Health with Mhando 🩺
@Afya_code
Turning BOYS into Men| Afya imara ya Uzazi https://chat.whatsapp.com/FZmP7C7dBvQ2ApKlwCfrLY
قد يعجبك
Happy New Month... Ni siku nyingine njema tena na Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii aliyotupatia Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa bado nipo kwenye maandalizi ya E-book yako ya #KuwaNiceGuyniUgonjwa Hivyo tarehe rasmi ya e-book kutoka nitaitaja Nashukuru kwa…
Mwanahabari bora wa muda wote 🐐
Kuwa tayari kufanya usichopenda ili ufike kwenye unachotaka. Mafanikio hujificha kwenye unyenyekevu wa mwanzo mdogo Na mara zote dunia huwapendelea wanaojua wanachotaka. Hakikisha unajua UNATAKA NINI.
Wale jamaa unaona wamerudikwa kama mizoga, it could be you. Sasa kaa kimya ukidhani itasaidia.
Walishatoa sababu kwanini wame–restrict/kuzuia mtandao wa TikTok, hii ya X walileta sababu za uongo na kweli, Je, hii ya TikTok sababu ni ipi? As a democratic country inakuwaje unaamka na kufungua Mtandao bila kutoa sababu yoyote? Tunahitaji REFORM kila sehemu.
Kweli bro Ukweli mtupu 🔥 Kujwekeza binafsi huongeza thamani yako ya ndani na nje. Kadri unavyokua na ujuzi, ndivyo thamani yako sokoni inavyoongezeka — hiyo ndiyo ROI halisi ya maisha.
December 9 Tutasherehekea mwisho wa utawala wa Mwingereza katika ardhi ya Tanganyika
Hiyo wakuu tunaita Shit Test ya power shifting au Dominance Akiacha kukutafuta na mara ya mwisho wewe ndio ulimtafuta sit back and relax Ikipita muda akakucheki na malalamiko umeshinda na umemtawala Anatest kama una desperation ya Attention yake
📌📌💔🙏
Usiku huu Nmeaona! Mungu kaanza kuweka HUKUMU katika kila kiti ambacho si cha HAKI! ANGALIZO!! Endapo kama wewe kiongozi, umepoka nafasi ya Kiti ktk ngazi yoyote na si Halali, nakushauri ACHANA nacho kwa salama yako. Ukikaidi, LAANA na AIBU itakuwa Hadi KIZAZI chako chote!
Kwa bahati nzuri historia huwa haisahau, Hata ipite miaka mingapi. Haitasahulika kuwa mliwahi kuwa washiriki wa kupora UHAI wa watu wasiokuwa na Hatia. Vyombo vyetu vya habari ni vibaraka kwa Watawala 💔
CLOUDS MEDIA GROUP inasikitika kutangaza kifo cha aliyekua mfanyakazi wake Master Tindwa Mtopa, kilichotokea Oktoba 30, 2025 na kuzikwa Novemba 3, 2025 kwenye Makaburi ya Mama Kibonge yaliyopo Buza Jijini Dar es salaam. Clouds Media Group inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na…
Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema. Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.
Tunahitaji kuwatambua na kuwakumbuka wote waliouliwa wakipigania Taifa letu. Hatutasahau na tunataka uwajibikaji. Rest in power, compatriots.
Siku zote, Akili inapofungwa, hata mwili hauwezi kuwa huru...🥲 Haswa katika kipindi hiki ambacho maisha yanazidi kuwa magumu kwa wengi, msongo wa mawazo, hofu, na maumivu ya ndani.... Kutoa hisia zako si udhaifu, Ni hatua ya kwanza ya kujiponya.... Afya ya akili ni uti wa…
Mpaka sasa nina taarifa tatu za watu wa karibu na watu nnaofahamiana nao ambao wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi za vichwa At this point there shouldn't be turning back, wanatuzoea sana hawa mambwa😡🚮
29.10.2025 " My people suffer, my people dey there"
Mwanaume fanyia kazi " Self Esteem" yako na kila kitu kitabadilika Ukianza kujikubali kama ulivyo hautotumia nguvu kubwa kuishi nje ya Uhalisia wako ili ukubalike nje #KuwaNiceGuyniUgonjwa
Nilivyoacha kuwaza " Nikimwambia sijapenda alichofanya atajisikiaje/ atanionaje...?" " Yule demu nampenda lakini nikimwambia ataniona muhuni...Acha nile kwa macho" Kila kitu kilibadilika upande wangu Niliepuka friendzone . Nikapata pisi iliyonipenda MIMI KAMA MIMI…
Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali.. 🧵 Repost🔁 Follow @shabirnakamu Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka.. katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾
United States الاتجاهات
- 1. Klay 20.5K posts
- 2. #AEWFullGear 70.3K posts
- 3. McLaren 47.2K posts
- 4. Lando 99.6K posts
- 5. #LasVegasGP 186K posts
- 6. Ja Morant 9,030 posts
- 7. gambino 2,452 posts
- 8. Hangman 9,957 posts
- 9. Samoa Joe 4,818 posts
- 10. Swerve 6,395 posts
- 11. LAFC 15.5K posts
- 12. #Toonami 2,830 posts
- 13. Bryson Barnes N/A
- 14. Verstappen 81.4K posts
- 15. Utah 24K posts
- 16. Kimi 38.9K posts
- 17. Benavidez 15.9K posts
- 18. Terry Crews 7,872 posts
- 19. Fresno State 1,010 posts
- 20. LJ Martin 1,301 posts
قد يعجبك
-
Ikechukwu Ali
@IkechukwuA6992 -
progression
@progression_int -
Busayo
@Bussyboss12 -
Hassan Wyte
@HassanWyte -
njoroboihastlar🏌️♀️
@kimolorama8 -
MR STATE AND CAPITAL 💯
@abikinPeRexxie -
Lourdes_Back 🦅💨
@LourdesVert -
Marvin
@Marvijay2 -
Owoade Gbolahan
@Gbollytboy -
S¡r. Reymoni👑
@XReymoni -
Oluwafity
@iam_oluwafity -
Jibola
@Jibola__p66 -
Good&Bad
@GoodandBaad -
Unbothered
@unbothered__001
Something went wrong.
Something went wrong.