DachiRashid2's profile picture. Senior Medical Research and Consultancy, C.E.O.Dachi Group of Companies, Beekeeping Research and Apicuture Consultancy, Medical Psychologist,Bio-Pharmacetical

Dachi Rashidi

@DachiRashid2

Senior Medical Research and Consultancy, C.E.O.Dachi Group of Companies, Beekeeping Research and Apicuture Consultancy, Medical Psychologist,Bio-Pharmacetical

Dachi Rashidi 已轉發

Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001) Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.

tonyalfredk's tweet image. Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001)

Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.
tonyalfredk's tweet image. Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001)

Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.

Dachi Rashidi 已轉發

CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world

LarryMadowo's tweet image. CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world

Dachi Rashidi 已轉發

#KutokaMakavazini: Uchambuzi wa Tume ya Mbita iliyoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkapa, kuchunguza sababu na athari za matokeo ya tarehe 26 na 27 Januari 2001: "Wengine wakafa katika mazingira ya kutatanisha wakiwa hospitali na wengine kutolewa Hospitali…


Dachi Rashidi 已轉發

Msikilize shekhe mtofautishe na hao wanaodhani wanaichambua TEC.


Dachi Rashidi 已轉發

🔖We fully agree.

Every African who can needs to read this book ASAP. It will change your life. If you don’t understand why theory is important, this book will explain it to you.

Ani_Kayode's tweet image. Every African who can needs to read this book ASAP. It will change your life. If you don’t understand why theory is important, this book will explain it to you.


Dachi Rashidi 已轉發

#KutokaMakavazini: “siyo chombo cha kuwaua” — Mwinyi (1977)

Udadisi's tweet image. #KutokaMakavazini: “siyo chombo cha kuwaua” — Mwinyi (1977)

Dachi Rashidi 已轉發

#KutokaMakavazini (Chanzo: Ali Hassan Mwinyi, 2020, 471, Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu)

Udadisi's tweet image. #KutokaMakavazini (Chanzo: Ali Hassan Mwinyi, 2020, 471, Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu)

Dachi Rashidi 已轉發

#KutokaMakavazini: “kwa fedheha hili, naomba unikubalie nijiuzulu ” — Ali Hassan Mwinyi (1977)

Udadisi's tweet image. #KutokaMakavazini: “kwa fedheha hili, naomba unikubalie nijiuzulu ” — Ali Hassan Mwinyi (1977)

Dachi Rashidi 已轉發

Ukisoma kitabu cha “The Lucifer Effect: Understanding how good people turn evil” unajifunza ‘power’ ndio kuwa chanzo kikubwa cha uovu. Power ni kama bangi. Binadamu anayetaka mamlaka dhidi ya binadamu mwenzake anaweza kufanya hata yasiyofikirika mradi atimize azma yake. Kwa…

bwaya's tweet image. Ukisoma kitabu cha “The Lucifer Effect: Understanding how good people turn evil” unajifunza ‘power’ ndio kuwa chanzo kikubwa cha uovu. Power ni kama bangi. Binadamu anayetaka mamlaka dhidi ya binadamu mwenzake anaweza kufanya hata yasiyofikirika mradi atimize azma yake.

Kwa…
bwaya's tweet image. Ukisoma kitabu cha “The Lucifer Effect: Understanding how good people turn evil” unajifunza ‘power’ ndio kuwa chanzo kikubwa cha uovu. Power ni kama bangi. Binadamu anayetaka mamlaka dhidi ya binadamu mwenzake anaweza kufanya hata yasiyofikirika mradi atimize azma yake.

Kwa…
bwaya's tweet image. Ukisoma kitabu cha “The Lucifer Effect: Understanding how good people turn evil” unajifunza ‘power’ ndio kuwa chanzo kikubwa cha uovu. Power ni kama bangi. Binadamu anayetaka mamlaka dhidi ya binadamu mwenzake anaweza kufanya hata yasiyofikirika mradi atimize azma yake.

Kwa…

Dachi Rashidi 已轉發

Ukifuga mtoto wa chui ipo siku atakuwa chui mkubwa na kumla mfugaji


Dachi Rashidi 已轉發
Udadisi's tweet image.

