasiriko Shabiki wa Simba sema woyooo😂😂😂🤣
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. ESPN Bet 1,164 posts
- 2. Good Thursday 30.3K posts
- 3. Happy Friday Eve N/A
- 4. #thursdayvibes 2,380 posts
- 5. #MichaelMovie 4,326 posts
- 6. Gremlins 3 N/A
- 7. #ThursdayThoughts 1,565 posts
- 8. #thursdaymotivation 1,501 posts
- 9. Barstool 1,311 posts
- 10. Erik Spoelstra 1,367 posts
- 11. #PutThatInYourPipe N/A
- 12. Lakers 87.7K posts
- 13. LINGORM LANNA CULTURE 435K posts
- 14. Vatican 10.7K posts
- 15. Grapefruit 1,577 posts
- 16. $APDN $0.20 Applied DNA N/A
- 17. Unplanned 6,646 posts
- 18. $SENS $0.70 Senseonics CGM N/A
- 19. Thune 24.2K posts
- 20. Captain Kangaroo 1,346 posts