你可能會喜歡
Aliyekua kiungo wa kati wa stade de Rennes ya ufaransa Eduardo camaavinga amejiunga na klabu ya Real Madrid Spain kwa DAU la £31M kwa uhamisho wake +Bonus £40M kiungo huyo aliomba klabu yake kua anahitaji kuondoka klabuni hapo kwa heshima kuliko kuondoka 2022 kama mchezaji huru.

Aliyekua beki wa kati wa Bologna fokayu Tomiyasu kisiki kutoka Japan amejiunga na klabu ya arsenal kwa DAU la £20M huk beki huyo anaweza kucheza kama wing back wa kulia,beki wa kulia &Beki wa kati.

Kiungo wa ki Argentina Rodrigo de Paul ambae anachezea team ya klabu ya udinise . Deal DONE ndani ya atletico Madrid asajiliwa kwa DAU la £35M . na anatarajiwa kutangazwa na atletico Madrid mwezi hu

Klabu ya RB lepzing inamua kumchukua mshambuliaji kutoka klabu ya Celtic Rafael Santos kuwa mbadala wa Andre Silva Watamchukua kama mchezaji huru

Kuna uwezekano mkubwa sana klabu ya PSG kumsajili rasmi beki wa kati Sergio Ramos baada ya kua na mawasiliano mazuri ya pande zote mbili.

Mshambuliaji kutoka klabu ya PSG kylien mbappe ataka kuondoka klabun hapo kama free agent baada ya kukataa kuongeza mkataba msimu huu na mkataba wake unaisha June 2022.

Mmiliki wa klabu ya Dortmund Abraham movich aeleza wazi mashabiki bado wana nafasi ya kumpata Halaand. Je ni kweli Dortmund dirisha hili waachie ma star wawili kweli??

RB lepzing wataachana na kiungo wao mchezeshaji wa Austria Marcel sabitzer .huku kiungo huyo akiwindwa na Arsenal,roma na AC millan

United States 趨勢
- 1. #VSFashionShow 312K posts
- 2. #youtubedown 12.5K posts
- 3. #AEWDynamite 5,535 posts
- 4. quen 18.2K posts
- 5. tzuyu 106K posts
- 6. Angel Reese 24.3K posts
- 7. Missy 9,076 posts
- 8. #Survivor49 N/A
- 9. jihyo 107K posts
- 10. madison 54.5K posts
- 11. Karol G 45.1K posts
- 12. #VictoriasSecretFashionShow 4,729 posts
- 13. bella hadid 45.2K posts
- 14. Nancy 118K posts
- 15. Darby 2,142 posts
- 16. Birdman 2,881 posts
- 17. Julio Rodriguez 1,399 posts
- 18. UTEP 2,732 posts
- 19. nayeon 89.3K posts
- 20. Candice 22.5K posts
你可能會喜歡
Something went wrong.
Something went wrong.