你可能会喜欢
Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001) Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.
CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world
#KutokaMakavazini: Uchambuzi wa Tume ya Mbita iliyoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkapa, kuchunguza sababu na athari za matokeo ya tarehe 26 na 27 Januari 2001: "Wengine wakafa katika mazingira ya kutatanisha wakiwa hospitali na wengine kutolewa Hospitali…
Msikilize shekhe mtofautishe na hao wanaodhani wanaichambua TEC.
🔖We fully agree.
Every African who can needs to read this book ASAP. It will change your life. If you don’t understand why theory is important, this book will explain it to you.
#KutokaMakavazini (Chanzo: Ali Hassan Mwinyi, 2020, 471, Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu)
#KutokaMakavazini: “kwa fedheha hili, naomba unikubalie nijiuzulu ” — Ali Hassan Mwinyi (1977)
Ukisoma kitabu cha “The Lucifer Effect: Understanding how good people turn evil” unajifunza ‘power’ ndio kuwa chanzo kikubwa cha uovu. Power ni kama bangi. Binadamu anayetaka mamlaka dhidi ya binadamu mwenzake anaweza kufanya hata yasiyofikirika mradi atimize azma yake. Kwa…
Ukifuga mtoto wa chui ipo siku atakuwa chui mkubwa na kumla mfugaji
Yes ila hazipo ukipost Twitter So hiyo napata mimi ila nikipost Twitter ile metadata inapotea
WHATSAPP ina futa Metadata zifuatazo kwenye Video au Picha utakayo tuma: WhatsApp removes or strips most EXIF metadata, such as: Original recording date/time Camera model / phone model GPS location Creator info
Ni kwamba Ingawa BAKWATA ilishaundwa tangu mwaka 1968, Lakini “idara” iliuona umuhimu wake baada ya tukio la tarehe 13, February 1998 Tupate kwanza history ya yaliyojili 👇
MATUKIO NYUMA YA KUANZISHWA KWA BAKWATA Uzi👇 Baada ya mauaji ya Mwembechai tarehe 13 February 1998, Idara ilijitathmini na kuona kuna haja ya taasisi za dini pia kuwa “under surveillance” Kama idara hii ingefanya kazi yake mapema hakika mauaji yale yangeweza kuepukika
Mungu ni mwema siku zote, hawa waroho wa madaraka na wachumia tumbo watapita, Mungu atainua Tanzania anayo ipenda
Hii Ni One Of The Best Speech uliwahi Kutoa Ila Wakakuona Mwehu Now Kunawalamba Hakuna Tunachokudai GJL Now wananchi Ndo Tutapambana Nao
Kile unachouliza si swali la kawaida ni intel alert. Ni ishara kwamba kwenye command chain ya usiku wa Oktoba 29 kulikuwa na mtu, au kikosi, kilichovunja rules of engagement na kugeuza ardhi ya taifa kuwa kill zone isiyo na identification. Uhalifu wa kiwango hiki hauwezi…
Mnataka kufunika uhalifu wa kiwango hiki? Mnataka mauaji ya kutisha kama haya niliyoona kwenye video yanyamaziwe? Nani alietoa amri kuua watu wengi kiasi hiki? Ukiacha mauaji ya kwenye vita, sijaona mauaji ya kisiasa makubwa kiasi hiki. Hata makaburu hawakuua watu wengi kwa…
Documentaries to watch on YouTube this weekend:- 1. 36 Days in July: Sheikh Hasina’s secret orders revealed | Al Jazeera investigates 2. The Global Organ Trafficking Network | DW Documentary 3. Liked, Lured, Livestreamed: The Dark World of Digital Brothels - BBC Africa Eye
1. Ibara ya 59 (4) ya katiba katika kutekeleza mamlaka yake mkurugenzi wa mashitaka atakuwa huru na hataingiliwa na mtu yoyote au mamlaka yoyote 2. Ibara ya 45 ya katiba uwezo wa kutoa msamaha ni kwa watu wenye hatia tu 3. Kuna kamati ya ushauri ...
United States 趋势
- 1. Good Friday 51.5K posts
- 2. #FanCashDropPromotion N/A
- 3. LINGORM DIOR AT MACAU 430K posts
- 4. #FridayVibes 3,898 posts
- 5. #TheWorldWithVenezuela 2,755 posts
- 6. #ElMundoConVenezuela 2,752 posts
- 7. Happy Friyay N/A
- 8. #GenshinSpecialProgram 16K posts
- 9. Josh Allen 44.5K posts
- 10. RED Friday 2,550 posts
- 11. Haier EST SUPHA 137K posts
- 12. Ja Rule N/A
- 13. Sedition 340K posts
- 14. Parisian 1,808 posts
- 15. Niger 62.7K posts
- 16. Beane 3,266 posts
- 17. Commander in Chief 87.6K posts
- 18. Traitors 132K posts
- 19. Cole Palmer 16.7K posts
- 20. Patriot Act 3,164 posts
你可能会喜欢
-
Tanzania Media Women
@TAMWA_ -
Ramadhani Mnyira
@Mnyirajr8 -
Sikika
@sikika1 -
Philbert James
@mwamba_wakusini -
Patrick JK
@PKUSHOKA -
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏
@rutaraka -
Elia F Michael.
@fredrickelia7 -
#KATIBAMPYATZ🇹🇿
@LUPITUKOMsigwa -
thomas stephen
@edwardthomas448 -
Ismail Mkobo
@mkobo198 -
Yanjie Chao
@yanjiechao -
Boni Swai
@Boniswai -
Mansa Mussa
@Ludan180 -
Dr. Sajjad Fazel
@SajjadFazel -
Julius Ngowi
@Msambwija
Something went wrong.
Something went wrong.