#nanenane نتائج البحث
This Farmer’s Day, start investing towards your financial freedom. Start small, start big - just start! #NaneNane #SikuYaWakulima #KilimoNiUwekezaji #iTrustFinance #AnzaKidogoKuaKubwa
📍Nanenane, Dodoma📍 Tunaendelea kutoa huduma za usafirishaji ndani na nje ya viwanja vya Nanenane, jijini Dodoma #nanenane #postatanzania #usafirishaji #logistics #business #nanenane2025 #swifpack #kaziinaendelea
Before #NaneNane, a random guy prophesied that Ruto will not be removed on NaneNane He went on to add, that the next wave is the one that will unseat him My heart sank, but I went to the streets still with hope Now I hope to God that he was right #RutoMustGo
#SAUTMwanza Sherehe za Wakulima NANENANE: @StAugustineoftz tunashiriki maonesho ya #nanenane katika mikoa ya #mwanza #simiyu #arusha #mbeya na #dodoma Maombi yanaendelea kupokelewa katika fani mbalimbali ngazi ya #cheti #diploma #bachelor #masters na #phd Karibu tukuhudumie.
🤝💳 Katika kuadhimisha miaka 10 ya Benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania @tadbtz | Wizara ya kilimo imepokea hundi ya shilingi milioni 400 kutoka benki ya TADB ambayo kwa mchango huo TADB imekua mdhamini mkuu wa maonesho ya kilimo Nane Nane kwa 2025 jijini Dodoma. #NaneNane
#SAUTMwanza MAONESHO YA NANENANE: @StAugustineoftz inaiendelea kuwakaribisha kutembelea mabanda yetu katika maonesho ya #nanenane yanayoendelea katika mikoa ya #dodoma #simiyu #mwanza #arusha na #mbeya #TulijengeJijilaMungu
#NANENANE ni mbali na watu wanazidi kuumia na kufariki. Hatuwezi kuendelea kudharauliwa na watu tuliowachagua. Wanadhani wako juu yetu kubabaye. #RutoMustGoNow
Happy Nane Nane Day to all our hardworking farmers in Tanzania! We celebrate your dedication to feeding the nation and driving agricultural innovation. Your work is the foundation of our growth. #NaneNane #Tanzania #Agriculture #Farmers visit:spiddafrica.com
On this #Nanenane Day #TASAF commends the dedication, strength, and resilience of every Tanzanian farmer, your work sustains our nation. We remain committed to supporting you on the journey toward productive and dignified livelihoods. #TASAF #NaneNane2025 #PSSN
sarkodie obidima is inviting you to run to day #NaneNaneMarch #NaneNaneMatch #NaneNane #RutoMustGo #RunningWithSoleAC #RunningWithTumiSole #IPaintedMyRun #TrapnLos #FetchYourBody2024 #RunningWithLulubel
Tunawasherehekea na kuwapongeza kwa dhati wakulima wetu mashujaa! Nyinyi ndio nguzo ya mafanikio yetu na chanzo cha nguvu tunayohitaji kuwahudumia. Asante sana kwa jasho na bidii yenu isiyo na kifani. Heri ya Siku ya Wakulima, Tanzania! #FarmersDay #NaneNane #SGACares
From tomorrow, you will hear Nyakundi, Kwamboka, Aoko, and the suicidal commercial activists hyping #NaneNane as the day to remove Ruto from power The people are not on social media. The people want peace. They will decide on 2027, not before that #OccupyUntilVictory
This is what we should’ve done on #NaneNane the moment we found all roads blocked. #FreeAoko #RutoMustGo
University students are protesting after police prevented their march today in Maputo. Mozambicans are tuff. Frelimo is weak and it’s showing it everyday by trying (unsuccessfully) to prevent protests. The entire country is taking over the streets #MozambiqueElections
Happy Nane Nane! 🌾 While most are out celebrating our farmers and the fruits of their labor, I’m here in the office—armed with a head cold, a to-do list longer than a maize plantation, and the trusty support of cetirizine (not sponsored… yet 🤧). #NaneNane #TeamWork #Genius
KASONGO is sacrificing KENYANS BLOOD for his POLITICAL SURVIVAL!!! Yesterday was to be #Nanenane when his rogue police could have shot many people dead, instead we have almost 100 people dying through accidents???
