おすすめツイート
Katika lugha ya kivuli, hii ni forensic reconstruction na si porojo, si simulizi za mitandaoni, bali evidence mapping iliyofanywa kupitia vyanzo tofauti, pembe tofauti, na wakati tofauti. Kazi kama hii haijengwi kwa hisia, inajengwa kwa multi angle verification, kitu ambacho…
We analyzed 14 original videos just to recreate this street scene in Arusha
Una Kitabu cha kusoma Weekend hii? SIRI NA UJASUSI.. kurasa 442 za Ujasusi, intelijensia, uhalifu na matukio ya kihistoria yaliyobadili ulimwengu. Kwa shilingi elfu hamsini tu unaishika nakala yako mkononi. Piga simu/sms 0759 181 457
‼️🚨UJUMBE KUTOKA TUNDU LISSU‼️ “Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya…
Hii ripoti ya @CNN!!!!! Moyo wangu unavuja damu. Kwamba mliwaondoa majeruhi wazima na kuwapeleka mortuary? Kwamba mmezika watu kwenye makaburi ya pamoja, badala ya kuwapa ndugu miili ya watu wao? Haya mtayajibu vipi? Hiyo kiu ya madaraka ni kubwa kiasi gani kwamba unafanya…
Mmeona mambo ya Forensic Analysis yalivyo. "Examination of audio extracted from the original video" Larry amechambua bwana 🙌🏻
My job is to cover Africa accurately, not positively
Tatizo tunalo, lakini tatizo letu kubwa zaidi ni KUFICHA tatizo tulilonalo!
Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001) Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.
CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world
#KutokaMakavazini: Uchambuzi wa Tume ya Mbita iliyoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkapa, kuchunguza sababu na athari za matokeo ya tarehe 26 na 27 Januari 2001: "Wengine wakafa katika mazingira ya kutatanisha wakiwa hospitali na wengine kutolewa Hospitali…
Msikilize shekhe mtofautishe na hao wanaodhani wanaichambua TEC.
🔖We fully agree.
Every African who can needs to read this book ASAP. It will change your life. If you don’t understand why theory is important, this book will explain it to you.
#KutokaMakavazini (Chanzo: Ali Hassan Mwinyi, 2020, 471, Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu)
#KutokaMakavazini: “kwa fedheha hili, naomba unikubalie nijiuzulu ” — Ali Hassan Mwinyi (1977)
Ukisoma kitabu cha “The Lucifer Effect: Understanding how good people turn evil” unajifunza ‘power’ ndio kuwa chanzo kikubwa cha uovu. Power ni kama bangi. Binadamu anayetaka mamlaka dhidi ya binadamu mwenzake anaweza kufanya hata yasiyofikirika mradi atimize azma yake. Kwa…
Ukifuga mtoto wa chui ipo siku atakuwa chui mkubwa na kumla mfugaji
Yes ila hazipo ukipost Twitter So hiyo napata mimi ila nikipost Twitter ile metadata inapotea
United States トレンド
- 1. #SmackDown 26.3K posts
- 2. Mamdani 358K posts
- 3. Marjorie Taylor Greene 32.3K posts
- 4. Azzi 5,748 posts
- 5. #OPLive N/A
- 6. Melo 15K posts
- 7. Aiyuk 4,520 posts
- 8. Myles Colvin N/A
- 9. Kandi 7,060 posts
- 10. #RissaHatchDay25 8,304 posts
- 11. Mama Joyce 2,493 posts
- 12. Sarah Strong 2,852 posts
- 13. Rebel Heart 1,660 posts
- 14. Hannah Hidalgo 1,693 posts
- 15. joshua 58.7K posts
- 16. #OPNation N/A
- 17. Congress in January 4,527 posts
- 18. Derik Queen 2,010 posts
- 19. Wake Forest 1,742 posts
- 20. #Dateline N/A
おすすめツイート
-
Tanzania Media Women
@TAMWA_ -
Ramadhani Mnyira
@Mnyirajr8 -
Sikika
@sikika1 -
Philbert James
@mwamba_wakusini -
Patrick JK
@PKUSHOKA -
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏
@rutaraka -
Elia F Michael.
@fredrickelia7 -
#KATIBAMPYATZ🇹🇿
@LUPITUKOMsigwa -
thomas stephen
@edwardthomas448 -
Ismail Mkobo
@mkobo198 -
Yanjie Chao
@yanjiechao -
Boni Swai
@Boniswai -
Mansa Mussa
@Ludan180 -
Dr. Sajjad Fazel
@SajjadFazel -
Julius Ngowi
@Msambwija
Something went wrong.
Something went wrong.