Dachi Rashidi 已轉發

Yes ila hazipo ukipost Twitter So hiyo napata mimi ila nikipost Twitter ile metadata inapotea


Dachi Rashidi 已轉發

WHATSAPP ina futa Metadata zifuatazo kwenye Video au Picha utakayo tuma: WhatsApp removes or strips most EXIF metadata, such as: Original recording date/time Camera model / phone model GPS location Creator info


Dachi Rashidi 已轉發

Ni kwamba Ingawa BAKWATA ilishaundwa tangu mwaka 1968, Lakini “idara” iliuona umuhimu wake baada ya tukio la tarehe 13, February 1998 Tupate kwanza history ya yaliyojili 👇

fbuyobe's tweet image. Ni kwamba Ingawa BAKWATA ilishaundwa tangu mwaka 1968, Lakini “idara” iliuona umuhimu wake baada ya tukio la tarehe 13, February 1998

Tupate kwanza history ya yaliyojili  👇

Dachi Rashidi 已轉發

MATUKIO NYUMA YA KUANZISHWA KWA BAKWATA Uzi👇 Baada ya mauaji ya Mwembechai tarehe 13 February 1998, Idara ilijitathmini na kuona kuna haja ya taasisi za dini pia kuwa “under surveillance”   Kama idara hii ingefanya kazi yake mapema hakika mauaji yale yangeweza kuepukika

fbuyobe's tweet image. MATUKIO NYUMA YA KUANZISHWA KWA BAKWATA

Uzi👇

Baada ya mauaji ya Mwembechai tarehe 13 February 1998, Idara ilijitathmini na kuona kuna haja ya taasisi za dini pia kuwa “under surveillance”
 
Kama idara hii ingefanya kazi yake mapema hakika mauaji yale yangeweza kuepukika

Dachi Rashidi 已轉發

Mungu ni mwema siku zote, hawa waroho wa madaraka na wachumia tumbo watapita, Mungu atainua Tanzania anayo ipenda


Dachi Rashidi 已轉發

Hii Ni One Of The Best Speech uliwahi Kutoa Ila Wakakuona Mwehu Now Kunawalamba Hakuna Tunachokudai GJL Now wananchi Ndo Tutapambana Nao


Dachi Rashidi 已轉發

Kile unachouliza si swali la kawaida ni intel alert. Ni ishara kwamba kwenye command chain ya usiku wa Oktoba 29 kulikuwa na mtu, au kikosi, kilichovunja rules of engagement na kugeuza ardhi ya taifa kuwa kill zone isiyo na identification. Uhalifu wa kiwango hiki hauwezi…

Mnataka kufunika uhalifu wa kiwango hiki? Mnataka mauaji ya kutisha kama haya niliyoona kwenye video yanyamaziwe? Nani alietoa amri kuua watu wengi kiasi hiki? Ukiacha mauaji ya kwenye vita, sijaona mauaji ya kisiasa makubwa kiasi hiki. Hata makaburu hawakuua watu wengi kwa…



Dachi Rashidi 已轉發

Documentaries to watch on YouTube this weekend:- 1. 36 Days in July: Sheikh Hasina’s secret orders revealed | Al Jazeera investigates 2. The Global Organ Trafficking Network | DW Documentary 3. Liked, Lured, Livestreamed: The Dark World of Digital Brothels - BBC Africa Eye


Dachi Rashidi 已轉發

1. Ibara ya 59 (4) ya katiba katika kutekeleza mamlaka yake mkurugenzi wa mashitaka atakuwa huru na hataingiliwa na mtu yoyote au mamlaka yoyote 2. Ibara ya 45 ya katiba uwezo wa kutoa msamaha ni kwa watu wenye hatia tu 3. Kuna kamati ya ushauri ...

MpaleMpoki's tweet image. 1. Ibara ya 59 (4) ya katiba katika kutekeleza mamlaka yake mkurugenzi wa mashitaka atakuwa huru na hataingiliwa na mtu yoyote au mamlaka yoyote 
2. Ibara ya 45 ya katiba uwezo wa kutoa msamaha ni kwa watu wenye hatia tu 
3. Kuna kamati ya ushauri ...

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.