Katika moenesho ya #nanenane TCRS Kishapu wamepata nafasi yakutoa elimu juu ya utunzaji wa mazao baada ya kuvuna ili yasijaribike mapema kwenye jokofu asilia (Zero Energy Cooling Chamber) kama vile mboga mboga na matunda. #sikuyananenane2025 #60yearsoftcrs
#Picha za Matukio mbalimbali katika kilele cha maadhimisho ya #Nanenane kanda ya kusini Ngongo ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Dkt. Seleman Jafo waziri wa Viwanda na biashara akitembelea banda la TCRS na kujionea bidhaa za wakulima na wajasiriamali wanaowezeshwa na TCRS Agosti 8, 2025
DODOMA: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imewataka Wadau wa Siasa wakiwemo Viongozi wa Dini, Vyama vya Siasa kuepuka lugha za matusi, kejeli, ubaguzi na uchochezi wakati wa kampeni. Akizungumza kwenye maonesho ya #Nanenane, Agosti 7, 2025, Makamu Mwenyekiti wa
Eco Scope Foundation inawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Wakulima – Nane Nane! Tuendelee kushirikiana kuleta mabadiliko ya kijani kwa kutumia mbinu rafiki kwa mazingira, teknolojia bunifu, na maarifa endelevu. #NaneNane
This #NaneNane, we reaffirm our commitment to investing in women-led agriculture, climate justice, and sustainable rural economies. Let’s invest in women. Let's nourish the roots of change. Let's cultivate justice. #NaneNane2025 #GenderEquality #ClimateJustice #SDGs
Tunawashukuru mashujaa wetu wa kilimo! 🌾 Tunatambua na kuthamini mchango wenu mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa letu. Heri ya Sikukuu ya Nane Nane! 🇹🇿 #SikuYaWakulima #NaneNane
Happy #NaneNane, @IrlEmbTanzania celebrates the farmers of 🇹🇿 who are leading positive changes in climate-smart agriculture, with the support of Ireland🇮🇪 From highly productive seeds to higher milk yields, sustainable farming is changing lives and building resilient communities.
📷 Kipindi cha Fahari kwenye Maonesho ya #NaneNane-Dodoma 2025 📷 #makeinindia #TechForAfrica #SmartAgriSolutions #bajajprocesspacktanzania #bajajprocesspack
Today we celebrate the hands that feed the nation…we extend our deepest gratitude to all hardworking farmers. Your resilience, dedication, and contribution to Tanzania’s growth never go unnoticed. Happy Nane Nane Day! 🇹🇿 #NaneNane #Tanzania #FarmersDay #MaloshaEsquire #Legal
TCRS Morogoro wakishiriki katika maonesho ya #NaneNane, kwa kutoa elimu na mafunzo ya kilimo bora cha viungo kwa maendeleo endelevu! 🌱🚜 #NaneNane2025 #kilimochaviungo #60yearsoftcrs
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. #euphoria N/A
- 2. Embiid N/A
- 3. Pied Piper N/A
- 4. Payton Pritchard N/A
- 5. Nate N/A
- 6. 60 Minutes N/A
- 7. Sixers N/A
- 8. #GoBolts N/A
- 9. #RHOA N/A
- 10. Norah O'Donnell N/A
- 11. #90DayFiance N/A
- 12. #RHORI N/A
- 13. Lane Thomas N/A
- 14. Stearns N/A
- 15. Kimmel N/A
- 16. Maxey N/A
- 17. Nick Nurse N/A
- 18. Montreal N/A
- 19. Carson Hocevar N/A
- 20. Habs N/A