DachiRashid2's profile picture. Senior Medical Research and Consultancy, C.E.O.Dachi Group of Companies, Beekeeping Research and Apicuture Consultancy, Medical Psychologist,Bio-Pharmacetical

Dachi Rashidi

@DachiRashid2

Senior Medical Research and Consultancy, C.E.O.Dachi Group of Companies, Beekeeping Research and Apicuture Consultancy, Medical Psychologist,Bio-Pharmacetical

Dachi Rashidi أعاد

Ujumbe wa Ukonga Prison unafungua faili ambalo wengi walidhani limefutwa kwenye kumbukumbu za taifa. Pattern recognition ndiyo lugha ya kivuli na rekodi ya aliyekabidhiwa kuongoza tume hizi inaonyesha msururu ule ule. Yaani, Tume tatu. Matokeo sifuri. Ukweli sifuri.…

Ujumbe kutoka gerezani Ukonga wa Mh. Tundu Lissu 21/11/2025 Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!!…



Dachi Rashidi أعاد

Ujumbe kutoka gerezani Ukonga wa Mh. Tundu Lissu 21/11/2025 Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!!…


Dachi Rashidi أعاد

Kwanini J.K Nyerere alibeba vita ya kupambania HAKI za majirani? Je, aliwapenda sana? Kwanini alikuwa tayari kuwapa majirani hadi msaada wa kivita kuhakikisha kimewaka? NITAKUTOA KAMASI KICHWANI. Dar es Salaam ilikuwa ni sehemu ya HIJA kwa wanaharakati na wanasiasa waliokuwa…

Kama taifa tunapaswa pia kutafakari ni kwann majirani wanatushabikia sana kwa sasa kuliko wakati wowote? Kwann majirani zetu wapo tayari kutupa msaada wowote ili kuhakikisha kimewaka? Kwann majirani wameibeba vita yetu ya kupambania HAKI kama yao? WANATUPENDA SANA?



Dachi Rashidi أعاد

Nyerere 1993: "Kama tuna matatizo makubwa ya nchi, ni vizuri tukubali kwamba tuna matatizo makubwa ya nchi, halafu tunayazungumza katika ukubwa wake."


Dachi Rashidi أعاد

EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality. We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions


Dachi Rashidi أعاد

Read this for geolocated videos, audio forensic analysis of shots fired & first-hand accounts of Tanzania's unrest. President Samia Hassan claims to have won with 98% of the vote. Reported with @FlorenceDAttlee @GianlucaMezzo + help from @BenDoBrown edition.cnn.com/2025/11/21/afr…


Dachi Rashidi أعاد

“Based on the time gap between the "crack" sound, the ballistic shockwave of the bullet and the "boom" of the muzzle blast, Maher established the distance between the firearm and microphone of the device that filmed the video to be about 112 meters (367 feet).” Rob Maher, a…


Dachi Rashidi أعاد

BBC Swahili tulishafanya hiyo Kama ilikupita, nakusogezea hapa 👇🏾 youtu.be/QwY9OsUGVY0?si…

awamisammy's tweet card. BBC yathibitisha video za mauaji Tanzania

youtube.com

YouTube

BBC yathibitisha video za mauaji Tanzania


Dachi Rashidi أعاد

Aika ‘mbe🙏🏿🙏🏿!


Dachi Rashidi أعاد

Katika lugha ya kivuli, hii ni forensic reconstruction na si porojo, si simulizi za mitandaoni, bali evidence mapping iliyofanywa kupitia vyanzo tofauti, pembe tofauti, na wakati tofauti. Kazi kama hii haijengwi kwa hisia, inajengwa kwa multi angle verification, kitu ambacho…

We analyzed 14 original videos just to recreate this street scene in Arusha

LarryMadowo's tweet image. We analyzed 14 original videos just to recreate this street scene in Arusha


Dachi Rashidi أعاد

Una Kitabu cha kusoma Weekend hii? SIRI NA UJASUSI.. kurasa 442 za Ujasusi, intelijensia, uhalifu na matukio ya kihistoria yaliyobadili ulimwengu. Kwa shilingi elfu hamsini tu unaishika nakala yako mkononi. Piga simu/sms 0759 181 457

habibu_anga's tweet image. Una Kitabu cha kusoma Weekend hii? SIRI NA UJASUSI.. kurasa 442 za Ujasusi, intelijensia, uhalifu na matukio ya kihistoria yaliyobadili ulimwengu.
Kwa shilingi elfu hamsini tu unaishika nakala yako mkononi.
Piga simu/sms 0759 181 457

Dachi Rashidi أعاد

‼️🚨UJUMBE KUTOKA TUNDU LISSU‼️ “Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya…

MariaSTsehai's tweet image. ‼️🚨UJUMBE KUTOKA TUNDU LISSU‼️

“Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! 
Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!! 
Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya…

Dachi Rashidi أعاد

Hii ripoti ya @CNN!!!!! Moyo wangu unavuja damu. Kwamba mliwaondoa majeruhi wazima na kuwapeleka mortuary? Kwamba mmezika watu kwenye makaburi ya pamoja, badala ya kuwapa ndugu miili ya watu wao? Haya mtayajibu vipi? Hiyo kiu ya madaraka ni kubwa kiasi gani kwamba unafanya…


Dachi Rashidi أعاد

Mmeona mambo ya Forensic Analysis yalivyo. "Examination of audio extracted from the original video" Larry amechambua bwana 🙌🏻

TOTTechs's tweet image. Mmeona mambo ya Forensic Analysis yalivyo. "Examination of audio extracted from the original video"

Larry amechambua bwana 🙌🏻
TOTTechs's tweet image. Mmeona mambo ya Forensic Analysis yalivyo. "Examination of audio extracted from the original video"

Larry amechambua bwana 🙌🏻

Dachi Rashidi أعاد

My job is to cover Africa accurately, not positively

LarryMadowo's tweet image. My job is to cover Africa accurately, not positively

Dachi Rashidi أعاد

Tatizo tunalo, lakini tatizo letu kubwa zaidi ni KUFICHA tatizo tulilonalo!


Dachi Rashidi أعاد

Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001) Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.

tonyalfredk's tweet image. Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001)

Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.
tonyalfredk's tweet image. Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001)

Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.

Dachi Rashidi أعاد

CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world

LarryMadowo's tweet image. CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world

Dachi Rashidi أعاد

#KutokaMakavazini: Uchambuzi wa Tume ya Mbita iliyoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkapa, kuchunguza sababu na athari za matokeo ya tarehe 26 na 27 Januari 2001: "Wengine wakafa katika mazingira ya kutatanisha wakiwa hospitali na wengine kutolewa Hospitali…


Dachi Rashidi أعاد

Msikilize shekhe mtofautishe na hao wanaodhani wanaichambua TEC.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.