BlessingChess's profile picture. | Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects | The Innovation House Brand Worldwide.

BlessingChess

@BlessingChess

| Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects | The Innovation House Brand Worldwide.

置頂

Finally I realised, I'm Not a permanent Person In Anyone's Chapter, But I can Assure To Be A Best Temporary Person You Ever Meet.


BlessingChess 已轉發

Ishu hii ngumu kama waliobna madaraka wataendelea kushupaza shingo hawataamini zaidi kitakacho tokea


BlessingChess 已轉發

KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9. KATAA MAANDAMANO DISEMBA 9.


BlessingChess 已轉發

Diwani wa Kata ya KKoo Haji Manara anatuambia kilichotokea siku ya Oktoba 29👇. 🗣️“Walizusha nimefariki na mwili umekutwa Coco Beach”. @manaratv__ @hajismanara__ @haji_sunday_manara_fan #knews24updates #tunakutoakichakani instagram.com/reel/DRQICcZDU…


BlessingChess 已轉發

WANU : NASHAURIKA NA NAFIKIKA "Niko tayari kwa maelekezo, ushauri maana hapa niko jikoni, nichukuliwe kama Naibu Waziri wa Elimu mimi ni rahisi kufikika na kushaurika ukiwa na lolote tuvunje Protoko ili nifikike kirahisi" - Wanu Ameir - Naibu Waziri wa Elimu

Sisimizi3's tweet image. WANU : NASHAURIKA NA NAFIKIKA

"Niko tayari kwa maelekezo, ushauri maana hapa niko jikoni, nichukuliwe kama Naibu Waziri wa Elimu mimi ni rahisi kufikika na kushaurika ukiwa na lolote tuvunje Protoko ili nifikike kirahisi" - Wanu Ameir - Naibu Waziri wa Elimu

BlessingChess 已轉發

Uzuri Data base ya CCM ukishaingia tu haikusahau kamwe


BlessingChess 已轉發

Ukisikia "lilia bahati usililie uzuri" ndo hii😁🙌

SincerelyRahma_'s tweet image. Ukisikia "lilia bahati usililie uzuri" ndo hii😁🙌

BlessingChess 已轉發

Ooohhh, kumbe kila kitu kipo poa kabisa isipokuwa ni jamaa wachache tu waliopo nje ya nchi ndio wanachochea vurugu?? Na yale MARIDHIANO mnayoyatangaza kila kukicha ni ya nini kama kila kitu kipo poa?🤔🤔 MNARIDHIANA pasipo kuwa na tatizo lolote?🤔🤔

來自 Jambo TV

BlessingChess 已轉發

Watanzania sasa hivi hawana mchezo tena, wanamkaanga live bila huruma. 😂😂😂


BlessingChess 已轉發

I remain here where I am, South Africa. I love my home


BlessingChess 已轉發

Yes I’ve never understood any other reason. Nothing beats the thrill of that first kiss


BlessingChess 已轉發

Tuanzie hapa kwanza kujua, halafu tutaulizana imevimbaje? Imevimba upande wa kushoto au kulia?

mshambuliaji's tweet image. Tuanzie hapa kwanza kujua, halafu tutaulizana imevimbaje? Imevimba upande wa kushoto au kulia?

BlessingChess 已轉發

Best Student wa UDSM 2025 👊

MsomiKhan18's tweet image. Best Student wa UDSM 2025 👊

BlessingChess 已轉發

"Ndani ya siku 11 tangu [Rais Samia Suluhu Hassan] alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari

swahilitimes's tweet image. "Ndani ya siku 11 tangu [Rais Samia Suluhu Hassan] alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari

BlessingChess 已轉發

Mh 😳🙌🏾

Officielsajah's tweet image. Mh 😳🙌🏾

BlessingChess 已轉發

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Tido Mhando kuwa Mshauri wa Rais, Habari na Mawasiliano. Taarifa ya leo Novemba 19, 2025 iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka imeeleza kuwa Rais Samia pia amemteua…

mshambuliaji's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Tido Mhando kuwa Mshauri wa Rais, Habari na Mawasiliano.

Taarifa ya leo Novemba 19, 2025 iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka imeeleza kuwa Rais Samia pia amemteua…

BlessingChess 已轉發

Rais wa Marekani Donald Trump ameulizwa kati ya Messi na Ronaldo yupi ni mchezaji bora wa muda wote , Trump amemtaja Cristiano Ronaldo Kauli hii imetolewa ikiwa zimesalia siku chake kuelekea kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia ambazo zitachezwa huko Marekani.

shaffihdauda1's tweet image. Rais wa Marekani Donald Trump ameulizwa kati ya Messi na Ronaldo yupi ni mchezaji bora wa muda wote , Trump amemtaja Cristiano Ronaldo 

Kauli hii imetolewa ikiwa zimesalia siku chake kuelekea kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia ambazo zitachezwa huko Marekani.

BlessingChess 已轉發

Good Morning God’s people 🙏🤲🏿

mudryk_jr's tweet image. Good Morning God’s people 🙏🤲🏿

BlessingChess 已轉發

VIDEO: Kiongozi Mkuu wa Wahadhiri wa Kiislamu nchini Tanzania Sheikh Rajab Salum amepinga vikali tamko lililotolewa na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu uvunjifu wa amani uliojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, akisema baraza…


BlessingChess 已轉發

KIAPO CHA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA


BlessingChess 已轉發

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera akipokea nyaraka za ofisi kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Mtumba jijini, Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025

Sheria_Katiba's tweet image. Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi  Homera akipokea nyaraka za ofisi kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Mtumba jijini,  Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025
Sheria_Katiba's tweet image. Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi  Homera akipokea nyaraka za ofisi kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Mtumba jijini,  Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025
Sheria_Katiba's tweet image. Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi  Homera akipokea nyaraka za ofisi kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Mtumba jijini,  Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.